Mzambia Yanga amzidi akili Pluijm

KOCHA wa Yanga, George Lwandamina, amethibitisha kwamba ni kocha wa kiwango cha juu baada ya kuweka rekodi mbili kubwa ambazo zilimshinda mtangulizi wake Mdachi, Hans Van Pluijm.

Mwanaspoti

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mtanzania

‘KARIAKOO DERBY’ OMOG ALIMZIDI AKILI PLUIJM

48Na SAMWELI SAMWELI, DAR ES SALAAM

MSIMU uliopita wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba SC ilimaliza nafasi ya tatu nyuma ya Yanga SC na Azam FC, zikishika nafasi mbili za juu katika msimamo wa ligi hiyo. Yanga waliibuka mabingwa wa ligi hiyo na Azam FC ikishika nafasi ya pili.

Kwenye Kombe la Shirikisho, Simba SC iliishia robo fainali, wakati Yanga SC wakiibuka mabingwa na Azam FC mshindi wa pili. Kila kombe Simba SC iliambulia patupu.

Udhaifu huu ndio umewafanya Simba SC kuja kivingine  msimu...

 

1 year ago

Mwanaspoti

Mzambia Yanga kimeeleweka

YANGA jana Alhamisi jioni ilimaliza mechi zake za duru la kwanza kwa kuvaana na Ruvu Shooting, lakini mchana kabla nyota wake kwenda uwanjani mabosi wa klabu hiyo walimalizana na Kocha George Lwandamina.

 

3 years ago

Mwananchi

Yanga yamleta fowadi Mzambia

Klabu ya Yanga imemleta nchini kwa majaribio mshambuliaji raia wa Zambia, Jonas Sakuwaha anayeichezea klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

 

1 year ago

MillardAyo

DoneDEAL: Yanga imemsajili Mzambia

screen-shot-2016-12-01-at-4-30-23-pm

Timu ya Dar es Salaam Young Africans leo December 1 2016 imetangaza kumsajili kiungo raia wa Zambia Justine Zulu, kiungo huyo amesajiliwa kwa mkataba wa miaka miwili. Yanga imemsajili Justine Zulu kutokea timu ya Zesco United ya Zambia, kwa taarifa hiyo sasa ni rasmi Justine Zulu ataungana na kocha wake wa zamani ambaye amejiunga na Yanga hivi karibuni […]

The post DoneDEAL: Yanga imemsajili Mzambia appeared first on millardayo.com.

 

9 months ago

Mwanaspoti

Mzambia Yanga mbona freshi

YANGA huenda wakamsainisha Kocha wao, George Lwandamina mkataba mpya leo Jumamosi usiku, Katibu Mkuu, Boniface Mkwasa amethibitisha.

 

1 year ago

Mwanaspoti

Mzambia aja na kiungo wake Yanga

SIMBA inacheza na Mbao leo Alhamisi kwenye Uwanja wa Uhuru. Taarifa ambazo huzijui ni kwamba mechi nyingine ambayo Simba watakanyaga tena katika nyasi hizo, kocha mpya wa Yanga, Mzambia George Lwandamina atakuwa jukwaa kuu akiwasoma.

 

1 year ago

Mwanaspoti

Simba yamzidi kete Mzambia wa Yanga

KOCHA Mkuu mpya wa Yanga, Mzambia George Lwandamina tayari yupo nchini tangu usiku wa kuamkia jana Jumatano na leo asubuhi atafanya kikao kizito na mabosi wa Yanga kabla ya kusaini mkataba wa miaka miwili.

 

1 year ago

Mwanaspoti

Mzambia amchenjia Bossou, ajitoa Yanga

BEKI mkongwe wa Yanga, Vicent Bossou amekuwa mchezaji wa kwanza kukumbana na mziki wa kocha mpya Mzambia George Lwandamina.

 

1 year ago

Mwanaspoti

Mzambia aibua vita mpya Yanga

KOCHA George Lwandamina hana miezi mitatu tangu atue Jangwani akitokea kwao Zambia ili kuinoa Yanga, lakini kile akichokifanya ndani ya kikosi hicho kwa muda mfupi kimesababisha kuibua vita mpya kwa wachezaji wake.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani