Mzazi aliyeibiwa Mtoto Hospitali ya Temeke, Aeleza kilichotokea

mzazi aliyejifungua watoto wawili mapacha na kudai kuibiwa mtoto mmoja katika hospitali ya Temeke, amefunguka kuelezea kilichotokea mpaka akdai kuwa ameibiwa mtoto wake .

Mzazi huyo aliyatambulika kwa jina la Asma Juma, anawatuhumu wauguzi wa hospitali hiyo kumuiba mtoto wake mmoja kwa kudai, awali wakati alipokuwa na ujauzito picha za Ultrasound alizowahi kupima zilionyesha kuwa ana ujauzito wa mapacha na hata alipokuwa hospitalini hapo alimsikia nesi aliyekuwa akimuhudumia akithibitisha kua ana watoto wawili.

Asma alisema “Wakati nipo chumba cha upasuaji, baada ya kuambiwa nafanyiwa operesheni, yule nesi aliyekuwa ananihudumia akiwa na mtu mwingine nilimsikia akisema ‘viko viwili’ akimaanisha wako watoto wawili, yule nesi aliniambia nisijitingishe, baadaye walinichoma sindano nikapoteza fahamu.”

“Nilivyozinduka nikajikuta nipo chumba cha pili nikiwa nasikia maumivu makali sana, niliwaomba dawa wakaniambia nitazikuta wodini hapo hakuna dawa za maumivu. Nilifanyiwa operesheni saa nane hadi saa kumi na mbili ndipo nikapelekwa wodini, kwa muda wote huo sikupewa watoto wangu. Nimeletewa mtoto mmoja saa kumi na moja alfajiri nakumbuka wakati nipo wodini nilimsikia yule nesi aliyekuwa akinihudumia akisema ‘Ultrasound’ zinadanganya. Ilisema ana watoto wawili kumbe ni mmoja. Kwakweli hadi sasa sielewi,” ameongeza.

The post Mzazi aliyeibiwa Mtoto Hospitali ya Temeke, Aeleza kilichotokea appeared first on Zanzibar24.

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

1 week ago

Zanzibar 24

Mama mzazi adai kuibiwa mtoto wake Hospitali ya Temeke

Tukio lilionekana kuwa ni la utata limetokea katika Hospitali ya rufaa ya Temeke ambapo Mwanamke mmoja alietambulika kwa jina la  Asma Juma kudai kuibiwa mtoto wake baada ya kujifungua mapacha na kukabidhiwa mtoto mmoja kati ya wawili hao.

Wakazi wa Kata ya Chamazi mtaa wa Pande, Asma Juma na Mumewe, Abubakar Pazi wakimfurahia mmoja wa mtoto wao wanayedai alizaliwa mapacha katika Hospitali ya Rufaa ya Temeke Dar es Salaam, mwezi uliyopita na mmoja kupotea katika mazingira yasiyofahamika....

 

1 week ago

Bongo5

Mama Aliyeibiwa Mtoto Hospitali, Afunguka

Asma Juma, mzazi aliyejifungua watoto mapacha na kudai kuibiwa mtoto mmoja katika hospitali ya Temeke, amefunguka kuelezea kilichotokea.

Mzazi huyo anawatuhumu wauguzi wa hospitali hiyo kumuiba mtoto wake huyo akidai, awali wakati alipokuwa na ujauzito picha za Ultrasound alizowahi kupima zilionyesha kuwa ana ujauzito wa mapacha na hata alipokuwa hospitalini hapo alimsikia nesi aliyekuwa akimuhudumia akithibitisha kua ana watoto wawili.

Akiongea na kipindi cha Power Breakfast cha Clouds...

 

2 years ago

GPL

MWILI WA MAMA MZAZI WA KULWA MWAIBALE WAAGWA HOSPITALI YA TEMEKE

Jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu, likiwa ndani ya Hospitali ya Temeke, muda mfupi kabla ya kuagwa kwa safari ya kuelekea Mbeya kwa mazishi. Picha ya marehemu enzi za uhai wake. Waombolezaji wakibeba jeneza lenye mwili wa marehemu, kuelekea kwenye gari, tayari kwa safari ya kuelekea Mbeya kwa mazishi.…

 

2 years ago

BBCSwahili

Mtoto aliyeibiwa apatikana baada ya miezi 4

Mahakama nchini El Salvador imeamuru mtoto aliyebadilishwa punde baada ya kuzaliwa kukutanishwa na wazazi wake halisi miezi minne baadaye

 

6 months ago

Channelten

Baba mzazi anayepigania uhai wa mtoto wake aliyepigwa na panga kichwani na baba yake mkubwa aeleza kusikitishwa sana

screen-shot-2016-11-03-at-2-57-59-pm

Baba mzazi wa mtoto Lengai Godi mwenye umri wa miaka mitatu anayepigania uhai wake katika taasisi ya tiba ya mifupa na mishipa ya fahamu MOI baada ya kupigwa na panga kichwani na baba yake mkubwa kufuatia ugomvi wa kifamilia, ameelezea kusikitishwa kwake na tukio hilo huku mhalifu wa tukio akiwa bado hajapatikana.

Akizungumza na Channel Ten, Godi Mwananguni amesema tukio hilo limetokea yeye akiwa kazini siku ya tarehe 23 mwezi wa kumi, nyumbani kwake Chalinze katika kijiji cha Chamakweza...

 

1 week ago

Bongo5

Mama aishutumu hospitali ya Temeke kumuibia mtoto, adai kipimo cha ‘Ultrasound’ kionyesha atajifungua mapacha

Utata umeibuka baada ya mkazi wa Mbande jijini Dar es Salaam, kuishutumu Hospitali ya Wilaya ya Temeke kumuimbia mtoto mmoja, baada ya kujifungua pacha.

Wakazi wa Kata ya Chamazi mtaa wa Pande, Asma Juma na Mumewe, Amir Pazi wakimfurahia mmoja wa mtoto wao wanayedai alizaliwa mapacha katika Hospitali ya Rufaa ya Temeke Dar es Salaam, mwezi uliyopita na mmoja kupotea katika mazingira yasiyofahamika.

Mwanamke huyo, Asma Juma alisema kabla ya kwenda kupewa rufaa ya kujifungua katika hospitali...

 

1 week ago

Bongo5

Mama aishutumu hospitali ya Temeke kumuibia mtoto, adai kipimo cha ‘Ultrasound’ kilionyesha atajifungua mapacha

Utata umeibuka baada ya mkazi wa Mbande jijini Dar es Salaam, kuishutumu Hospitali ya Wilaya ya Temeke kumuimbia mtoto mmoja, baada ya kujifungua pacha.

Wakazi wa Kata ya Chamazi mtaa wa Pande, Asma Juma na Mumewe, Amir Pazi wakimfurahia mmoja wa mtoto wao wanayedai alizaliwa mapacha katika Hospitali ya Rufaa ya Temeke Dar es Salaam, mwezi uliyopita na mmoja kupotea katika mazingira yasiyofahamika.

Mwanamke huyo, Asma Juma alisema kabla ya kwenda kupewa rufaa ya kujifungua katika hospitali...

 

5 months ago

Michuzi

JESHI LA ZIMAMOTO LAADHIMISHO SIKU YA MTOTO NJITI KWA KUWATEMBELEA WATOTO NJITI HOSPITALI YA RUFAA TEMEKE

 Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Puyo Nzalayaimisi (wapili kushoto) akizungumza na wazazi waliozaa watoto njiti kabla ya Jeshi kuwapa misaada mbalimbali kwa ajili ya kusaidia malezi ya watoto hao waliozaliwa katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Temeke, jijini Dar es Salaam. Jeshi la Zimamoto lilianzimisha Siku ya Mtoto Njiti Duniani kwa kuitembelea hospitali hiyo ambapo walitoa zawadi mbalimbali kwa watoto njiti, watoto wanaoumwa na watoto waliozaliwa kwa njia ya operesheni....

 

2 months ago

MillardAyo

VideoFUPI: Askofu Gwajima aeleza kilichotokea alipokuwa Polisi

Baada ya jana Feb. 11 Askofu Josephat Gwajima wa kanisa la Ufufuo na Uzima kuachiwa na Polisi baada ya mahojiano yaliyodumu toka Alhamisi kituo cha Polisi kati Dar es salaam kufuatia sakata la dawa za kulevya, leo February 12 2017 akiwa kwenye Ibada kanisani kwake amesimulia. ‘Nilienda moja kwa moja kwa Kamanda Sirro, nikamkuta na […]

The post VideoFUPI: Askofu Gwajima aeleza kilichotokea alipokuwa Polisi appeared first on millardayo.com.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani