NAIBU KATIBU MKUU CCM BARA MPOGOLO AWAFUNDA VIONGOZI, WANACHAMA JIMBO LA SEGEREA NA UKONGA


Na Ripota wa Mafoto Blog, Dar
UBABE na unafiki wa baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) inaelezwa kuwa ndio chanzo cha kupoteza jimbo la Ukonga na mengine ya Mkoa wa Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Rodrick Mpogolo, alisema hayo jana wakati alipozungumza na wanachama na viongozi wa Chama katika majimbo ya Ukonga na Segerea.
Alisema viongozi hao waliendekeza mizengwe na umimi, ambapo matokeo yake waliwavuruga wanachama na jimbo likachukuliwa na upinzani,sasa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU CCM BARA, RODRICK MPOGOLO ZIARANI JIMBO LA ILALA, TEMEKE.


Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rodrick Mpogolo, akizungumza na Wanachama, Viongozi wa CCM wa Jimbo la Ilala wakati akiwa katika ziara yake ya kuimarisha Chama Mkoa wa Dar es Salaam, jana.
Baadhi ya Wanachama wa CCM Jimbo la Ilala wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu CCM Bara.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rodrick Mpogolo, akiwasili kwenye Ukumbi wa CCM Ilala kwa ajili ya kuzungumza na Wanachama, Viongozi wa CCM wa Jimbo la Ilala wakati akiwa katika ziara yake ya kuimarisha Chama Mkoa wa...

 

1 year ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU CCM BARA RODRICK MPOGOLO AMALIZA KWA KISHINDO ZIARA YA KUIMARISHA CHAMA JIMBO LA UBUNGO NA KIBAMBA

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rodrick Mpogolo, akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kisare Matiku Makori, katika Ukumbi wa CCM Manzese, wakati wa ziara yake ya kuimarisha Chama kwa kuzungumza na Wenyeviti, Makatibu na Wenezi wa Kata, Makatibu wa Jumuiya  ya ngazi za Kata, Wenyeviti wa Mitaa na Mabalozi wa Jimbo hilo la Ubungo jijini Dar esSalaam , jana.  Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kisare Matiku Makori, akizungumza kutoa tathmini ya usalama wa kisiasa katika Wilaya yake mbele...

 

2 years ago

CCM Blog

CCM YAWATEUA RODRICK MPOGOLO KWA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM-BARA, HUMPHREY POLEPOLE KATIBU MWENEZI


Na Bashir Nkoromo, DarChama Cha Cha Mapinduzi (CCM), leo kimeteua viongozi waandamizi watatu kuziba nafasi zilizokuwa wazi, kutokana na waliokuwa wakizishikilia kupewa majukumu mengine ya serikalini.


Uteuzi huo, umefuatia Halamshauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) katika kikao chake, kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo chini ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli,  na kuridhia mapendekezo ya Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, kilichofanyika juzi pia chini ya Dk. Magufuli.


Akizungumza na...

 

1 year ago

CCM Blog

NAIBU KATIBU MKUU WA CCM-BARA KOMREDI MPOGOLO ANOGESHA SHEREHE ZA MIAKA 40 YA CCM, KIMBIJI

Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akiwa na viongozi wa CCM wakati wa Maadhimisho ya miaka 40 ya CCM, yaliyofanyika jana katika Kata ya Kimbiji. mkoa wa Pwai. Katika Maadhimisho hayo ambayo kilele chake kifanayika leo mjini Dodoma, Mpogolo alinogesha kwa kushiriki michezo mbalimbali kama kukimbiza kuku, kunywa soda kwa haraka, kuvuta kamba na mpira wa miguu ambapo washindi walizawadiwa fedha taslimu, kuku na jezi. Zifuatazo ni picha mbalimbali za sherehe hiyo

CCM MPYA, TANZANIA...

 

1 year ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU WA CCM-BARA RODRICK MPOGOLO AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA HAPA NCHINI


 Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akizungumza na Balozi wa China hapa nchini, Dk. Lu Youqing, nyumbani kwa Balozi huyo, jijini Dar es Salaam Jumapili Machi 19, 2017. Mazungumzo hayo yalihusu zaidi kuhusu juhudi za kuongeza ushirikiano baina na CCM na Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) katika nyanja mbalimbali ikiwemo uhusiano wa kidundugu uliopo kwa siku nyingi baina ya vyama hivyo na uchumi. Kushoto ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani