Nafasi 12 za kazi katika Idara ya Serikali Mtandao Zanzibar

Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Idara ya Serikakali Mtandao kama ifuatavyo:-

1.BUSINESS ANALYST DARAJA LA II – Nafasi tatu (3) Unguja.

Sifa za Muombaji:
•Awe ni Mzanzibari.
•Awe amehitimu elimu ya Shahada ya Kwanza katika fani ya Computer Science, Information Systems au Information Technology kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

2.SYSTEM DEVELOPER/PROGRAMMER DARAJA LA II Nafasi tatu(3) Unguja.

Sifa za Muombaji:
•Awe ni...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Zanzibar 24

Idara ya Serikali Mtandao Zanzibar yawasilisha rasimu ya sheria ya serikali mtandao kwa wadau kisiwani Pemba

BAADHI ya wataalamu wa kompyuta na maofisa sheria, kutoka taasisi na mashirika ya umma kisiwani Pemba, wakisikiliza uwasilishaji wa rasimu ya sheria ya serikali mtandao ‘E-Government’ kwenye mkutano uliofanyika ukumbi wa Maktba Chakechake, mkutano huo ulitayarishwa na Idara ya serikali mtandao Zanzibar, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

 

BAADHI ya wataalamu wa kompyuta na maofisa sheria, kutoka taasisi na mashirika ya umma kisiwani Pemba, wakisikiliza uwasilishaji wa rasimu ya sheria ya...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Nafasi za kazi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMS

Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi ya kazi kwa ajili ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ kama ifuatavyo:-

1. Muhandisi Ujenzi (Civil Engineering) “Nafasi 1” – Pemba na “Nafasi 1” – Unguja.

Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya ‘Civil Engineer’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

2. Soro Veya Survey Engineer “Nafasi 1” – Unguja

Sifa za Waombaji:
• Awe ni...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Nafasi za kazi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ

Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi ya kazi kwa ajili ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ kama ifuatavyo:-

1. Afisa Mapato Msaidizi Daraja la III “Nafasi 2”
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu Stashahada katika fani ya ‘Uhasibu’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

2. Afisa Manunuzi Daraja la II “Nafasi 1”
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Nafasi za kazi kwa skuli za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Skuli za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Unguja na Pemba kama ifuatavyo:-

1. Walimu wa Skuli za Maandalizi:

WILAYA ZA UNGUJA
WILAYA NAFASI
KASKAZINI ‘A’ 15
KASKAZINI ‘B’ 6
MAGHARIBI ‘A’ 4
MAGHARIBI ‘B’ 5
KATI 9
KUSINI 5
WILAYA ZA PEMBA
MKOANI 7
CHAKE CHAKE 4
WETE 4
MICHEWENI 11

Sifa za Muombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu fani ya Ualimu wa Maandalizi katika ngazi ya Cheti kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Orodha ya majina walioomba nafasi za kazi ya ualimu katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar

Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana ambao wameomba nafasi za kazi ya ualimu katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kufika katika Skuli ya M/kwerekwe “C” saa 2:00 za asubuhi kwa utaratibu ufuatao:-

1. Tarehe 30/09/2017 walimu wa Stashahada na Cheti kwa Skuli za Msingi na Maandalizi.
2. Tarehe 01/10/2017 walimu wa Shahada kwa ajili ya Skuli za Sekondari.

Pia wanatakiwa kuchukuwa vyeti vyao halisi vya kumalizia masomo,Cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha Mzanzibari...

 

2 years ago

Malunde

SERIKALI KUAJIRI WATUMISHI WAPYA IDARA YA AFYA KUZIBA NAFASI ZILIZOACHWA WAZI NA WENYE VYETI FEKI

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeahidi kuajiri watumishi wa idara ya afya ili kujaza nafasi zilizoachwa wazi na watumishi ambao wameondolewa katika utumishi wa umma kwa kukosa sifa ya kuwa na vyeti halisi baada ya zoezi la uhakiki wa vyeti nchini.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ameyasema hayo jana wakati wa maadhimsho ya Siku ya Wauguzi Duniani ambapo kitaifa imefanyika katika hospitali ya St. Gasper,...

 

5 years ago

Ykileo

USALAMA MTANDAO NA NAFASI YA VYOMBO VYA HABARI KATIKA KUTOA ELIMU.

Hali ya usalama mtandao ni dhahiri bado jitihada za dhati zinahitajika ili kuweza kuleta mabadiliko na kupata Tanzania salama kimtandao, Afrika na dunia kiujumla. Ili kuleta mabadiliko chanya jukumu la kutoa elimu halipaswi kubaki kwa mtu mmoja au kundii Fulani la watu bali ni lazima kuwe na kuunganisha nguvu ya pamoja kutoka katika kila mtu mmoja mmoja.


Miongoni mwa jitihada zinaonekana kwa vyombo vya habari na makundi mbali mbali nchini Tanzania kuanza kuona umuhimu wa maswala ya ulinzi...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Nafasi za Kazi Wizara ya Afya Zanzibar

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Kupitia wizara ya Afya ya Zanzibar, inawakaribisha Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi zifuatazo:

GLOBAL FUND FOCAL PERSON – ONE POST (1) WEB MASTER – ONE POST (1) FINANCE MANAGER – ONE POST(1) PROCUREMENT AND SUPPLY MANAGEMENT SPECIALIST

 

Muhimu

Maelezo kuhusu kazi, sifa, Majukumu ya kazi na maelezo ya ziada yanapatikana katika gazeti la Zanzibar leo la Jumatano, Disemba 7, 2016 Tarehe ya mwisho ya kutuma maombi ni tarehe 28 Disemba...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Nafasi za Kazi Tasakhtaa Hospital – Zanzibar

Insurance Manager Job Description:

Job Title:  Insurance Manager

Reports To:  Hospital General Manager

Key Relationships: Handling Insurance Claims for service providers.

Job Summary: To help achieve maximum settlement and recovering of all bills from the insurance service providers. Enabling correct compliance with all stipulated rules and procedures and ensuring timely payments by the service providers to the hospitals as provided for in the contract agreement.+

Job Duties.

The insurance...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani