Mzee Chilo Awataka Wasanii wa filamu Kubadili Mbinu

Nguli wa filamu, Ahmed Olotu maarufu kama ‘Mzee Chilo’ amesema anajua tasnia ya filamu inakumbwa na changamoto nyingi lakini wasanii wa filamu wanatakiwa kubadilisha mbinu za kibiasha ili wanufaike na kazi zao.

Mzee Chilo

Mzee Chilo

Akiongea na Bongo5 wiki hii, Chilo amewataka wasanii wa filamu kubadili mtazamo wa kibiashara ili waweze kunufaika na kazi zao.

“Mimi nasema tutengeneze kazi nzuri kama hali ni mbaya zaidi tubadili hata mbinu kwa tupeleka filamu zetu kwenye majumba ya sinema,” alisema Mzee...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Mzee Chilo awataka wasanii wa filamu kubadili mbinu ili wanufaike na kazi zao (Video)

Nguli wa filamu, Ahmed Olotu maarufu kama ‘Mzee Chilo’ amesema anajua tasnia ya filamu inakumbwa na changamoto nyingi lakini wasanii wa filamu wanatakiwa kubadilisha mbinu za kibiasha ili wanufaike na kazi zao.

Akiongea na Bongo5 wiki hii, Chilo amewataka wasanii wa filamu kubadili mtazamo wa kibiashara ili waweze kunufaika na kazi zao.

“Mimi nasema tutengeneze kazi nzuri kama hali ni mbaya zaidi tubadili hata mbinu kwa tupeleka filamu zetu kwenye majumba ya sinema,” alisema Mzee Chilo....

 

3 years ago

Bongo5

Mzee Chilo awataka wasanii wa filamu kuacha kulalamika

Nguli wa filamu, Ahmed Olotu maarufu kama ‘Mzee Chilo’ amesema licha ya tasnia ya filamu kukumbwa na changamoto nyingi lakini wasanii wa filamu wanatakiwa kufanya kazi kwa bidii na kuacha kulalamika.

Mzee Chilo akizungumza jambo na watoto

Mzee Chilo aliiambia Bongo5 kuwa wasanii hawatakiwi kukata tamaa kwa kuwa tayari wameitoa mbali tasnia ya filamu.

“Mimi napenda kuwaambia wasanii wenzangu tufanye kazi kwa bidii,” alisema Chilo. Haya mambo ya kulalamika tupunguze na hiyo nguvu tuipeleke katika kufanya kazi kwa bidii hata wao...

 

5 years ago

GPL

MZEE CHILO AWATOLEA UVIVU WASANII

Na Brighton Masalu
MSANII mkongwe katika tasnia ya filamu Bongo, Ahmed Ollotu ‘Mzee Chilo’ amewatolea uvivu wasanii wasiopenda kushirikiana na wenzao katika matatizo na kuwaonya kuwa tabia hiyo si nzuri kwani ipo siku itawaponza. Ahmed Ollotu ‘Mzee Chilo’. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni katika mahojiano maalumu, Chilo aliyejizolea heshima na umaarufu mkubwa katika fani hiyo, alikiri kuwa wasanii wengi...

 

4 years ago

Bongo5

Mzee Chilo asema filamu ya Going Bongo imemfunza mengi

Msanii wa filamu nchini, Ahmed Olotu maarufu kama Mzee Chilo, amesema kuigiza ndani ya filamu ya Going Bongo kumemfunza mambo mengi huku akidai kuwa amegundua filamu nyingi za bongo watu wanakurupuka. Mzee Chilo (kulia) akiwa na muigizaji mkuu wa filamu ya Going Bongo, Ernest ‘Napoleon’ Rwandalla Akizungumza na Bongo5 hivi karibuni katika uzinduzi wa filamu […]

 

3 years ago

Bongo5

Wanaosema Wahindi wanawanyonya wasanii ni waongo – Mzee Chilo

Msanii mkongwe wa filamu nchini, Mzee Chilo amesema siyo kweli kwamba wasambazaji Wakiindi wanawanyonya wasanii wa filamu.
Mzee Chilo akizungumza jambo na watoto

Akiongea na Bongo5 Jumapili hii, Mzee Chilo amesema kuwa wasanii wengi kwa sasa wanafanya filamu mbovu ndio maana filamu zao zinakosa soko kwa Waindi.

“Wanaosema kwamba bongo movie imeshuka sijui hizi taarifa wanazipata wapi, mimi nipo kwa miaka mingi na wasambazaji wakiindi na sijawai kupata tatizo lolote kusema kweli,” alisema Chilo. “Mimi nadhani wanaosema Waindi...

 

3 years ago

Bongo Movies

Mzee Chilo Awashukia Wasanii Kuhusu Kunyonywa na Wadosi

Msanii mkongwe wa filamu nchini, Mzee Chilo amesema siyo kweli kwamba wasambazaji Wakiindi wanawanyonya wasanii wa filamu.

Mzee Chilo

Mzee Chilo

Akiongea na Bongo5 Jumapili hii, Mzee Chilo amesema kuwa wasanii wengi kwa sasa wanafanya filamu mbovu ndio maana filamu zao zinakosa soko kwa Waindi.

“Wanaosema kwamba bongo movie imeshuka sijui hizi taarifa wanazipata wapi, mimi nipo kwa miaka mingi na wasambazaji wakiindi na sijawai kupata tatizo lolote kusema kweli,” alisema Chilo. “Mimi nadhani wanaosema...

 

4 years ago

Bongo Movies

Mzee Chilo Aingia Chimbo

Muigizaji mkongwe katika tasnia ya filamu Tanzania, Mzee Chilo ameonyesha kuwa licha ya umri mkubwa alionao, anaendelea na kazi ya sanaa, hivi sasa akiwa katika utayarishaji wa tamthilia kubwa kabisa inayokwenda kwa jina 'Ghafla Siku Moja'.

Kazi hiyo inaendelea kwa sasa kuongeza nguvu kwa upande wa utayarishaji tamthilia hapa nchini ambao bado upo chini kufuatia wasanii wengi kujikita katika filamu ambazo huwagharimu bajeti na muda mdogo kukamilisha.

Eatv.tv

 

4 years ago

Bongo Movies

Mzee Chilo: Going Bongo Inastahili Tuzo Zaidi

Mwigizaji wa filamu, Chilo ametaja sababu tatu zinazoweza kuifanya filamu ya Going Bongo kushinda tuzo zaidi, ambazo ni maandalizi ya muda mrefu, kuona mbali na waigizaji kutambua kazi yao.

Mwigizaji huyo, ambaye jina lake halisi ni Ahmed Olutu, alisema inawezekana mambo mengine yamo ndani ya maandalizi, lakini kiuhalisia kila jambo linajitegemea, kwa sababu unaweza kuandaa kila kitu lakini waigizaji wakawa hawatambui thamani ya ulichokiandaa na kufanya mzaha katika kazi.

Chilo ni miongoni...

 

3 years ago

Mtanzania

Mzee Chilo, Kijo, Hashim Kambi ndani ya ‘Homecoming’

Kijo na ChiloNA MWANDISHI WETU

MASTAA wengi wa Bongo Movie wamekutanishwa katika filamu mpya ya ‘Homecoming’, inayotarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni, huku ikilenga kubadilisha soko la mauzo ya filamu za Tanzania.

Baadhi ya mastaa hao walioshiriki katika filamu hiyo ni pamoja na Daniel Kijo, aliyekuwa akitangaza kipindi cha Daladala kinachorushwa na televisheni ya Star TV, Ahmed Olotu ‘Mzee Chilo’, Hashim Kambi, Susan Lewis ‘Natasha’ na Abby Plaatjes, aliyewahi kuwa mmoja wa washiriki wa Big Brother...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani