Mwili wa Ely Macha wawasili viwanja vya bunge

Mwili wa mbunge, Dk Elly Macha aliyefariki dunia Uingereza umewasili katika viwanja vya Bunge leo Ijumaa tayari kuagwa na wabunge wenzake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

MWILI WA MAREHEMU JOSEPH SENGA WAWASILI DAR, KUAGWA KESHO VIWANJA VYA SINZA-UZURIWaombolezaji wakibeba jeneza lenye mwili wa marehemu tayari kwa safari ya kutoka uwanjani hapo kuelekea Muhimbili kuhifadhiwa.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, (watatu kushoto), mbunge wa Nsumve Richard Ndasa, (wanne kushoto) nabaadhi ya waaandishi na wapiga picha, wakilitama jeneza lenye mwikli wa hayati Joseph Senga, aliyekuwa Mpiga Picha Mkuu wa gazetila Tanzania Daima, wakati wafanyakazi wa Swissport wakilitoa jeenza hilo kwenye uwanjawa ndege wa ...

 

2 years ago

Dewji Blog

Mwili wa marehemu Joseph Senga wawasili Dar, kuagwa Jumapili katika viwanja vya Sinza-Uzuri

Mwili wa aliyekuwa mpiga picha mkuu wa gazeti la Tanzania Daima, Joseph Senga aliyefariki katikati ya wiki hii nchini India, alikokwenda kwa matibabu umewasili nchini kwa ajili ya taratibu za mazishi.

Taarifa za ndugu wa marehemu kuhusu taratibu za mazishi zinasema, Mwili wa marehemu umehifadhiwa kwenye hospitali ya Taifa Muhimbili, ambapo Jumapili asubuhi utapelekwa nyumbani kwake Sinza, kwa ajili ya ibada fupi na kisha utapelekwa viwanja vya Sinza-Uzuri kwa wananchi ndugu jamaa na...

 

3 years ago

Vijimambo

MWILI WA MAREHEMU EUGEN ELISHIRINGA MWAIPOSA KUAGWA LEO KATIKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA

 
Marehemu EUGEN ELISHIRINGA  MWAIPOSA
TANZIA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anasikitika kutangaza kifo cha Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam, Mhe. EUGEN ELISHIRINGA  MWAIPOSA  kilichotokea usiku wa kuamkia tarehe 2 June 2015 nyumbani kwake Dodoma ambako amekuwepo kushiriki Mkutano wa Bunge la Bajeti.
Mwili wa Marehemu unaagwa leo tarehe 3 Juni 2015 kuanzia saa 4 asubuhi katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma, na baadaye mwili kupelekwa nyumbani kwake Ukonga, Dar es...

 

4 years ago

Dewji Blog

Vifaa vya kupima Ebola kupitia joto la mwili vyawasili nchini, kuanza kutumika viwanja vya ndege

Ebola - 4

Naibu Waziri wa Afya Dkt. Kebwe Steven Kebwe akiongea na waandishi wa habari eneo la uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wakati wa kupokea na kukabidhi vifaa vya kupima dalili za ugonjwa wa Ebola. Wengine ni Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Dharula na Maafa (kulia) na Kaimu Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD), Cosmas Mwaifani.

Na. Aron Msigwa –MAELEZO.

 Sehemu ya vifaa vya kubaini hatua za awali za ugonjwa wa Ebola kwa kupima hali ya joto la mwili kwa wasafiri kutoka nje...

 

4 years ago

GPL

VIFAA VYA KUBAINI DALILI ZA AWALI ZA UGONJWA WA EBOLA KUPITIA JOTO LA MWILI VYAWASILI NCHINI, KUANZA KUTUMIKA VIWANJA VYA NDEGE

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Kebwe Steven Kebwe (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Afya na Usafi wa Mazingira wa Wizara ya Afya na Ustawi Dkt. Elias Chinamo moja ya kifaa (kamera) itakayotumika kupima dalili za ugonjwa wa Ebola kwa wasafiri wanaoingia nchini kupitia viwanja vya ndege ili kuhakikisha kuwa wananchi wanakuwa salama kwa kuuzuia ugonjwa huo kuingia nchini.… ...

 

4 years ago

Michuzi

taswira mbalimbali za WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA

 Waziri Mkuu  ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na mjumbe mwenzake Said Mtanda (kulia) jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.  Waziri Mkuu  ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na mjumbe Said Mtanda na wenzake  jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.   Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum  la Katiba  Joshua Nasari(kushoto) akibadilishana mawazo...

 

4 years ago

GPL

MWILI WA KIMARIO WAAGWA VIWANJA VYA LUGALO DAR

Waziri Mwinyi (wa pili kulia) akikaribishwa na Waziri William Lukuvi. ...Akisaini kitabu cha wageni katika maombolezo hayo. Mkuu wa majeshi mstaafu Jenerali Robert Mboma akisaini kitabu cha maombolezo.…

 

4 years ago

Michuzi

WANANCHI WAFURIKA BANDA LA BUNGE KUPATA ELIMU KUHUSU KAZI ZA BUNGE KATIKA VIWANJA VYA SABASABA

Banda la Bunge katika Viwanja vya Sabasaba Wananchi wakiangalia picha za Maspika ambao walishawahi kuongoza Bunge tangu enzi za ukoloni hadi sasa. Majengo ambayo wamewahi kutumiwa na Bunge nayo yawa kivutio. Hapa Wananchi wakiangalia picha hizo katika Banda la Bunge. Afisa wa Bunge Ndg. Dickson Bisile akigawa vipeperushi vya Historia ya Bunge kwa wananchi wanaoingia katika Banda la Bunge kupata Elimu kuhusu Bunge. Afisa wa Bunge Bi. Asia Minja akitoa maelezo kuhusu hatua mahususi ambazo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani