Mwandishi wa vitabu maarufu atangaza kufunga ndoa na mwanaume mwenziwe

Mwandishi vitabu maarufu nchini Kenya Binyavanga Wainaina ambaye ametangaza wazi kwamba ni mpenzi wa jinsia moja amefichua kwamba atafunga ndoa mwaka ujao.

Mwandishi huyo ambaye alifichua hali yake ya kimapenzi mwaka 2014 siku yake ya kuzaliwa, amesema harusi hiyo itafanyika nchini Afrika Kusini.

“Nilimuomba mpenzi wangu tufunge ndoa wiki mbili zilizopita. Na alikubali, karibu mara moja. Yeye ni raia wa Nigeria. Tutakuwa tunaishi Afrika Kusini ambapo atakuwa anahudhuria masomo mwaka ujao....

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Zanzibar 24

Diamond Platnumz atangaza kufunga ndoa

Msanii wa muziki Bongo ambaye pia ni baba wa watoto watatu, Diamond Platnumz jana machi 8 siku ya Wanawake Duniani alituma ujumbe wa kumshukuru mama yake mzazi na kutangaza mpango wake wa kutaka kufunga ndoa ndani ya mwaka huu.

“Happy Women’s day Mama na wanawake wote Ulimwenguni… Nashkuru sana kwa kunizaa na kunilea…Wewe ni Mboni na Nguzo ya Maisha yangu mama…Licha ya shida na Mateso uliyoyapata kwenye kunizaa na kunilea, lakini hata sasa ambapo ulitakiwa walau Upumzike nimekuwa nikikukosea...

 

2 years ago

Malunde

KIJANA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUFUNGA NDOA NA MWANAUME MWENZAKE HUKO MTWARA


View image on Twitter
View image on Twitter

 FollowJamii Forums 
✔@JamiiForumsMTWARA: Kijana Sharrifu Issah, maarufu kwa jina la 'Zamda' amefikishwa mahakamani kwa kosa la kufunga ndoa na mwanaume mwenzie#JFLeo9:07 AM - Sep 15, 2017 2323 Replies   88 Retweets   7777 likes

 

5 years ago

Bongo Movies

Diamond atangaza rasmi kufunga ndoa na Wema. Apanga kufanya harusi uwanja wa taifa

Msanii huyo ghali zaidi nchini kwa sasa, ametamka hayo alipozungumza na Mwanaspoti nyumbani kwake Sinza jijini Dar es Salaam juzi Jumatano. Alisema kuna mambo mengi yaliyomchelewesha kufikia hatua hiyo, ikiwamo maandalizi kwani amepanga mashabiki wake wahudhurie harusi hiyo.

“Ndoa ni kitu cha heri na baraka, lakini kitu kinachofanya kidogo mambo yachelewe ni kwamba sisi au mimi ni mtu ninayefahamika, kwa hiyo hata ndoa yangu watu wengi wanatamani waihudhurie,” alisema Diamond.

Pia...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Mbunge amchumbia mwanaume mwenziwe Bungeni

Mbunge mwanamume ameposa kwa mpenzi wake wa kiume wakati wa kikao cha bunge cha kujadili kuhalalishwa ndoa za jinsia moja nchini Australia.

Tim Wilson alimchumbia Ryan Bolger ambaye alikuwa ameketi eneo la umma. Wawili hao wamekuwa wapenzi kwa miaka 9.

Mswada huo wa kuhalalisha ndoa ya jinsia moja uliwasilishwa bungeni siku ya Jumatatu baada ya kupitia bunge la Senate wiki iliyopita.

“Katika hotuba yangu ya kwanza, ninatambua uhusiano wetu kwa pete iliyo kwenye mikono yetu yote ya kushoto....

 

2 years ago

MillardAyo

Sheria 6 za ndoa zinazoshangaza, kufunga ndoa na maiti n.k

Kwa sheria za Tanzania ndoa ni maridhiano baina ya watu wawili ambapo hutambuliwa katika Katiba ili kulinda muunganiko huo lakini zipo baadhi ya sehemu ndoa sio lazima iwe jambo la maridhiano…leo nimekutana na hizi sheria saba za ndoa kutoka sehemu mbalimbali duniani. 1: Ufaransa  Sheria ya ndoa ya Ufaransa inaruhusu mtu kuoana na mtu aliyefariki […]

The post Sheria 6 za ndoa zinazoshangaza, kufunga ndoa na maiti n.k appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

BBCSwahili

Mwandishi akimbia motoni kuokoa vitabu Marekani

Mwandishi mmoja wa mjini mjini New Orleans alikimbia na kuingia ndani ya nyumba yake iliyokuwa inateketea, kuokoa laptop yake iliyokuwa na vitabu vyake viwili vya riwaya.

 

3 years ago

Mwananchi

ELIAS MUTANI : Mwandishi wa vitabu aliyeshinda tuzo ya Burt

Elias Mutani, 40, ni mwandishi wa vitabu mbalimbali na mwanaharakati. Mwaka huu, moja ya vitabu alivyoandika, Human Poachers kilishinda tuzo ya Burt Awards for African Literature (BAAL) iliyotolewa na Taasisi ya Children Book.

 

3 years ago

Mwananchi

Sitta: Siasa basi,aamua kuwa mwandishi wa vitabu na mshauri

Kwa mara ya kwanza tangu Kamati Kuu ya CCM ilipomuengua kwenye kinyang’anyiro cha uspika, Samuel Sita ambaye alikuwa Spika wa Bunge la Tisa, jana ameweka bayana mustakabali wake; ameamua kustaafu siasa.

 

3 years ago

BBCSwahili

Jordan:Waziri mkuu alaumiwa kwa mauaji ya mwandishi wa vitabu

Mtoto wa mwandishi wa vitabu nchini Jordan ambaye alipigwa risasi na kuuwawa siku ya Jumapili amemtuhumu waziri mkuu wa nchi hiyo kuwa ndiye anayewajibika na anapaswa kujiuzulu.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani