MWILI WA MWANASIASA MKONGWE NDEJEMBI KUZIKWA KESHO DODOMA

Mwili wa mwanasiasa mkongwe nchini Pancras Ndejembi unatarajia kuzikwa kesho Jumanne Januari Mosi, 2019 katika kitongoji cha Chizomoche kijiji cha Bihawana Jijini Dodoma.

Ndejembi (90) alifariki dunia Jumamosi Desemba 29, 2018 saa 2 asubuhi katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Dodoma.
Mweyekiti wa kamati ya mazishi, David Mzuri amesema leo Jumatatu Desemba 31, 2018 kuwa maandalizi yote yamekamilika ikiwemo watoto wa marehemu ambao walikuwa wanasubiriwa kutoka nje ya nchi.
Mzuri amesema mwili...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Dewji Blog

Mamia wajitokeza kuaga mwili wa Mpoki Bukuku Dar, kuzikwa kesho Dodoma

Mamia ya wadau pamoja na wale wa Tasnia ya Habari wamejitokeza kwa wingi katika uwanja wa shule ya Tabata, Wilayani Ilala Jijini Dar es Salaam kuaga mwili wa  aliyekuwa mpiga picha Mwandamizi wa Magazeti ya The Guardian Limited yanayochapisha magazeti ya Nipashe, The Guardian, marehemu Mpoki Bukuku (44) aliyefariki dunia juzi  baada ya kupata ajali ya gari.

Wadau mbalibali walipata kutoa salamu zao za rambirambi kwa familia ya marehemu ambapo pia Waziri mwenye dhamana, Mh. Nape Nnauye...

 

2 years ago

Bongo5

Picha: Maelfu wajitokeza kuuaga mwili wa mwanasiasa mkongwe nchini India

Maelfu ya watu wamejitokeza kuuaga mwili wa mwanasiasa mkongwe mwanamke nchini India, Jayalalithaa Jayaram aliyefariki Jumatatu hii.

1

Jayalalithaa alikuwa ni kiongozi mkuu wa serikali katika jimbo la Tamil Nadu ambaye alifariki katika hospitali ya Apollo iliyopo mjini Chennai kwa maradhi ya mswhtuko wa moyo. Kiongozi huyo anatarajiwa kuzikwa Jumanne hii huku waziri mkuu wa nchi hiyo, Narendra Modi akitarajiwa kuongoza mazishi hayo.

Jimbo la Tamil Nadu limetangaza siku saba za maombolezi huku...

 

4 years ago

Dewji Blog

Mwili wa marehemu Robert Lengeju waagwa Jijini Dar kuzikwa kesho Kipera Morogoro

Hili ndilo sanuku lililouhifadhi mwili wa Mwandishi/Mchambuzi wa Jukwaa Maalumu la MWALE WA DEMOKRASIA katika Gazeti la Raia Tanzania (Gazeti dada la Raia Mwema), kila Alhamisi. Mwili wa shujaa huyo wa Demokrasia uliswaliwa katika Kanisa Katoliki M<simbazi Jijini Dar es Salaam leo.

Watu mbalimbali walihudhuria katika misa hiyo ya kumsindikiza Lengeju katika safari yake ya mwisho kabla ya maziko yatakayo fanyika kesho (Novemba 13,2014) Kijijini kwako Kipera, Kata na Tarafa ya Mlali, Wilaya...

 

4 years ago

Michuzi

MWILI WA MAREHEMU ROBERT LENGEJU WAAGWA JIJINI DAR ES SALAAM KUZIKWA KESHO KIPERA MOROGORO.

Hili ndilo sanduku lililouhifadhi mwili wa Mwandishi/Mchambuzi wa Jukwaa Maalumu la MWALE WA DEMOKRASIA katika Gazeti la Raia Tanzania (Gazeti dada la Raia Mwema), kila Alhamisi. Mwili wa shujaa huyo wa Demokrasia uliswaliwa katika Kanisa Katoliki M&lt;simbazi Jijini Dar es Salaam leo. 
Watu mbalimbali walihudhuria katika misa hiyo ya kumsindikiza Lengeju katika safari yake ya mwisho kabla ya maziko yatakayo fanyika kesho (Novemba 13,2014) Kijijini kwako Kipera, Kata na Tarafa ya Mlali,...

 

4 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONGOZA WANANCHI KUAGA MWILI WA MAREHEMU CELINA KOMBANI, DAR, KUZIKWA KESHO MOROGORO.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, marehemu Celina Kombani, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika leo Septemba 28, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Marehemu Kombani alifariki Agosti 24 huko nchini India na anatarajia kuzikwa kesho mkoani Morogoro. Picha na OMRMke wa Rais Mama Salma...

 

5 years ago

Habarileo

Mwanasiasa mkongwe haoni mantiki ‘vurugu’ bungeni

MWANASIASA wa siku nyingi hapa nchini, Pancras Ndejembi amesema haoni mantiki ya wajumbe wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kususa vikao vya bunge la katiba na kutaka kukimbilia kwa wananchi.

 

3 years ago

Michuzi

2 years ago

Malunde

Breaking News!! MWANASIASA MKONGWE PHILEMON NDESAMBURO AFARIKI DUNIA


Mbunge wa zamani wa Moshi Mjini (Chadema) Philemon Ndesamburo amefariki dunia ghafla leo, wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Moshi.
Katibu wa Chadema, Mkoa wa Kilimanjaro, Basil Lema amethibitisha kifo hicho na kueleza kuwa wataendelea kutoa taarifa zaidi juu ya kifo cha mwanasiasa huyo mkongwe.
Taarifa zaidi kuhusu kifo cha Ndesamburo zitaendelea kukujia. 

2 years ago

RFI

Mwanasiasa mkongwe nchini Kenya Nicholas Biwott afariki dunia

Wakenya wanaomboleza kifo cha Nicholas Kipyator Biwott, mwanasiasa mkongwe aliyekuwa Waziri wakati wa serikali ya rais Mustaafu Daniel Torotich Arap Moi.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani