Mwenyekiti wa CHADEMA ahamia CCM

Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa Chadema katika kata ya Bomani wilayani Tarime, Morice Matius amehamia CCM akidai kuvutiwa na mabadiliko ya chama hicho.

Akikabidhi kadi ya Chadema, skafu mbili na fulana mbili za chama hicho kwenye mkutano wa halmashauri ya CCM wilayani hapa, Matius ambaye pia ni mjumbe wa Serikali ya mtaa wa Buhemba alisema ameamua kujiunga na chama hicho kutokana na mabadiliko yanayofanywa na Serikali.

Alisema moja ya ajenda iliyokuwa ikizungumzwa na Chadema kipindi cha...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA CCM SHINYANGA KHAMIS MGEJA AHAMIA CHADEMA

CCM sio baba yangu si mama yangu, Watanzania wanahitaji mabadiliko wasipo yapata ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM ndiyo maneno aliyoyatumia Khamis Mgeja alipokua kizungumuza na waandishi wa habari jijini Dar hivi punde alipotangaza uamuzi wake wa kukihama chama cha CCM na kujiunga na CHADEMA.
Khamis Mgeja alikua mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga leo ametangaza rasmi kujiunga na CHADEMA jijini Dar.

 

2 years ago

Dewji Blog

Mwenyekiti wa zamani CHADEMA Mwanza, Adrian Tizeba ahamia CCM

Siku kadhaa baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Mwanza, Adrian Tizeba amehamia Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Ijumaa.

Katika taarifa ambayo imetufikia imeeleza kuwa Tizeba amehamia CCM na kupokelewa katika tawi la Lugata, Sengerema.

The post Mwenyekiti wa zamani CHADEMA Mwanza, Adrian Tizeba ahamia CCM appeared first on DEWJIBLOG.

 

10 months ago

Malunde

Breaking News : MWENYEKITI WA BARAZA LA VIJANA CHADEMA TAIFA PATROBAS KATAMBI AHAMIA CCMMwenyekiti wa baraza la Vijana Chadema (BAVICHA),Patrobas Katambi amehamia Chama Cha Mapinduzi (CCM).Katambi ametangaza kujiondoa Chadema leo Jumanne Novemba 21,2017 katika mkutano wa halmashauri kuu ya CCM unaoendeshwa na mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli jijini Dar es salaam.

Katambi alikuwa mgombea ubunge jimbo la Shinyanga Mjini katika uchaguzi mkuu mwaka 2015 akikabiliana na Stephen Masele (CCM) ambaye aliibuka mshindi huku Katambi akidai kuibiwa kura katika...

 

3 years ago

Mtanzania

Mwenyekiti UWT ahamia Chadema

NA JANETH MUSHI, ARUSHA

MWENYEKITI wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) Wilaya ya Arusha, Vicky Mollel amekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

Mollel ambaye aliwahi kuwa Diwani wa Viti Maalum Kata ya Daraja Mbili kupitia CCM anatarajiwa kukabidhiwa kadi ya uanachama Jumatano   wiki  hii  na aliyekuwa mgombea urais wa Ukawa kupitia Chadema, Edward Lowassa.

Mollel aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa ameamua kukihama CCM baada ya kuchoshwa...

 

3 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti UWT Arusha ahamia Chadema

Zikiwa zimebaki siku sita kufanyika kwa uchaguzi wa Jimbo la Arusha Mjini, Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) Wilaya ya Arusha, Vicky Mollel ametangaza kujiuzulu na kujiunga na Chadema.

 

4 years ago

Vijimambo

KATIBU WA CHADEMA WILAYA YA DR.SLAA AHAMIA CCM,MWIGULU AMVUNA KWA MANUFAA YA CCM NA TANZANIA

Mh:Mwigulu Nchemba akiwaisli viwanja vya
Mkutano Karatu Mjini.Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Mh:Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi wa karatu Mjini mapema hii leo asubuhi majira ya saa tatu wakati akisisitiza kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa Kufanyika tar.14.12.2014.Mwigulu akimtambulisha Mwanachama mpya wa CCM ambaye alikuwa katibu wa CHADEMA Wilaya ya karatu ndugu.Raulenti Bonta.Kadi na baadhi za Vifaa vya CHADEMA ambavyo vimerudishwa hii leo kwa mwigulu Nchemba...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Mfadhili wa CCM ahamia CHADEMA

KADA maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mfadhili wa chama hicho, Sanito Samson na mkewe, Dativa Sanito, wamehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakielezea kuchoshwa kuchangishwa fedha au...

 

5 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA CCM KALENGA ZATINGA KIJIJI ALICHOZALIWA MGOMBEA WA CHADEMA, MWENYEKITI WA CHADEMA NA WANACHAMA 50 WATIMKIA CCM

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kijiji cha Wangama, Fred Mgata (kulia) akikabidhi kadi za chyama hicho kwa Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga baada ya yeye na wanachama wengine 50 wa Chadema kuamua kukihama na kujiunga CCM katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika  katika Kijiji hicho kilichopo Kata ya Luhota, Iringa Vijijini leo. Mgombea ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chadema ambaye ni mzaliwa wa kijiji hicho,  Grace Tendega alikuwa chini ya...

 

3 years ago

Habarileo

Katibu Chadema jimbo la Masasi ahamia CCM

KATIBU wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jimbo la Masasi, Faraji Mangochi amekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) huku akihusika kwa nguvu katika kampeni za uchaguzi mdogo jimboni humo.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani