Mzozo wa Sudan: Jeshi na upinzani waaafikiana juu ya kipindi cha mpito cha miaka 3

Baraza la kijeshi la utawala na muungano wa upinzani wametangaza hatua ya kuukabidhi utawala kamili kwa raia nchini Sudan

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Channelten

Kipindi cha Mpito Siasa za Gambia , AU yaunga mkono mzozo kutatuliwa na Mahakama

_92964899_mediaitem92964898

sarakasi za Mgogoro wa kisiasa nchini Gambia,zinazidi kuchukua hatua nyingine kila uchao,kufuatia Umoja wa Afrika,AU,kuunga mkono suluhu ya sakata hilo kufikiwa kwa amani na mahakama ya nchi hiyo.

Tayari mahakama ya kikatiba ya Gambia, imeshaanza kushughulikia kadhia hiyo kufutia Rais Yaya Jameh,kufungua kesi kupinga matokeo ya Uchaguzi wa Rais wa nchi hiyo kwa madai kadhaa ikiwemo udanganyifu.

Kwa mujibu wa vyombo vya habari wananchi wa Gambia,wamedai kuwa hiyo ni dalili njema kupatikana...

 

3 years ago

VOASwahili

Baraza la Usalama latoa wito kuwepo kipindi cha amani cha mpito DRC

Ujumbe wa baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa unaotembelea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo umetoa wito wa kuwepo kipindi cha amani cha mpito kuelekea uchaguzi wa haki, katika nchi hiyo iliyogawika kutokana na kufanyika kwa uchaguzi ujao wa rais. Ujumbe wa mabalozi 15 wa Baraza la Usalma umetembelea miji ya Goma na Beni JUmapili baada ya kukutana na rais Joseph Kabila naviongozi wa serikali na upinzani pamoja na viongozi wa kidini huko Kinshasa siku ya Jumamosi. Balozi wa Ufaransa...

 

4 years ago

BBCSwahili

Japan katika kipindi cha mpito kiuchumi

Takwimukutoka katika serikali ya Japan zinaonesha kwamba uchumi wa nchi hiyo unashuka kwa asilimia 1.9 kwa mwaka.

 

3 years ago

Channelten

Ban Ki-moon amewasili kuwapongeza raia wa Burkina Faso kwa ajili ya mafanikio ya usimamizi wa kipindi cha mpito

thumbs_b_c_24fdc13bdeb186c9aeb33fc9f6833557

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amewasili jana jioni aliwasili mji mkuu wa Burkina Faso, Ouagadougou ambapo lengo la ziara hiyo ni kuwapongeza raia wa Burkina Faso kwa ajili ya mafanikio ya usimamizi wa kipindi cha mpito, ambacho kilimalizika kwa uchaguzi ambao matokeo yake yalikubaliwa na wadau wote.

Ban Ki-moon amesema kuwa wananchi wa Burkina Faso wameonyesha ushirkiano na kufurahishwa na uungwaji wake mkono kwa nchi hii ambayo imekua na hatua muhimu katika historia yake na...

 

4 years ago

Michuzi

DART yaainisha mafanikio yaliyopatikana katika BRT, kuleta mabasi 76 Mwezi Septemba mwaka na kuanza rasmi kipindi cha mpito

Muonekano wa sehemu ya awamu ya kwanza ya Mradi wa Magari Yaendayo Haraka (BRT) ambapo kipindi cha mpito kinatarajia kuanza Septemba mwaka huu. 
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) imeisifu serikali ya awamu ya nne chini ya Rais Jakaya Kikwete kwa mafanikio ya ujenzi wa awamu ya kwanza ya Mradi wa Magari Yaendayo Haraka (BRT) ambapo kipindi cha mpito kinatarajia kuanza septemba mwaka huu. 
Mradi huu unatarajia kuboresha maisha ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam ambalo limesongwa na...

 

2 years ago

RFI

UNHCR: Raia elfu 60 wa Sudan Kusini waingia Sudan katika kipindi cha miezi 3

Zaidi ya raia elfu 60 kutoka Sudan Kusini wameingia nchini Sudan katika kipindi cha miezi mitatu ya mwanzo ya mwaka 2017, wakikimbia njaa na vita kwenye taifa hilo changa zaidi duniani, imesema taarifa ya shirika la umoja wa Mataifa linalohusika na wakimbizi duniani UNHCR.

 

4 years ago

Michuzi

RFB yafanikiwa kufanya maboresho ya barabara kwa kiwango cha lami katika kipindi cha miaka kumi ya uongozi wa JK

Na Lorietha Laurence-Maelezo
Bodi ya Mfuko wa Barabara nchini(RFB) imefanikiwa kufanya maboresho ya barabara kwa kiwango cha lami katika kipindi cha miaka kumi ya uongozi wa Serikali ya awamu ya nne wa Mhe. Jakaya Kikwete.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam Jana Bw. Joseph Haule amesema kuwa matengenezo hayo yamefanikisha ujenzi wa barabara kuu zinazounganisha mikoa mbalimbali nchini kukamilika kwa asilimia 89 huku zile za Wilaya na Miji kwa asilimia 57.
“ kazi...

 

2 years ago

Channelten

Kiwanda cha Bakhresa kilichoko Mwandege, Mkuranga katika kipindi cha miaka mitatu kimenunua tani 70,000 za matunda

BAKHRESA
Kiwanda cha kuchakata matunda cha Bakresa Food Products ambacho ni miongoni mwa makampuni tanzu ya Bakhresa kilichoko Mwandege, Mkuranga Mkoa wa Pwani katika kipindi cha miaka mitatu kimenunua tani 70,000 za matunda mbalimbali yenye thamani ya shilingi bilioni 16 kutoka kwa wakulima huku kikielezea kuwepo kwa nakisi ya upatikanaji wa matunda kwa zaidi ya tani kumi kwa siku.

Katika semina ya pamoja baina ya kiwanda hicho, wakulima, wafanyabishara wa matunda pamoja na Mkuu wa Wilaya ya...

 

4 weeks ago

BBCSwahili

Mzozo Sudan: Waandamanaji wajitenga na jeshi Sudan

Waandamanaji wanasema hawatambui utawala wa baraza la kijeshi lililompindua Omar al-Bashir.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani