MWASITI AANIKA MAISHA YAKE!

Stori: Musa Mateja
MKONGWE katika gemu la muziki wa Bongo Fleva, Mwasiti Almas amefunguka ‘exclusive’ kuhusiana na maisha yake kwa jumla ambapo kwenye masuala ya uhusiano amebainisha kuwa alimjua mwanaume mara baada ya kumaliza kidato cha nne. Mwasiti Almas. Alisema alijitunza sana akiwa shule ya msingi, akaendelea hivyo hadi alipomaliza masomo ya sekondari ndipo alipolegeza uzi na kujikuta ameanza kuvunja amri ya sita na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo Movies

Janjaro Aanika Maisha Yake, Kuonja Penzi la Uwoya!

MOJA kati ya headline zilizosumbua kwenye mitandao ya kijamii hivi karibuni ni uhusiano wa kimapenzi kati ya chalii wa Ngarenaro-Arusha, Abdulaziz Chende ‘Dongo Janja’ na staa wa sinema za Kibongo, Irene Uwoya.

Umri wa Dogo Janja ambaye pia utakuwa hujakosea kama utamuita Janjaro umeshapita miaka 18. Ana uhuru wa kuingia kwenye masuala ya uhusiano, lakini suala la msingi ni kumpata mtu sahihi. Je, anatembea na mtu sahihi? Anaweza kusubiri umri usogee zaidi ndipo aingie kwenye masuala ya...

 

2 years ago

Bongo5

Mwasiti aeleza jinsi maisha yake ya muziki yalivyobadilika baada ya kupata management

Msanii wa muziki Mwasiti Almas amesema ndani ya muda mchache toka apate management ya kumsimamia tayari ameshaanza kuona mabadiliko makubwa katika muziki wake.

Muimbaji huyo ambaye ameachia wimbo ‘Kaa Nao’ hivi karibuni, amedai ameanza kuona mabadiliko katika namna ambavyo nyimbo zake zinasambazwa.

“Kesema kweli sasa hivi maisha ya muziki wangu yamebadilika sana kusema kweli ndani ya muda mfupi, tayari naona management yangu inafanya kazi yake ipasavyo. Mimi sikuwahi kuwa na management...

 

3 years ago

Global Publishers

Wabogojo aanika maisha ya Jack jela

OLYMPUS DIGITAL CAMERA

jackMwanamitindo Jacqueline Cliff.

Stori: Imelda mtema, ijumaa

DAR ES SALAAM: Mkali wa mchezo wa sarakasi Bongo, Athumani Ford ‘Wabogojo’ anayefanya kazi za sanaa nchini China, amefunguka mambo kadhaa ya mwanamitindo Jacqueline Cliff ambaye amefungwa nchini humo kwa kosa la kukamatwa na madawa ya kulevya.

Wabogojo ambaye amekuja Bongo kwa ajili ya mapumziko mafupi, alisema kuwa mrembo huyo anaendelea vizuri sana gerezani na ni mtu ambaye ameshazoea hali ya huko na...

 

2 years ago

Mwananchi

Omog aanika ripoti yake

Kocha mkuu wa Simba, Joseph Omog amewasilisha ripoti yake ya mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya Soka Bara kwa uongozi wa klabu hiyo huku akitoa mapendekezo yake kadhaa.

 

4 years ago

Mtanzania

Ney wa Mitego aanika jeuri yake

nnNA SHARIFA MMASI

MSANII wa muziki wa hip hop, Emmanuel Elibariki ‘Ney wa Mitego’, amesema wazazi wake walimfundisha heshima si kumuogopa mtu.

Ney alidai familia yake imemfunza nidhamu ya heshima na kuwa muwazi kwa anachoamini si sawa kwa jamii inayomzunguka.

“Ni kweli mimi nina jeuri ambayo watu wengi inawakera, lakini hawajui kwa nini niko hivyo, jeuri yangu huwa naifanya inapobidi na inatokana na mafunzo niliyofunzwa kutoka kwa wazazi wangu,’’ alisema Ney wa...

 

4 years ago

BBCSwahili

Idriss wa Bigbrother aanika mipango yake

Je ukiwa kijana mwenye umri mdogo na umepata dola laki tatu za Marekani, utazifanyia nini? je zitabadili mfumo wako wa maisha?

 

3 years ago

Bongo5

Mwasiti adai huwa anaandikiwa nyimbo na mama yake

Mwasiti3

Msanii wa muziki Mwasiti Almas amesema nyimbo zake nyingi huwa anasaidiwa na mama yake wakati wa kaziandaa.
Mwasiti3

Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na video ya wimbo ‘Sema Nae’, amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Television Jumatatu hii kuwa nyimbo zake nyingi ambazo anafanya, ni lazima mama yake azipitie.

“Mama yangu ana mchango mkubwa sana kwenye muziki wangu, karibu nyimbo zangu zote lazima azipitie kabla hazijatoka. Tena sometime huwa ananiandikia kabisa, ana niambia hapa...

 

2 years ago

Bongo Movies

Bonge la Nyau Aanika Mahusiano Yake na Shilole (VIDEO)

Msanii wa bongo fleva Bonge La Nyau amesema hana mahusiano ya kimapenzi na Shilole japo watu wamekuwa wakiwaona karibu kiasi cha kuzusha kwamba wawili hao ni wapenzi.

Akiongea kupitia eNewz ya EATV, Bonge la Nyau amesema kwa sasa yeye ana mpenzi wake ambaye wamejaliwa kupata mtoto mmoja hivyo watu wanaposema yeye na Shilole wapo karibu sana ni kutokana na kuwaona pamoja kwenye picha lakini pia yeye na Shilole wanaendana ndiyo sababu watu wamekuwa wakihisi kwamba ni wapenzi.

Hata hivyo Bonge...

 

4 years ago

GPL

JOKATE AANIKA MAPENZI YAKE KWA JANUARI, ZITTO NA MILLARD

Leo kwenye safu hii tunaye mwanadada ambaye anaendesha maisha yake kwa kazi mbalimbali zikiwemo uigizaji, muziki, uanamitindo, ujasiriamali na utangazaji. Miss Tanzania namba 2, 2006, Jokate Mwegelo akipozi. Huyu ni Jokate Mwegelo ambaye ni Miss Tanzania namba 2, 2006. Wiki hii yuko hapa kujibu maswali 10 ambayo mwandishi wetu Hamida Hassan alimuuliza na akatoa ushirikiano katika kuyajibu. Ijumaa: Kuna madai kwamba sasa hivi...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani