MWENYEKITI WA MTAA WA BUGURUNI MIVINJENI NDUGU BARUA AZINDUA KWA KISHINDO TIMU ZA MICHEZO MBALIMBALI ZA WANAWAKE KATIKA MTAA HUO

 Mwenyekiti wa Mtaa wa Buguruni Mivinjeni Barua Mwakilanga akikabidhi jezi kwa viongozi wa timu za netiboli wakati wa uzinduzi wa timu za michezo mbalimbali kwa wanawake wa Mtaa huo, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
 Mwenyekiti wa Mtaa wa Buguruni Mivinjeni Barua Mwakilanga akifuatana na baadhi ya vionozi wakati akienda meza kuu kuwa meni rasmi katika wa uzinduzi wa timu za michezo mbalimbali kwa wanawake wa Mtaa huo, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

WAKAZI WA MTAA WA SINZA WALALAMIKIA DAWASCO KWA KERO MAJI YANAYOTAPAKAA KATIKA MTAA HUO.

WAKAZI  wa Mtaa wa Sinza uliopo katika Mhakama ya Mazese walalamikia  kero wanayoipata kutokana na miundombinu mibovu ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASCO) yanayosababisha maji kutapakaa barabarani hususani katika mtaa huo ambao ndani yake ipo Mahakama ya Mazese Mpaka njiapanda ya kuelekea Ukumbi wa Mirado jijini Dar es Salaam.
Malalamiko hayo yametolewa na Wakazi wa Maeneo hayo ambao hawakutaka kujulikana wakati Akizungumza na mwandishi wa Michuzi Blog jijini Dar es Saalam leo. 
Pia...

 

3 years ago

Michuzi

M/KITI WA SERIKALI YA MTAA WA OYSTERBAY, LUBUVA AWAPA PIKIPIKI POLISI JAMII WA MTAA HUO.

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Oysterbay jijini Dar es Salaam, Zefrin Lubuva akizunumza mara baada ya kukabidhi Pikipiki aina ya Boxer kwa wanakikundi cha polisi jamii cha mtaa wa Oysterbay jijini Dar es Salaam leo.
Amesema kuwa pikipiki hiyo ni ya mwanzo kwaajili ya kuwasaidia vijana wanaojitolea kulinda usalama wa mtaa huo. Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Oysterbay jijini Dar es Salaam, Zefrin Lubuva akimkabidhi Kamanda wa Kikosi cha Polisi jamii cha Guard, Moksin Mwalimu pikipiki ya...

 

2 years ago

Channelten

Wakazi wa mtaa wa Mivinjeni wapeleka malalamiko ya kutokuwa na Imani na M/kiti wao

mvinjeni

Wakazi wa mtaa wa Mivinjeni Buguruni jijini Dsm wakiongozwa na baadhi ya wajumbe wa serikali ya mtaa huo wamepeleka malalamiko yao kwa maandishi kwa Afisa mtendaji wa kata hiyo ya kutokuwa na imani nae m/kiti wao wa mtaa huo baluwa mwakilanga kwa tuhuma mbali mbali zikiwemo za miradi katika mtaa wao.

Wakizungumza na waandishi wa habari katika ofisi ya mtendaji kata eneo la buguruni chama wananchi hao wamedai m/kiti wao amekuwa Mbabe katika utendaji kazi,lakini pia amewatimua wajumbe watatu...

 

3 years ago

Dewji Blog

PSPF waanzisha kampeni mpya ya mtaa kwa mtaa kuhamasisha wanachama wake!

Balozi wa mfuko wa pensheni wa PSPF Mrisho Mpoto Maalufu kama (Mjomba)   vyombo vya habari kuhusu kampeni ya mtaa kwa mtaa iliyofanyika jijini Dar kushoto ni Afisa wa mfuko wa pensheni wa PSPF Hadji Hamis Jamadary.   Na Mwandishi Wetu Mfuko wa hifadhi za jamii wa pensheni (PSPF) kwa kuwajali watanzania waanzisha kampeni ya mtaa kwa mtaa ili kuweza kuungana na wananchi wa maeneo mbalimbali kwa kuwapa elimu  inayohusu mfuko huo wa pesheni kampeni hizo zimeanzia jijini Dar es salaam kwa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani