Mwanamke anayefundisha akiwa kitandani kwa miaka 18

Unapolalamika maisha magumu unatumia vigezo vipi? Soma simulizi hii ya Joyce Kantande kutoka kitandani. Wangapi hulalamika kuwa akilala muda mrefu anajisikia kuchoka au kuumwa? Umeshawahi kufikiria ugumu wa kulala kitandani kwa muda wa siku tatu mfululizo?

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

Muhimbili Yampatia Msaada Anayefundisha akiwa kitandani

Hospitali ya Taifa Muhimbili imetoa msaada wa baiskeli na matibabu kwa Mwalimu Joyce Kantande ambaye alipata ulemavu kutokana na ajali aliyoipata akiwa na umri wa miaka saba.
Akizungumza wakati wa kukabidhi msaada huo kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili , Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi na Ukunga, Agnes Mtawa amesema wameguswa na tatizo la Joyce na hivyo uongozi wa hospitali umeamua kumpatia baiskeli hiyo ili kumwezesha kufanya shughuli zake akiwa amekaa...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Muhimbili walivyoguswa na Mwalimu anayefundisha akiwa kitandani

Stori inayomhusu mwalimu ambaye alikuwa anafundisha wanafunzi akiwa kitandani imeendelea kukamata headlines katika mitandao mbalimbali mara hii ikichukua sura mpya baada ya Hospitali ya Taifa Muhimbili kuguswa. Hospitali ya Muhimbili imetoa msaada wa baiskeli na matibabu kwa Mwalimu Joyce Kantande ambaye amekuwa akifundisha akiwa kitandani kwa miaka 18 baada ya kupata ulemavu uliosababishwa na ajali aliyoipata […]

The post VIDEO: Muhimbili walivyoguswa na Mwalimu anayefundisha akiwa...

 

2 years ago

BBCSwahili

Joyce Shujaa ni mwalimu mlemavu nchini Tanzania,anayefundisha akiwa amelala kitandani

Kama lilivyo jina lake, Joyce Shujaa ni mwalimu shujaa mlemavu nchini Tanzania anayefundisha akiwa amelala kitandani.

 

2 years ago

Mwananchi

MNH yampa ‘wheelchair’ Mwalimu aliyefundisha akiwa kitandani kwa miaka 18

Hospitali ya Taifa Muhimbili imemkabidhi kiti cha kutembelea (wheelchair) Joyce Kantande ambaye ambaye amepooza.

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Mwalimu mlemavu anayefundisha Darasa kitandani kwake

Ajali imebadilisha maisha ya Joyce Kantande na kumfanya asalie kitandani lakini kwa ujasili wakujishughulisha hakukata tamaa na kwa sasa ni mwalimu kwa hapo hapo kitandani kwake na kwa mujibu wake alichukua uwamuzi wa kufungua darasa nyumbani kwake mara baada ya kupata ajali iliyomsababishia ulemavu wa miguu. Bonyeza Play hapa chini kutazama video nimekuwekea… VIDEO: ‘Hatuna […]

The post VIDEO: Mwalimu mlemavu anayefundisha Darasa kitandani kwake appeared first on...

 

1 year ago

Malunde

Video : JINSI TUNDU LISSU ALIVYOSHEREHEKEA MIAKA 20 YA NDOA AKIWA KITANDANI NAIROBI LEO

Utafanya kitu gani ukitimiza miaka 20 ya ndoa? Au ulifanya nini ulipotimiza miaka hiyo ya ndoa?Kuna ambao hutumia siku ya kumbukumbu ya ndoa zao kwenda kwenye nyumba za ibada kumshukuru Mungu na wengine hufanya sherehe kwa kualika ndugu, marafiki na majirani.Kila mmoja huwa na utaratibu wake ambao huambatana na uwezo wa kiuchumi ili kuiweka kumbukumbu hiyo ya ndoa vizuri na ndio maana kuna ambao hufanya sherehe kubwa na wengine hukumbuka kwa ‘maneno tu’.Iwe ni kumbukumbu ya miaka mitano, 10...

 

3 years ago

MillardAyo

PICHA 6: Jionee mwanamke aliyejifungua mtoto akiwa na miaka 70

34094D4A00000578-3584606-image-a-21_1462964860004

Mama mwenye umri wa miaka 70 nchini India amepata mtoto na mumewe mwenye miaka 79, Daljinder Kaur na mume wake Mohinder Singh Gill wamekuwa katika ndoa kwa miaka 46 lakini hawakuwahi kupata mtoto wala mama huyo kushika mimba wakiamini kwamba walikuwa ‘wamelaaniwa na Mungu’. Mwezi uliopita Bibi huyo alijifungua mtoto wao wakiume na ameingia kwenye […]

The post PICHA 6: Jionee mwanamke aliyejifungua mtoto akiwa na miaka 70 appeared first on TZA_MillardAyo.

 

4 years ago

GPL

MTOTO WA MIAKA 3 BONGO ANAYEFUNDISHA SEKONDARI

Stori: MWANDISHI WETU/Risasi
MTOTO Nice Valentino mwenye umri wa miaka mitatu na miezi tisa, ambaye ana vitu vingi vya kushangaza, ikiwemo kufundisha wanafunzi wa shule za sekondari, ameibuka ndani ya mjengo wa Global Publishers Ltd, Bamaga-Mwenge akiwa na baba yake mzazi na kuanika maajabu saba ya kushangaza, Risasi Jumamosi linakujuza. Mtoto Nice Valentino akikokotoa maswali aliyopewa na waandishi. AJABU LA KWANZA
Kwa...

 

1 year ago

Malunde

TUNDU LISSU AAGA TLS AKIWA KITANDANI

Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Tundu Lissu anayemaliza muda wake amewaaga wanachama wa chama hicho huku Jaji Kiongozi, Ferdinand Wambali akieleza kuwa wanafanya kila linalowezekana kukomesha rushwa kwenye mfumo wa sheria.

Jaji Wambali akifungua mkutano mkuu wa TLS jana, alisema rushwa inawanyima haki wananchi. 

Aliwataka wanasheria kujitathmini kama malengo ya kuanzishwa taasisi hiyo yanaakisi shughuli zao sasa kulinganisha na idadi kubwa iliyopo ya wanasheria.

Alisema katika...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani