MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA MHESHIMIWA FREEMAN MBOWE ASHIRIKI KUFANYA USAFI JIMBONI HAI

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Freeman Mbowe ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Hai (mwenye kofia katikati) akishirikiana na wananchi wa Lukeni, Kata ya Masama-Mashariki kufanya usafi katika Soko la Masama-Mula juzi, katika kampeni ya kutunza mazingira kwenye jimbo hilo iliyopewa jina la 'Keep Hai Clean' ikitumia gari maalum la kukusanyia taka lenye uwezo wa kubeba tani 32 za taka ambalo mbunge huyo alitoa msaada kwa wananchi wake hivi karibuni.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA TAIFA 2014:FREEMAN MBOWE ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI CHADEMA TAIFA, PROFESA ABDALLAH SAFARI MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA BARA

 Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano  mkuu wa chadema Wakicheza kwa furaha muda mfupi baada ya matokeo ya Uchaguzi kwenye Mkutano Mkuu Kutangazwa Usiku huu Freeman Mbowe akiwashukuru wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA  kwa kumchagua tena kushika nafasi ya mwenyekiti Mshindi wa nafasi ya mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akipongezwa na Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa Makamu  Mwenyekiti wa Chadema Bara Profesa Abdallah Safari(Kulia)na Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe wakipungia kwa...

 

4 years ago

Michuzi

CHADEMA Red Brigade wala kiapo Mwanza mbele ya Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe

 Vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, al maarufu kama RED BRIGADE, wakila kiapo cha utii, mbele ya Mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, jijini Mwanza siku ya Jumamosi Februari 28, 2015. Kiapo hicho kinafuatia kukamilika kwa mafunzo ya kiulinzi na usalama kwa vijana hao. Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Rwakatare (kulia), akisoma taarifa ya mafunzo ya vijana wa chama hicho 'Red Brigade' huku mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe...

 

5 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA CHADEMA NA MBUNGE WA HAI FREEMAN MBOWE AHUTUBIA MANG’ULA MKOANI MOROGORO

Mwenyekii wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia maelfu ya wakazi wa kijiji cha Mang’ula wilayani Kilombero mkoani Morogoro, katika mkutano wa hadhara , uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mwaya jana.Mwenyekii wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia maelfu ya wakazi wa kijiji cha Mang’ula wilayani Kilombero mkoani Morogoro, katika mkutano wa hadhara , uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mwaya jana.

 

4 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CHADEMA NA MBUNGE WA HAI FREEMAN MBOWE AZINDUA KITABU CHA UTEKELEZAJI AHADI ZA JIMBO LA KAWE

 Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akisalimiana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima wakati wa mkutano wa hadhara uliokwenda sambamba na uzinduzi wa kitabu cha utekelezaji wa ahadi za jimbo la Kawe.Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe  akizindua kitabu cha ukekelezaji wa ahadi za jimbo la Kawe kulia ni Mbunge wa Kawe-Chadema Halima Mdee Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe akihutubia. Umati wa watu waliohudhuria mkutano huo.

 

4 years ago

Vijimambo

Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe AHUKUMIWA Jela Mwaka Mmoja.


MAHAKAMA ya wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, imemtia hatiani na kumhukumu Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe kwenda jela mwaka mmoja au kulipa faini ya Sh milioni moja, kutokana na kesi iliyokuwa ikimkabili ya kumshambulia mwangalizi wa ndani wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010.Akisoma hukumu hiyo iliyohudhuriwa na wabunge wengi wa Chadema, Hakimu Mkazi Mfawidhi, Denis Mpelembwa, alisema mahakama imemkuta Mbowe na hatia, hivyo kutakiwa kutumikia kifungo cha mwaka mmoja jela au kulipa...

 

3 years ago

CHADEMA Blog

USAHIHI KUHUSU SAFARI YA MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA MHE.FREEMAN MBOWE

Usiku wa Leo Tarehe 22/08/2016 imesesambazwa Taarifa kuwa Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe.Freeman Mbowe amepanga kusafiri nje ya nchi tarehe 28.08.2016 yaani siku 3 kabla ya Maandamano na Mikutano ya Kisiasa iliyopangwa kufanyika kuanzia Tarehe 01.09.2016 kutetea na kulinda katiba na sheria za nchiTaarifa hizo zilizosambazwa katika mitandao ya kijamii ziliambatanishwa na Tiketi na Ujumbe Feki

 

2 years ago

CHADEMA Blog

Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mheshimiwa Freemana Mbowe ziarani Barani Ulaya

Mwenyekiti CHADEMA Taifa Mhe. Freeman Mbowe akiwa mbele ya Bunge la Uingereza jana tarehe 5/12/2016 alipokuwa kwa ajali ya kukutana na Wabunge na Viongozi mbalimbali Nchini Uingereza . kulia kwake ni John Mrema Mkurugenzi wa Mawasiliana, Uenezi na Mambo ya NjeZiara ya Mhe. Freeman Mbowe itachukua Siku 14 katika Nchi mbalimbali za Jumuiya ya Ulaya.

 

2 years ago

Malunde

MBUNGE WA HAI FREEMAN MBOWE AFUTURISHA MISIKITI MINNE JIMBONI KWAKEMbunge wa Jimbo la Hai,Freeman Mbowe akiwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya hiyo Helga Mchomvu wakati wa Futari ya pamoja iliyoandaliwa na Mbunge huyo katika miskiti minne tofauti.


Baadhi ya Waumini wa Dini ya Kiislamu wakipata Futari katika msikiti wa Kibaoni wilayani Hai.Sheikh Mkuu wa wilaya ya Hai,Omar Mohamoud akizungumza wakati wa hafla ya kupata Futari iliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Hai,Freeman Mbowe.Imamu wa Msikiti wa Kambi ya Nyuki ,Fahad Lema akisoma Risala kwa Mbunge wa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani