MWENYEKITI WA CCM KATA YA KIVUKONI SHARIK CHOUGHULE AMJULIA HALI MZEE MAJUTO

 Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kivukoni Sharik Choughule akimsalimia Msanii maarufu nchini wa vichekesho, Mzee Majuto alipokwenda kumjuulia hali hospitali, leo
 Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kivukoni Sharik Choughule akizungumza na Msanii maarufu nchini wa vichekesho, Mzee Majuto alipokwenda kumjuulia hali hospitali, leo

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

CCM Blog

MWENYEKITI WA CCM KATA YA KIVUKONI SHARIK CHOUCHULE AJITOLEA DAMU KUUNGA MKONO VIJANA

Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kivukoni, Sharik Choughule, mwishoni mwa wiki aliwaunga mkono vijana wa Umoja wa Vijana wa CCM, kwa kushiriki kujitolea damu katika kambi iliyofanyika Chanika, wilayani Ilala, Dar es Salaam, kwa ajili ya kusaidia damu kina mama na watoto.

Choughule akichangia alisema, ameamua kuchangia damu kwa sababu anafahamu umuhimu wa mahitaji ya damu kwa wagonjwa hasa kina mama na watoto.

"Nawapongeza Vijana wa UVCCM kwa kuamua kufanya zoezi hili la utoaji damu kwa ajili ya kina...

 

11 months ago

Michuzi

Waziri Ummy amjulia hali Mzee Majuto Muhimbili

 Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu akizungumza jambo na Mchekeshaji mkongwe almaarufu kwa jina la Mzee Majuto mapema jana,alipokwenda kumjulia hali katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili,anakopatiwa matibabu

 

2 years ago

CCM Blog

MWENYEKITI WA CCM KATA YA KIVUKONI AKUTANA NA BALOZI WA INDIA HAPA NCHINI

Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kivukoni Sharik Choughule akiwa na Balozi wa India hapa nchini Balozi Sandeep Arya, baada ya kufanya mazungumzo kuhusu maendeleo ya Kata hiyo jana. Mazungumzo hayo yalifanyika kwenye ofisi za Ubalozi huo zilizopo katika Kata hiyo ya Kivukoni, Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mwenezi wa Kata hiyo Hassan Maloto

 

1 year ago

CCM Blog

MWENYEKITI WA CCM KATA YA KIVUKONI AONGOZA WANACCM KUSAFISHA MAZINGIRA SIKU YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA BABA WA TAIFA

 Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kivukoni jijini Dar es Salaam, Sharik Choughule (kushoto) akishirikiana na wana CCM na wananchi kwa jumla kusafisha mazingira jana katika eneo la Mahakama Kuu ya Tanzania Kitengo cha Biashara, ikiwa ni sehemu ya Kumbukumbu ya Kifo cha baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere.
 Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kivukoni jijini Dar es Salaam, Sharik Choughule (kushoto) akishirikiana na wana CCM na wananchi kwa jumla kusafisha mazingira jana katika eneo la Mahakama Kuu ya Tanzania...

 

4 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AMJULIA HALI MZEE ISRAELI NAWINGA KIJIJINI KWAKE MASAMA LOSAA WILAYANI HAI.

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akipeana mkono na Bwa.Israel Elly Nawinga mapema leo asubuhi katika kijiji cha Masama Losaa,Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro,Pichani kulia ni Mkuu mpya wa Wilaya ya Hai,Mh Anthony Mtaka.Bwa.Israel aliwahi kuwa Waziri wa Elimu na pia Waziri wa Mambo ya Nje kwa nyakati tofauti enzi za uongozi wa Mwal.Julius Kambarage Nyerere.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wapo mkoani Kilimanjaro kwa...

 

2 years ago

Michuzi

DC MBEYA AMJULIA HALI MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA MBEYA MJINI ALIELAZWA KATIKA HOSPITARI YA RUFAA

Mkuu wa wilaya ya Mbeya mjini Mh.William Ntinika wapili kushoto akiwa katika chumba alicho lazwa Mwenyekiti wa Ccm wilaya ya mbeya mjini Ndugu Ephraim Mwaitenda ambe kalazwa katika hospitali ya rufaa jijini Mbeya kuajili ya matibabu ya kutolewa Goroli za lisasi zilizo baki mwilini mara baada ya kupigwa risasi na mtu asie julikana mnamo tarehe- 29 januari Mwaka huu nyumbani kwake usiku akiwa amelala.

 

1 year ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AMJULIA HALI MSANII MKONGWE KING MAJUTO HOSPITALINI DAR ES SALAAM LEO

 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimjulia hali msanii mkongwe Amri Athumani maarufu kama King Majuto aliyelazwa katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es salaam leo Januari 31, 2018  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akimjulia hali msanii mkongwe Amri Athumani maarufu kama  King Majuto aliyelazwa katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es salaam leo Januari 31, 2018  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiwa na mkewe Mama Janeth...

 

1 year ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AMJULIA HALI MSANII MKONGE KING MAJUTO HOSPITALINI DAR ES SALAAM LEO

 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimjulia hali msanii mkongwe Amri Athumani maarufu kama King Majuto aliyelazwa katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es salaam leo Januari 31, 2018  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali msanii mkongwe King  Amri Athumani maarufu kama Majuto aliyelazwa katika hospitali ya Tumaini jijini Dar es salaam leo Januari 31, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani