Mwanamke Muislamu aliyevuliwa hijab na polisi alipwa $85,000

Mwanamke mmoja Muislamu ambaye alilazimishwa kuvua hijab yake na maafisa wa polisi mjini California amezawadiwa $85,000 (£65,000).

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

BBCSwahili

Muislamu wa US ashinda kesi ya Hijab

Mahakama ya Marekani imetoa uamuzi uliompendelea mwanamke muislamu ambaye alienda mahakamani baada ya kunyimwa kazi kutokana na vazi lake la hijab.

 

2 years ago

BBCSwahili

Mwanamke Muislamu afurushwa mkutano wa Trump

Waislamu nchini Marekani wamemuomba Donald Trump, kuomba msamaha kwa kuamrisha mwanamke wa dini ya kislamu kufurushwa kutoka kwa mkutano wake.

 

1 month ago

BBCSwahili

Muuguzi alipwa dola 500,000 katika kisa cha kukataa mgonjwa kutolewa damu

Muuguzi ambaye alikamatwa baada ya kukataa kumruhusu polisi kuchukua sampuli ya damu kutoka kwa mgonjwa amekubali fidia ya dola 500,000.

 

3 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: ALIPWA USD 90,000 KWA KUISHTAKI KAMPUNI YA SIMU, NA WEWE CHUKUA HATUA SASA

Na  Bashir  Yakub.
Makampuni  ya  simu  kama  Vodacon, Airtel, Tigo, Zantel, Sasatel, na  mengineyo  yamekuwa  yakitenda  makosa  mbalimbali  kwa wateja  wao.  Mara  kwa  mara  wateja  wa  simu  wamekuwa  wakilalamikia  matendo  ya  makampuni   haya  lakini  wengi  wao  wamekuwa  hawachukui  hatua  zaidi  ya  kulalamika. Ni  watu  wachache  mno  ambao  wamekwishachukua  hatua  za  kisheria  dhidi  ya  makampuni  haya licha  ya  uonevu  mkubwa wa   kihuduma   wanaousababisha.   Ukiangalia  kwa...

 

4 years ago

GPL

MWANAMKE ALIYEMKWAPULIA 20,000/= MWANAMKE MWENZAKE ‘ATAITIWA’ DAR

Umati wa watu ukiwa unashangaa kitendo cha mwanadada (kushoto mwenye kitambaa cha zambarau kichwani) aliyemkwapulia 20,000 mwenzake.  Wengine wakitaka apigwe kama mwizi, wengine wakiomba asamehewe.…

 

3 years ago

Mwananchi

Nyangumi aliyevuliwa Mtwara awa kivutio

Samaki aina ya nyangumi aliyetegwa na wavuvi hadi kufa katika Pwani ya Kata ya Msangamkuu, Wilaya ya Mtwara amegeuka kuwa kivutio baada ya wananchi kutoka sehemu mbalimbali kujazana katika eneo hilo kumwona.

 

9 months ago

Mwananchi

Mwanamke tajiri anayelea yatima 40,000

Wakati mwingine misukosuko hufungua njia kuelekea mafanikio. Hivyo ndiyo inavyoweza kuwa kwa mke wa bilionea wa Zimbabwe, Strive Masiyiwa, Tsitsi Masiyiwa alivyoanza hadi kufika alipo sasa.

 

7 months ago

BBCSwahili

Mwanamke atafuna na kumeza $9,000 Colombia

Hatua yake iligunduliwa baada yake kukimbizwa hospitalini akilalamika kutokana na maumivu makali tumboni.

 

7 months ago

Zanzibar 24

Mwanamke ameza $9,000 Colombia kwa wivu wa mapenzi

Mwanamke mmoja nchini Colombia alitafuna na kumeza pesa zote alizokuwa amejiwekea kama akiba, kuzuia mumewe asizichukue na kuzitumia.

Sandra Milena Almeida (30) alimeza £7,000 ($9,000) baada ya kugundua kwamba mumewe alikuwa na mpenzi mwingine.

Hatua yake iligunduliwa baada yake kukimbizwa hospitalini akilalamika kutokana na maumivu makali tumboni.

Mwanamke huyo  aliamua kuzila noti hizo za $100 baada ya mumewe kugundua eneo alimokuwa ameficha pesa hizo na kudai agawiwe nusu yake.

Mkurugenzi...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani