MWENYEKITI WA BAVICHA TAIFA CHADEMA AWAHUTUBIA WANANCHI

WILLIAM MUNGAI ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mbunge wa jimbo la mufindi kasikazi akiongozana na Mwenyekiti wa BAVICHA taifa Hon.Ole SOSOPImakamu mwenyekiti wa BAVICHA taifa Hon.Ole SOSOPI akiwahutubia wananchi katika jimbo la Mufindi Kasikazini.WILLIAM MUNGAI ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mbunge wa jimbo la mufindi kasikazi akiwahutubia wananchi wa jimbo la mufindi kusini ambako anatarajia kugombea ubunge kupitia chadema.
Wananchi wa wilaya ya mufindi mkoani Iringa wamelalamikia ugumu wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA TAIFA 2014:FREEMAN MBOWE ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI CHADEMA TAIFA, PROFESA ABDALLAH SAFARI MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA BARA

 Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano  mkuu wa chadema Wakicheza kwa furaha muda mfupi baada ya matokeo ya Uchaguzi kwenye Mkutano Mkuu Kutangazwa Usiku huu Freeman Mbowe akiwashukuru wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA  kwa kumchagua tena kushika nafasi ya mwenyekiti Mshindi wa nafasi ya mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akipongezwa na Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa Makamu  Mwenyekiti wa Chadema Bara Profesa Abdallah Safari(Kulia)na Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe wakipungia kwa...

 

1 year ago

MwanaHALISI

Kauli ya Chadema baada ya Mwenyekiti Bavicha kuhamia CCM

DK. Vincent Mashinji, Katibu Mkuu wa Chadema, amesema chama hakina mgogoro na aliyekuwa Mwenyekiti wa Bavicha, Patrobas Katambi ambaye ametangaza kujiunga na CCM kwa kuwa ni haki ya Kikatiba, anaandika Angel Willium. Muda mchache baada ya Katambi kutangaza kujiunga na CCM, Dk. Mashinji, amesema: “Sisi kama chama msimamo wetu tuliuweka tangu madiwani walivyoanza kuondoka, tukaweka ...

 

2 years ago

Michuzi

MAKAMU MWENYEKITI WA BAVICHA TAIFA PATRICK OLE SOSOPI AKAMATWA NA POLISI IRINGA

JESHI la polisi mkoa wa Iringa linamshikilia makamu mwenyekiti wa baraza la vijana la chama cha Demokrasi na maendeleo (BAVICHA ) Taifa Patrick Ole Sosopi (pichani) kwa tuhuma za kufanya mikutano ya hadhara bila kuwa na kibali cha jeshi la polisi . Akithibitisha hilo, Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Iringa John Kauga amesema kwamba  Sosopi alikamatwa leo asubuhi na kuwa bado jeshi hilo linaendelea kumshikilia kwa mahojiano kabla ya kufikishwa mahakamani...

 

3 years ago

CHADEMA Blog

TAARIFA KWA UMMA​ KUHUSU SINTOFAHAMU YA ALIPO MAKAMU MWENYEKITI WA BAVICHA TAIFA NDG. SOSOPI

TAARIFA KWA UMMA​ KUHUSU SINTOFAHAMU YA ALIPO MAKAMU MWENYEKITI WA BAVICHA TAIFA NDG. SOSOPI Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) taifa, Tanzania Bara, Ndugu Sosopi hajulikani aliko tangu jana Jumapili majira ya saa 3 usiku alipopakiwa ndani ya gari linaloaminika kuwa la Jeshi la Polisi wilayani Iringa kwa ajili ya kupelekwa Ofisi ya Mkuu wa Polisi Wilaya ya Iringa (OCD)

 

4 years ago

Vijimambo

PICHA ZAIDI: KILICHOJILI MBEYA LEO: NI PROF. JAY, MAKAMU MWENYEKITI BAVICHA TAIFA, MH. MSIGWA NA MBILINYI

 Kabla ya kuelekea kwenye mkutano Njiani msafara wa Mh. Mbilinyi ukielekea kwenye mkutano Prof. Jay akizungumza na waandishi wa habari Kutoka kushoto, Prof Jay, Mh. Mbilinyi na Msigwa Prof. Jay akizungumza na wana Mbeya
 Mh. Msigwa akizingmza na wana Mbeya Juu na chini ni aliye vaa kimasai ni makamu mwenyekiti BAVICHA 


 

1 year ago

CHADEMA Blog

WANAOHAMA CHADEMA KWENDA CCM WANAJALI MATUMBO YAO NA SIYO KUSAIDIA TAIFA (BAVICHA)

BARAZA la Vijana wa Chadema (Bavicha), limesema wimbi la kuhama kwa viongozi na wanachama wa chama hicho, unakipa nafasi ya kujirekebisha na kujipanga vizuri ikiwamo kubaki na wanaofuata misingi ya chama.Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa Bavicha Taifa, Julius Mwita akijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kujua kauli ya Bavicha kuhusu wimbi la kung'atuka kwa

 

3 years ago

CHADEMA Blog

Mwenyekiti Taifa wa CHADEMA aelekea Kagera

Mwenyekiti Taifa wa CHADEMA aelekea Kagera Taarifa inatolewa kwa vyombo vya habari na umma wa Watanzania kwa ujumla kuwa kutokana na madhara makubwa, vikiwemo vifo, majeruhi na uharibifu wa makazi ya watu uliosababishwa na tetemeko la ardhi lililotokea juzi Jumamosi, Mwenyekiti wa Chama Taifa, Freeman Mbowe amelazimika kukatisha ratiba ya shughuli zingine za kikazi na tayari yuko

 

4 years ago

Vijimambo

MGOMA WA MADEREVA WA BASI WAMALIZWA NA MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA

 Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Mh. FREMAN MBOWE amewasili leo katika stend kuu ya mabasi Ubungo  na kuzungumza na madereva ambao walikuwa wakiendea na mgomo wa kuwataka serikali iwasikilize shida zao.  Mh Mbowe ambaye aliwasili hapa majira ya saa nne kasoroo asubuhi alijikuta katika wakati mgumu baada ya wananchi kumshangilia kwa nguvu huku wengine wakifuta barabara ili gari yake ipite huku nyimbo zza ukawa zikiimbwa,jambo ambalo lilizua taharuki katika eneo hilo.Mh...

 

3 years ago

GPL

MGOMBEA WA URAIS WA CCM DK SHEIN AWAHUTUBIA WANANCHI WA MTAMBWE

Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia wananchi wa Jimbo la Mtambwe wakati wa mkutano wake wa kampeni kisiwani Pemba uliofanyika katika viwanja vya makoongeni mtambwe na kuhudhuria na wananchi wengi wa jimbo hilo. Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mhe Mohammed Aboud Mohammed akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Mtambwe na kutowa Sifa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani