Mwanamke atolewa akiwa hai kwenye vifusi Nairobi

Mwanamke ametolewa akiwa hai kutoka kwenye vifusi siku sita baada ya jumba kuporomoka katika mtaa wa Huruma, Nairobi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

BBCSwahili

Mwanamke apatikana hai kwenye vifusi Nairobi

Mwanamke amepatikana akiwa hai kwenye vifusi siku sita baada ya jumba kuporomoka katika mtaa wa Huruma, Nairobi.

 

3 years ago

BBCSwahili

Mtoto mchanga atolewa kwenye vifusi Nairobi

Mtoto wa umri wa mwaka mmoja unusu amepatikana akiwa hai kwenye vifusi vya jengo lililoporomoka Ijumaa jijini Nairobi.

 

3 years ago

StarTV

Watu 4 watolewa kwenye vifusi Nairobi

Watu wanne wametolewa wakiwa hai kutoka kwenye vifusi siku sita baada ya jumba kuporomoka katika mtaa wa Huruma, Nairobi.

Watu watatu, wanawake wawili na mwanamume, wameokolewa saa chache baada ya mwanamke kutolewa kwenye vifusi na kupelekwa hospitalini.

Juhudi za uokoaji bado zinaendelea ingawa kuna wasiwasi kwamba muda wa kupata manusura wakiwa hai unayoyoma. Kwa mujibu wa Pius Masai, mkuu wa kitengo cha taifa cha kukabiliana na majanga, idadi ya waliofariki kufikia sasa imefikia 36.

Watu...

 

3 years ago

BBCSwahili

Manusura zaidi wapatikana kwenye vifusi Nairobi

Inakaribia wiki moja sasa tangu jengo la ghorofa sita liporomoke mjini Nairobi Kenya na waokoaji wanaendelea kuwatafuta manusura kwenye vifusi.

 

3 years ago

BBCSwahili

Mtoto aokolewa kwenye vifusi vya jengo Nairobi

Mtoto mchanga mwenye umri wa miezi saba, ameokolewa kutoka kwenye vifusi vya jengo lililoporomoka siku nne zilizopita, jijini Nairobi, nchini Kenya.

 

2 years ago

BBCSwahili

Mwanamke achomwa akiwa hai katika tambiko Nicaragua

Mwanamke mmoja anayeishi katika eneo la mashambani nchini Nicaragua amefariki wiki moja baada ya kufungwa na kamba na kurushwa motoni katika tambiko la kufukuza mapepo.

 

3 years ago

GPL

WAKUTWA HAI BAADA YA KUFUKIWA NA VIFUSI MGODINI KWA SIKU 41

Ofisa Habari wa Wizara ya Nishati na Madini, Badra Masoud.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani