MWENYEKITI WA CCM DK. JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA MAGEUZI MAKUBWA MJINI DODOMA


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dk. John Pombe Magufuli akielezwa jambo na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kabla ya kuanza kwa kikao cha NEC mjini Dodoma leo. kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati akifungua kikao hicho leo kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CCM DKT JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA USALAMA NA MAADILI YA CHAMA CHA CCM MKOANI DODOMA

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 10 Machi, 2017 ameongoza Kikao cha Usalama na Maadili cha chama kilichofanyika Chamwino Mkoani Dodoma.
Kikao hicho kimehudhuriwa na wajumbe wake wakiwemo Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambaye ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndg. Philip Mangula, Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman...

 

1 year ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CCM,RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA MKUTANO MKUU MAALUM MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Dk. Joseph Magufuli akiwahutubia wajumbe wapatao 2356,ambapo walipaswa kuwa wajumbe 2380 katika mkutano huo Mkuu Maalum wa CCM uliokuwa na lengo kuu la kufanya baadhi ya mabadiliko ndani ya Katiba ya chama hicho,ambapo mabadiliko hayo yamepitishwa kwa asilimia 100 na wajumbe hao waliohuhudria mkutano huo.Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza mambo mbalimbali mbele ya wajumbe waliohudhuria katika Mkutano Mkuu Maalum...

 

1 year ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CCM DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM LEO MJINI DODOMA


Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili ukumbini kuendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma leo. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM-Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohammed Shein na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
Mwenyekiti wa chama cha CCM, Rais Dkt Magufuli akiwakaribisha wajumbe kwenye kikao cha Kamati Kuu ya CCM na kufungua kikao hicho mapema leo asubuhi,kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara)...

 

4 years ago

Dewji Blog

Mwenyekiti wa CCM Rais Kikwete aongoza kikao cha NEC leo mjini Dodoma

1. JK akiingia ukumbini

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akipokea shangwe na wajumbe alipowasili katika ukumbi wa Makao Makuu ya CCM White House kuendesha kikao cha Hamlmashauri Kuu (NEC ) ya CCM mjini Dodona leo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula.

2. JK ukumbini

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akiwa ukumbini tayari kuongoza kikao hicho leo.

3. Jk na Kinana ukumbini

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akishauriana jambo na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, kabla ya...

 

1 year ago

CCM Blog

MWENYEKITI WA CCM, RAIS DK MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM, LEO MJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa CCM, Rais John Magufuli akipokewa na Katibu Mkuu wa CCM,Abdulrahman Kinana alipowasili Makao Makuu ya CCM, mjiniDodoma leo kuendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM.
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Maguguli akiwana Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara Philip Mangula (kushoto) kwenye chumba cha mapumziko kabla ya kuanza kikaocha Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma leo. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Zanzibar Vuai Ali Vuai na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein 

 

6 months ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM MJINI DODOMA LEO


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma leo.

 

6 months ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA KAMATI KUU MJINI DODOMA LEO

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha kikao KAmati Kuu ya chama hicho ukumbi wa mikutano wa White House mjini Dodoma leo Desemba 17, 2017.Mwenyekiti wa CCM,Rais Dkt John Pombe Magufulia akiteta jambo na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho  (Zanzibar),Dkt SheinKatibu MKuu wa CCM Ndugu Abdulrahmani Kinana akizungumza jambo kabla ya kikao cha Kamati kuu ya chama cha Mapinduzi kuanza ndani ya ukumbi wa mikutano wa white House mjini Dodoma leo Desemba 17,2017.

 

2 years ago

CCM Blog

JK AONGOZA KIKAO CHA NEC LEO MJINI DODOMA, NI KIKAO CHAKE CHA MWISHO, WAJUMBE WAPITISHA KWA KISHONDO JINA LA RAIS DK. MAGUFULI

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimuongoza Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kuingia ukumbini, kwa ajili ya kuendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) leo katika ukumbi wa Sekretarieti uliopo katika Jengola White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, leo. Wanaofuata ni Mwenyekiti wa CCM mtarajiwa , Rais Dk. John Magufuli na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa ,Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein. Kikao hicho kilikuwa na ajenda moja, ya kupokea jina la Rais Dk....

 

3 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM MJINI DODOMA LEO, TANO BORA YA WAGOMBEA KUPATIKANA BAADA YA KIKAO HIKI

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM (CC) kinachoendelea hivi sasa kwenye Ukumbi wa White House, Makao Makuu ya CCM, Mjini Dodoma. Kikao hiki kinapitia majina yote 38 ya Watangaza nia ya kugombea Urais kwa tiketi ya CCM, ambapo majina matano yatapatikana baada ya kikao hiki.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM - Zanzibar, Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu Mwenyekiti wa CCM - Bara,...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani