NAHODHA WA SIMBA JONAS MKUDE ANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI YA GARI MKOANI MOROGORO LEO

NAHODHA wa Mabingwa wa kombe la Shirikisho na Kiungo wa timu hiyo, Jonas Mkude ni miongoni mwa watu waliojeruhiwa katika ajali ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka Dodoma kwenda Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka eneo ilipotokea ajali hiyo, Dumila katika shamba la Mitiki, zinaarifu kuwa kuna watu wawili ambao bado majina yao hajapatikana wameumia na Mkude kupata majeraha madogo na kupelekwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro kwa matibabu zaidi.
 Watu hao walikuwa katika gari aina ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Malunde

NAHODHA WA TIMU YA SIMBA JONAS MKUDE APATA AJALI MOROGORO

Mkude apata ajali: Gari toyota VX namba za usajili T 834 BLZwalilokuwa wakisafiria mashabiki wa timu ya Simba ambalo pia inadaiwa kingo na nahodha wa timu ya Simba, Jonas Mkude limepata ajali eneo la Dumila Morogoro. 
Taarifa za awali majeruhi wamepatiwa huduma ya kwanza na wengine wamepelekwa hospitali Morogoro.
 Tutazidi kuwajuza kadiri taarifa zinapotufikia.

 

2 years ago

MillardAyo

Nahodha wa Simba Jonas Mkude amepata ajali

Siku moja baada ya kumalizika kwa mchezo wa fainali ya Kombe la Azam Sports Federation Cup kati ya Simba dhidi ya Mbao FC katika uwanja wa Jamhuri Dodoma na Simba kuibuka na ushindi wa magoli 2-1, leo May 28 nahodha wa timu hiyo Jonas Mkude ameripotiwa kupata ajali. Mkude ambaye alikuwa katika gari binafsi na […]

The post Nahodha wa Simba Jonas Mkude amepata ajali appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

BBCSwahili

Afya ya Nahodha wa Simba ,Jonas Mkude yazidi kuimarika

Nahodha wa klabu ya soka ya Simba, Jonas Mkude ameruhusiwa kutoka katika hospitali ya Muhimbili, Dar es Salaam

 

2 years ago

Zanzibar 24

Jonas Mkude wa Simba apata ajali

Kiungo Jonas Mkude ambaye hapo jana aliisaidia timu yake kutwaa taji la Azam Sports Federation Cup amepata ajali ya gari wakati akiwa safarini kurejea jijini Dar es Salaam.

Pichani ni Jonas Mkude

Ajali hiyo imetokea katika eneo la Mtibora, Dumila Mkoani Morogoro baada ya tairi la nyuma kupasuka. Taarifa za awali zinasema yeye pamoja na majeruhi wengine wamepelekwa katika hospitali ya mkoa wa Morogoro.

The post Jonas Mkude wa Simba apata ajali appeared first on Zanzibar24.

 

3 years ago

Bongo5

Gabo Zigamba anusurika kifo katika ajali ya gari

Muigizaji wa filamu ya ‘Bado Natafuta’ Gabo Zigamba amenusurika kifo katika ajali ya gari wakati akielekea hifadhi ya Ruaha akiwa na wenzake wawili ambao wamejeruhiwa huku yeye akisalimika katika ajali hiyo.
Gbao

Gabo amekanusha taarifa ambazo zimezagaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa amefariki katika ajali hiyo.

“Uongo unaoishi ndiyo ukweli mpaka ukanushwe, nami naanzia hapa kwenye kukanusha, ni kweli nimepata ajali lakini sijafa na maumivu ni ya ndani sana,” aliandika Gabo katika istagram yake....

 

3 years ago

Channelten

Mtu mmoja amefariki na wanne kujeruhiwa akiwemo mama Tunu Pinda katika ajali ya gari iliyotokea leo mkoani Morogoro

ajali mama Pinda2

12688106_1430751443605936_2258706604607280153_n

Mke wa waziri mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda, mama Tunu Pinda amepata ajali akitokea mkoani Dodoma baada ya gari aliyokuwa akisafiria kujaribu kumkwepa mwendesha pikipiki na kupinduka na kusababisha kifo cha mwendesha pikipiki papo hapo katika eneo la Mkundi, barabara kuu ya Morogoro Dodoma.

Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Morogoro, ambaye pia ni mkuu wa mkoa wa Morogoro Dkt. Rajabu Rutegwe amesema ajali hiyo imehusisha gari aina Land...

 

1 year ago

Michuzi

NEWS ALERT:WAWILI WAPOTEZA MAISHA,MKURUGENZI TBC ANUSURIKA KIFO KUFUATIA AJALI YA GARI WILAYANI KASULU,MKOANI KIGOMA


Na Rhoda Ezekiel Kigoma,

Watu wawili wamefariki Dunia wilayani Kasulu mkoani Kigoma kufuatia ajali ya gari la Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania TBC Dkt. Ayub Rioba, lililokuwa likitokea wilayani Kibondo kwenda Kigoma Mjini.
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Kigoma, Kamishna Msaidizi Martin Otieno amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kusema kuwa chanzo cha ajali hiyo ni utelezi uliosababisha gari kuacha njia na kuwagonga waenda kwa miguu watatu.
Kamanda  Otieno aliwataja...

 

3 years ago

Mwanaspoti

JICHO LA MWEWE: Jonas Mkude, ndio nahodha wangu wa mwendokasi

AMISS Tambwe aliunawa mpira kabla hajafunga. Tuanzie hapo. Sioni kama kuna utata katika hili. Ni kweli, Tambwe uliutuliza mpira kwa mkono akamfunga kipa wa Simba. Narudia tena hakuna utata katika hili. Picha za video zimerudia. Picha za mnato za magazetini zimeonyesha.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani