Nabil Fekir: Liverpool wakaribia kumnunua mchezaji mwingine nyota kutoka Ufaransa

Mazungumzo kati ya klabu ya Liverpool na Lyon yanatarajiwa kukamilika Ijumaa kuhusu uhamisho ambao huenda ukawa wa thamani ya karibu euro 60m (£52.75m).

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Liverpool kumnunua Origi na Markovic

Liverpool imekubaliana na Lille kumsajili Origi na Markovic kabla ya kushiriki ligi ya mabingwa

 

2 years ago

BBCSwahili

Alvaro Morata: Chelsea wakubaliana kumnunua nyota wa Real Madrid

Chelsea wamefikia makubaliano kumnunua mshambuliaji wa Real Madrid, raia wa Uhispania Alvaro Morata.

 

5 years ago

Vijimambo

UBABAISHAJI WA VIONGOZI WA TIMU ZA TANZANIA UNAWEZAJE KUMNUNUA MCHEZAJI KWA PESA NYINGI BILA KUPIMWA NA KUJUA KAMA ANATATIZO KABLA YA KUSAJILIWA?

Mchezaji wa timu ya Simba, Paul Raphael Kiongera.
Daktari huyo amesema kama Kiongera amekuwa na ugonjwa sugu wa goti, ni nadra kama atanusurika kufanyia upasuaji.
“Ugonjwa wa goti una mambo mengi, siwezi kusema kila kitu kwa kuwa majibu ya tatizo la Kiongera sijayaona.“Kama ni ugonjwa sugu, asilimia kubwa ni upasuaji na mara nyingi inakuwa ni nje ya nchi,” alisema daktari huyo bingwa.
“Lakini bado inawezekana hata hapa nyumbani ingawa mara nyingi watu hukwepa tu gharama lakini nje ni sahihi,”...

 

2 years ago

BBCSwahili

Tottenham kumnunua Serge Aurie kutoka PSG

Tottenham wanatarajiwa kukamilisha ununuzi wa beki wa Paris St-Germain Serge Aurier baadaye leo Alhamisi.

 

2 years ago

BBCSwahili

Klabu ya China yazuiwa kumnunua Costa kutoka Chelsea

Mpango wa klabu ya China ya Tianjin Quanjian kumsajili Diego Costa kutoka Chelsea umegonga mwamba kutokana na sheria mpya iliyotolewa kwa klabu zinazocheza ligi kuu ya China.

 

2 years ago

BBCSwahili

Man City wakamilisha kumnunua Kyle Walker kutoka Tottenham

Uhamisho wake, ambao unakuwa na jumla ya £50m ukiongeza kikolezo cha £5m, huenda ukamfanya kuwa mchezaji ghali zaidi wa England.

 

2 years ago

BBCSwahili

Man Utd wakamilisha kumnunua Nemanja Matic kutoka Chelsea

Manchester United wamekamilisha ununuzi wa kiungo wa kati wa Serbia Nemanja Matic kutoka kwa mabingwa wa Ligi ya Premia Chelsea kwa £40m.

 

2 years ago

BBCSwahili

Manchester United wakaribia kumsaini Nemanja Matic kutoka Chelsea

Kuwasili kwake uga wa Old Trafford kutafuatia usajili wa mlinzi Victor Lindelof ambaye aljiunga kwa paunia milioni 31 kutoka Benfica na mshambuliaji Romelu Lukaku

 

3 years ago

Mtanzania

Nyota mwingine Cameroon afariki dunia

Jeanine DjomnangYAOUNDE, CAMEROON

TAIFA la Cameroon limepata pigo lingine baada ya kipa wa timu ya Taifa ya wanawake, Jeanine Djomnang, kupoteza maisha juzi wakati akifanya mazoezi katika timu yake ya Femina Stars Ebolowa.

Mchezaji huyo alipoteza maisha akiwa njiani wakati anakimbizwa hospitali, ambapo inadaiwa kwamba alipatwa na mshtuko wa moyo mazoezini, huku Shirikisho la Soka la Cameroon likieleza kuwa bado halijapata taarifa kutoka kwa madaktari.

Wiki moja kabla ya kifo chake, kipa huyo aliwahi...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani