Mzozo Sudan: Waandamanaji wajitenga na jeshi Sudan

Waandamanaji wanasema hawatambui utawala wa baraza la kijeshi lililompindua Omar al-Bashir.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 weeks ago

VOASwahili

Jeshi, upinzani Sudan yaunda kamati kuchunguza mashambulizi dhidi ya waandamanaji

Kamati ya kijeshi inayosimamia serikali ya mpito nchini Sudan, imeunda kamati ya pamoja na muungano wa upinzani unaopigania uhuru na mabadiliko, kuchunguza mashambulizi yanayowalenga waandamanaji.

 

1 month ago

BBCSwahili

Mapinduzi Sudan : Waandamanaji wakaidi agizo la kutotoka nje baada ya jeshi kumpindua Bashir

Maelfu wakataa amri ya amri ya jeshi ya kutotoka nje kwa saa kadhaa baada ya kupinduliwa na kukamatwa kwa kiongozi wa muda mrefu Omar al-Bashir

 

2 weeks ago

BBCSwahili

Mzozo wa Sudan: Jeshi na upinzani waaafikiana juu ya kipindi cha mpito cha miaka 3

Baraza la kijeshi la utawala na muungano wa upinzani wametangaza hatua ya kuukabidhi utawala kamili kwa raia nchini Sudan

 

2 years ago

Channelten

Sudan na Sudan Kusini zajadili mpango wa ziara ya rais wa Sudan Kusini nchini Sudan

qw

Waziri wa mambo ya nje wa Sudan Bw. Ibrahim Ghandour na balozi wa Sudan Kusini nchini humo Bw. Mayan Dot, wamejadili mpango wa ziara atakayofanya rais Salva Kiir wa Sudan Kusini nchini Sudan.

Maofisa hao pia wamejadili ushirikiano kati ya nchi hizo mbili, na kuharakisha utekelezaji wa matokeo ya mikutano ya kamati ya pamoja ya siasa na usalama iliyofanyika hivi karibu na mpango wa mawasiliano kati ya wizara za mafuta za nchi hizo mbili.

Waziri huyo wa Sudan ameihimiza serikali ya Sudan...

 

3 years ago

BBCSwahili

Mzozo wa Sudan kusini

Viongozi wa pande zinazopingana Sudan, hawajaunda serikali ya mpito katika kipindi cha siku 90 kama ilivyokubaliwa mwezi wa 8.

 

1 month ago

BBCSwahili

Waandamanaji Sudan washinikiza kubuniwe utawala wa kiraia

Waandamanaji hao wameapa hawataondoka barabarani hadi wapate mabadiliko ya kudumu.

 

3 weeks ago

VOASwahili

Waandamanaji Sudan wanaendelea kudai utawala wa kiraia

Umati ulikusanyika nje ya makao makuu ya jeshi mjini Khartoum kwa Iftar ya kwanza ya Ramadan huku watu wakieleza dhamira ya kuendelea na maandamano bila kujali hali ya hewa ya joto kali au saumu kuwavunja nguvu

 

4 years ago

BBCSwahili

Watoto wanashiriki mzozo wa Sudan Kusini

Shirika linalopigania haki ya binadamu, Human Rights Watch limesema kuwa watoto wanatumika katika mapigano ya Sudan Kusini

 

5 years ago

BBCSwahili

Juhudi kukomesha mzozo Sudan Kusini

Jamii ya kimataifa imeelezea kuwa itafanya kila iwezalo kuhakikisha kuwa mgogoro wa Sudan Kusini unatuliwa

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani