Mwanaume apata hisia za ujauzito

Mwanaume mmoja mjini Birmingham nchini Uingereza alilazimika kupata mapumziko kazini baada ya kupata hisia za ujauzito

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Tanzania Daima

UJAUZITO WIKI YA 15: Mtoto anaanza kupata hisia

KATIKA wiki ya 15, mtoto anakuwa amefikia urefu wa inchi nne. Hivi sasa, majimaji yaliyopo tumboni yanaweza kuanza kupenya kwenye pua zake na kuingia kwenye sehemu ya juu ya njia...

 

2 years ago

Mwananchi

Ujauzito hushika kwa urahisi mwanaume akiwa na umri mdogo

Inaaminika kuwa uwezo wa mwanamke kushika ujauzito hupungua kadri umri unavyosonga, lakini imegundulika njia inayoweza kutatua hili. Imeonekana kuwa mwanamke anaweza kuongeza uwezo wa kupata ujauzito kama mwenza wake atakuwa na umri mdogo.

 

3 years ago

Bongo5

Aliyekuwa mchumba wa Wizkid apata ujauzito

wizkid-and-tania

Aliyekuwa mchumba wa staa wa Nigeria, WizKid, Tania Omotayo amepost picha ikimuonyesha akiwa mjamzito.

02_08075105_6e5bfc_2729405a

Ikiwa ni mwaka mmoja kupita tangu wawili hao kuvunja mahusiano yao ya kimapenzi, Tania amepost picha na kuandika, “@marveleuphoria somebody cannot eat in peace again? Well maybe sha pregnant with amala and ewedu 😁.”

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali...

 

4 years ago

GPL

THEA APATA MWANAUME WA KUMLEA

Ndicho alichokitaka! Kwa taarifa yako, mwigizaji ‘lejendari’ Bongo, Salome Urassa ‘Thea’ juzikati alifunguka kuwa kwa sasa amepata mwanaume anayejua kumlea na kumtunza ambapo anatarajia kumuweka wazi muda si mrefu. Mwigizaji ‘lejendari’ Bongo, Salome Urassa ‘Thea’. Akistorisha na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita ndani ya Hoteli ya Protea jijini Dar, Thea alisema kuwa baada ya kuachana na aliyekuwa mumewe...

 

4 years ago

GPL

MAAJABU MWANAUME APATA SIKU KAMA WANAWAKE

Stori: Chande Abdallah na Deogratius Mongela
MAAJABU! Ndivyo unavyoweza kusema unapokutana na mwanaume mmoja aliyejitambulisha kwa jina  la Frank Kalamu (53) mkazi wa Ilala Jijini Dar es Salaam, aliyetoa ushuhuda wa kufunga mwaka kwamba kwa zaidi ya miaka miwili, alikuwa akipata siku zake kama ilivyo kwa wanawake, ingawa yeye ni kupitia njia ya haja kubwa. Frank Kalamu akiombewa kanisani. Akitoa ushuhuda huo ndani ya Kanisa...

 

2 years ago

Malunde

HATIMAYE MWANAUME ALIYEZALIWA BILA MAPAJA APATA MCHUMBA


Mrembo Chelsee Stuart (19) akiwa na mumewe Nathan Hrdlicka (34) wakiwa kwenye pozi la mahaba.
Mwanaume huyo aliyetambulika kwa jina la Nathan Hrdlicka (34) alimpata mpenzi wake huyo aitwae Chelsee Stuart (19) kupitia mtandao wa facebook na baadae kukutana nae mjini Santa Fe nchini Mexico na kumvisha pete ya uchumba rasmi.
Nathan mwenye urefu wa futi 4.6 alikuwa akitaniwa na watu mtaani kwake kuwa ni mbilikimo na kujikuta akikataliwa na kila mwanamke aliyejaribu kumchumbia.
Hata hivyo,...

 

4 years ago

Vijimambo

Uwoya Apata Ujauzito:Yasemekana Ni Ya Msanii Milionea Jaguar Toka Kenya.

Grapevine has it that, actress Irene Uwoya is pregnant for her second child and the man behind it is non other than Kenyan artist Jaguar. "Uwoya is pregnant of Jaguar, she wants to have more kids, they love one another truly, next week she might be in Kenya to visit her man" said the sourceSWP failed to reach Uwoya, however, through her Instagram account the actress posted something which matches with what the source said. Uwoya posted the photo below touching her stomach and asked her fans...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mwanamke aliyekatwa mikono na mumewe kwa tuhuma za kuwa tasa, apata ujauzito

Mwanamke anetambulika kwa jina la Jackline Mwende Mkaazi wa Nchini Kenya aliyekatwa mikono akidaiwa kuwa tasa, ashika ujauzito baada ya kuachana na mumewe wa awali.

Mwanamama huyo alikatwa mikono na aliyekuwa mumewe, Bwana Stephen Ngila kwa tuhuma za kutozaa.
Muda mfupi kabla ya kushambuliwa Bi. Mwende amedai kuwa Madaktari walikuwa wamewapa majibu ya vipimo kuwa mumewe hakuwa na uwezo wa kuzaa.

The post Mwanamke aliyekatwa mikono na mumewe kwa tuhuma za kuwa tasa, apata ujauzito appeared...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani