Mzee Chilo awataka wasanii wa filamu kubadili mbinu ili wanufaike na kazi zao (Video)

Nguli wa filamu, Ahmed Olotu maarufu kama ‘Mzee Chilo’ amesema anajua tasnia ya filamu inakumbwa na changamoto nyingi lakini wasanii wa filamu wanatakiwa kubadilisha mbinu za kibiasha ili wanufaike na kazi zao.

Akiongea na Bongo5 wiki hii, Chilo amewataka wasanii wa filamu kubadili mtazamo wa kibiashara ili waweze kunufaika na kazi zao.

“Mimi nasema tutengeneze kazi nzuri kama hali ni mbaya zaidi tubadili hata mbinu kwa tupeleka filamu zetu kwenye majumba ya sinema,” alisema Mzee Chilo....

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo Movies

Mzee Chilo Awataka Wasanii wa filamu Kubadili Mbinu

Nguli wa filamu, Ahmed Olotu maarufu kama ‘Mzee Chilo’ amesema anajua tasnia ya filamu inakumbwa na changamoto nyingi lakini wasanii wa filamu wanatakiwa kubadilisha mbinu za kibiasha ili wanufaike na kazi zao.

Mzee Chilo

Mzee Chilo

Akiongea na Bongo5 wiki hii, Chilo amewataka wasanii wa filamu kubadili mtazamo wa kibiashara ili waweze kunufaika na kazi zao.

“Mimi nasema tutengeneze kazi nzuri kama hali ni mbaya zaidi tubadili hata mbinu kwa tupeleka filamu zetu kwenye majumba ya sinema,” alisema Mzee...

 

3 years ago

Bongo5

Mzee Chilo awataka wasanii wa filamu kuacha kulalamika

Nguli wa filamu, Ahmed Olotu maarufu kama ‘Mzee Chilo’ amesema licha ya tasnia ya filamu kukumbwa na changamoto nyingi lakini wasanii wa filamu wanatakiwa kufanya kazi kwa bidii na kuacha kulalamika.

Mzee Chilo akizungumza jambo na watoto

Mzee Chilo aliiambia Bongo5 kuwa wasanii hawatakiwi kukata tamaa kwa kuwa tayari wameitoa mbali tasnia ya filamu.

“Mimi napenda kuwaambia wasanii wenzangu tufanye kazi kwa bidii,” alisema Chilo. Haya mambo ya kulalamika tupunguze na hiyo nguvu tuipeleke katika kufanya kazi kwa bidii hata wao...

 

3 years ago

Bongo5

Bodi ya Filamu yadai haijapokea malalamiko ya wasanii wa filamu kuibiwa kazi zao na wasambazaji

Ikiwa ni siku chache toka msanii wa filamu Dk Cheni adai kuna baadhi ya wasambazaji wa filamu wanaiba kazi za wasanii na kuzisambaza, Bodi ya filamu imedai haijawahi kupokea malalamiko ya tukio la namna hiyo.
fis2-1
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Nchini, Joyce Fisoo

Akiongea Alhamisi hii katika kipindi cha Enewz cha EATV, Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Nchini, Joyce Fisoo amesema wamekuwa wakipokea malalamiko tofauti tofauti lakini sio la wasambazaji kuiba kazi za wasanii.

“Kama kuna wambazaji...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Majaji na Mahakimu watakiwa kuendesha kesi kwa haraka ili wananchi wanufaike na haki zao

Makamo wa pili wa Raisi Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewataka majaji na Mahakimu kuendesha kesi kwa haraka ili wananchi wanufaike na haki zao za msingi juu ya mashtaka wanayoyafungua.

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Shamrashamra za Siku ya sheria katika Viwanja vya Misara Mjini Unguja Balozi Seif amesema wananchi wamekuwa wakilalalmika juu ya kucheweshwa kesi.

Amesema kuharakisha kesi kutawewazesha wananchi kuwa na ari ya kuripoti kesi zinazojitokeza katika jamii ili kuzuia...

 

5 years ago

GPL

MZEE CHILO AWATOLEA UVIVU WASANII

Na Brighton Masalu
MSANII mkongwe katika tasnia ya filamu Bongo, Ahmed Ollotu ‘Mzee Chilo’ amewatolea uvivu wasanii wasiopenda kushirikiana na wenzao katika matatizo na kuwaonya kuwa tabia hiyo si nzuri kwani ipo siku itawaponza. Ahmed Ollotu ‘Mzee Chilo’. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni katika mahojiano maalumu, Chilo aliyejizolea heshima na umaarufu mkubwa katika fani hiyo, alikiri kuwa wasanii wengi...

 

4 years ago

Bongo5

Mzee Chilo asema filamu ya Going Bongo imemfunza mengi

Msanii wa filamu nchini, Ahmed Olotu maarufu kama Mzee Chilo, amesema kuigiza ndani ya filamu ya Going Bongo kumemfunza mambo mengi huku akidai kuwa amegundua filamu nyingi za bongo watu wanakurupuka. Mzee Chilo (kulia) akiwa na muigizaji mkuu wa filamu ya Going Bongo, Ernest ‘Napoleon’ Rwandalla Akizungumza na Bongo5 hivi karibuni katika uzinduzi wa filamu […]

 

3 years ago

Bongo5

Wanaosema Wahindi wanawanyonya wasanii ni waongo – Mzee Chilo

Msanii mkongwe wa filamu nchini, Mzee Chilo amesema siyo kweli kwamba wasambazaji Wakiindi wanawanyonya wasanii wa filamu.
Mzee Chilo akizungumza jambo na watoto

Akiongea na Bongo5 Jumapili hii, Mzee Chilo amesema kuwa wasanii wengi kwa sasa wanafanya filamu mbovu ndio maana filamu zao zinakosa soko kwa Waindi.

“Wanaosema kwamba bongo movie imeshuka sijui hizi taarifa wanazipata wapi, mimi nipo kwa miaka mingi na wasambazaji wakiindi na sijawai kupata tatizo lolote kusema kweli,” alisema Chilo. “Mimi nadhani wanaosema Waindi...

 

3 years ago

Bongo Movies

Mzee Chilo Awashukia Wasanii Kuhusu Kunyonywa na Wadosi

Msanii mkongwe wa filamu nchini, Mzee Chilo amesema siyo kweli kwamba wasambazaji Wakiindi wanawanyonya wasanii wa filamu.

Mzee Chilo

Mzee Chilo

Akiongea na Bongo5 Jumapili hii, Mzee Chilo amesema kuwa wasanii wengi kwa sasa wanafanya filamu mbovu ndio maana filamu zao zinakosa soko kwa Waindi.

“Wanaosema kwamba bongo movie imeshuka sijui hizi taarifa wanazipata wapi, mimi nipo kwa miaka mingi na wasambazaji wakiindi na sijawai kupata tatizo lolote kusema kweli,” alisema Chilo. “Mimi nadhani wanaosema...

 

2 years ago

Bongo5

JB na wasanii wengine wa filamu watua kwa RC Makonda kulalamika kuhusu kuibiwa kazi zao

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh. Paul Makonda amepiga marufuku kuanzia Alhamisi hii tarehe 06 Aprili, 2017 uuzwaji, uingizwaji wa filamu za nje ambazo hazina stika za TRA ndani ya mkoa wa Dar es Salaam.

Aidha amesema baada ya siku kumi ofisi yake kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Kanda Maalum wataendesha msako wa kuwakamata wote watakaokuwa wamekiuka agizo hilo.

Amesema hayo amapema leo ofisini kwake jijini Dar es salaam baada ya kutembelewa na wasanii wa filamu wakiongozwa na Jacob...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani