Mwigulu awapa raha wafanyabiashara Tanga

Ziara ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara, Mwigulu Nchemba imewafurahisha wafanyabiashara katika gulio la Tangamano baada ya kutangaziwa rasmi kwamba hawatahamishwa katika eneo hilo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Dewji Blog

Mwigulu awapa somo wafanyabiashara

01

Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akifungua semina ya wafanyabiashara iliyoandaliwa na Benki ya Maendeleo ya Biashara Mashariki na Kusini mwa Afrika (PTA) leo jijini Dar es salaam.

Na Mwandishi wetu

Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Mwigulu Nchemba, amewataka wafanyabiasha nchini, kutengeneza miradi ambayo inatambulika ili iwe rahisi kukopeshwa fedha.

 Aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam, wakati wa kufungua semina ya wafanyabiashara iliyoandaliwa na Benki ya Maendeleo  Mashariki na...

 

4 years ago

Mwananchi

Tambwe awapa raha Yanga

 Mshambuliaji Amissi Tambwe aliwapa raha mashabiki wa Yanga baada ya jana kuifungia timu yake mabao mawili dhidi ya BDF XI ya Botswana iliyokuwa ikishangiliwa muda wote na mashabiki wa Simba kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

4 years ago

GPL

COUTINHO AWAPA RAHA YANGA, KOMBE LA MAPINDUZI

Andrey Coutinho akishangilia na wenzake baada ya kufunga dakika ya 86 kipindi cha pili. BAO pekee la Mbrazil, Andrey Coutinho limeipa Yanga  ushindi wa 1-0 dhidi ya Shaba katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Coutinho alifunga bao hilo dakika ya 86 kwa shuti kali akimaliziana krosi ya beki wa kulia, Juma Abdul.
Yanga SC inamaliza kwa ushindi wa asilimia 100,...

 

3 years ago

Habarileo

Simba raha, Yanga yamewakuta Tanga

SIMBA jana ilizidi kuwapa raha mashabiki wake baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya African Sports Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, huku Yanga ikilala mabao 2-0 mbele ya Coastal Union Uwanja wa Mkwakwani Tanga.

 

4 years ago

Mwananchi

Pinda awapa changamoto wafanyabiashara

>Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amewataka Watanzania wenye uwezo kifedha waangalie uwezekano wa kuanzisha viwanda nchini badala ya kuendelea kuwa wachuuzi wa kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi na kuziuza.

 

2 years ago

Mwananchi

Bobali awapa darasa wafanyabiashara

Mbunge wa Mchinga, Hamidu Bobali amewashauri wafanyabiashara wa Kata ya Milola kutumia benki kuweka fedha ili kuepuka usumbufu wanapotaka mikopo.

 

3 years ago

Mwananchi

Majaliwa awapa neno wafanyabiashara Dom

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza wafanyabiashara wa Soko la Sabasaba mjini hapa kujenga majengo yanayofanana na makao makuu ya nchi.

 

2 years ago

Habarileo

Majaliwa awapa eneo wafanyabiashara Arusha

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amerudisha mikononi mwa Halmashauri ya Jiji la Arusha eneo la wazi Kilombero jijini humo ili wafanyabiashara waendelee na shughuli zao. Eneo hilo lilichukuliwa kinyemela.

 

4 years ago

Mwananchi

USHIRIKIANO: Balozi Taj awapa somo wafanyabiashara

>Wafanyabiashara wa Tanzania wamehamasishwa kushiriki katika maonyesho mbalimbali yanayoratibiwa na wenzao wa Ufaransa ili kujifunza na kuongeza tija katika uhusiano uliopo wa nchi hizi mbili.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani