NAIBU KATIBU MKUU MPYA WA CCM-BARA AZUNGUMZA NA WATUMISHI, DAR LEO


Na Bashir Nkoromo.
Naibu Katibu Mkuu mpya wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo, amesema, anazitambua changamoto zinazowakabili wafanyakazi wa Chama Cha Mapinduzi na kuahidi kushirikiana na wafanyakazi hao kuzipatia ufumbuzi.

Mpogolo amekutana na wafanyakazi hao ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu alipoteuliwa kushika wadhifa huo, katika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, kilichofanyika jana, Ikulu jijini Dar es Salaam.


"Mimi nimekuwa katika chama hiki mda mrefu sana, kwa hiyo sehemu kubwa ya changamoto...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU WA CCM BARA RAJABU LUHWAVI AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA CCM MKOA WA PWANI LEO

Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara, Rajab Luhwavi akivishwa Skafu na Kijana wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Omari Salum, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa wa Pwani, Wilayani Kibaha mkoani humo leo. Katikati ni Katibu wa CCM mkoa wa Pwani Joyce Masunga na kulia ni Katibu wa UVCCM wilaya ya Kibaha, David Malecela.Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Rajab Luhwaavi, akiongozana na Katibu wa CCM mkoa wa Pwani, Joyce Masunga, kwenda Ofisi ya CCM mkoa wa Pwani, wilayani Kibaha leo.Naibu Katibu Mkuu wa CCM,...

 

3 years ago

CCM Blog

NAIBU KATIBU MKUU WA CCM (BARA), RAJABU LUHWAVI AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA CCM MKOA WA MBEYA LEO, AWATAKA KWENDA NA KASI YA MABADILIKO YA CHAMA

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Rajab Luhwavi akisalimia baadhi ya viongozi wa CCM, baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Mbeya kwa ajili ya kuzungumza na wafanyakazi wa Ofisi hiyo, akiwa katika ziara ya kikazi leo. Anayemsalimia ni Katibu wa CCM wilaya ya Mbarali Abdallah Mpokwa.  Kushoto ni Katibu wa CCM wa mkoa huo Mwangi Kundya
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rajab Luhwavi akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Ofisi ya CCM mkoa wa Mbeya leo. Kulia ni Katibu ambaye...

 

2 years ago

CCM Blog

NAIBU KATIBU MKUU MPYA WA CCM-BARA, AWATAKA USHIRIKIANO WATUMISHI WA CCM KUTATUA CHANGAMOTO

Na Bashir Nkoromo
Naibu Katibu Mkuu mpya wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo, amesema, anazitambua changamoto zinazowakabili wafanyakazi wa Chama Cha Mapinduzi na kuahidi kushirikiana na wafanyakazi hao kuzipatia ufumbuzi.

Mpogolo amekutana na wafanyakazi hao ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu alipoteuliwa kushika wadhifa huo, katika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, kilichofanyika jana, Ikulu jijini Dar es Salaam.

"Mimi nimekuwa katika chama hiki mda mrefu sana, kwa hiyo sehemu kubwa ya changamoto...

 

3 years ago

CCM Blog

NAIBU KATIBU MKUU WA CCM BARA, RAJAB LUHWAVI AZUNGUMZA NA VIONGOZI NA WAFANYAKAZI WA CCM MIKOA YA NJOMBE NA RUVUMA LEO

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Rajab Luhwavi akiwasili ukumbini na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Njombe, Deo Sanga maarufu kwa jina la 'Jah Peole' kuzungumza na viongozi na watumishi wa Chama Cha Mapinduzi kutoka mkoa huo na mkoa wa Rumuma leo mkoani Njombe
 Baadhi ya viongozi wa CCM kutoka mkoa wa Ruvuma, wakiwa kwenye kikao hicho cha viongozi, watumishi wa CCM na Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajabu Luhwavi kilichofanyika leo mkoani Njombe. Kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Ruvuma Verena...

 

3 years ago

CCM Blog

NAIBU KATIBU MKUU WA CCM-BARA RAJAB LUHAVI AZUNGUMZA NA MAKATIBU WA CCM WA KATA NA MATAWI NA KAMATI YA SIASA YA WILAYA YA TANGA JIONI HII LEO


Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajabu Luhwavi akizungumza na  Makatibu wa CCM wa Kata, Matawi na Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Tanga leo jioni katika ukumbi wa Ofisi ya CCM mkoa wa Tanga. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mafunzo katika Idara ya Itikadi na Unezi,  Frank Uhahula na Katibu wa CCM mkoa wa Tanga, Shija Othman na kulia ni Katibu wa CCM wilaya ya Tanga Mjini Lucia Mwiru
 Baadhi ya wajumbe wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi alipozungumza na Makatibu wa CCM wa...

 

3 years ago

CCM Blog

NAIBU KATIBU MKUU WA CCM (BARA) LUHWAVI ATINGA WILAYANI MAFINGA LEO, AZUNGUMZA NA MAKATIBU WA MASHINA NA KATA ZOTE WILAYANI HUMO

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Rajab Luhwavi akilakiwa na Kaimu Katibu wa CCM mkoa wa Iringa, Elisha Mwampashi ambaye ni Katibu wa CCM wilaya ya Iringa Mjini, alipowasili kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya Mufindi katika mji mdogo wa Mafinga leo April 2, 2016, akiwa katika ziara ya kikazi, kuzungumza na watumishi wa Chama ili kusikiliza changamoto na kero zinazowakabili. Kulia ni Katibu wa CCM Wilaya ya Mufindi Jimson Mhagama.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Rajab Luhwavi akisalimiana na...

 

3 years ago

CCM Blog

NAIBU KATIBU MKUU WA CCM-BARA, RAJAB LUHWAVI WASILI TANGA, ASIKILIZA MAFANIKIO NA KERO ZA WATUMISHI WA CHAMA WILAYA ZOTE ZA MKOA HUO LEO

Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajab Luhwavi akisalimiana na Kada wa CCM, Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigella, alipowasili Ofisi ya CCM mkoa huo kuzungumza na watumishi wa Chama kutoka wilaya zote za mkoa huo leo. Kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Tanga, Shija Othman
Vijana wa Umoja wa CCM mkoa wa Tanga, wakimfanyia mapokezi maalum, Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi  alipowasili Ofisi ya CCM mkoa huo kuzungumza na watumishi wa Chama kutoka wilaya zote za mkoa huo leo.
Vijana wa Umoja...

 

3 years ago

CCM Blog

ZIARA YA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM-BARA, RAJAB LUHWAVI MKOANI MANYARA, AKUTANA NA MKUU WA MKOA HUO NA KUZUNGUMZA NA WATUMISHI WA CCM NGAZI ZA WILAYA MKOANI HUMO

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM,-Bara, Rajab Luhwavi akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Manyara, Luccas Ole Mukusu, alipowasili kwenye Ofisi ya CCM mkoa huo, mjini Babati, leo Mei 30, 2016. Kushoto ni Katibu wa CCM mkoa huo Ndegesu Ndekobali.  Naibu Katibu Mkuu wa CCM,-Bara, Rajab Luhwavi akisalimiana na baadhi ya watumishi wa CCM mkoa wa Manyara, alipowasili kwenye Ofisi ya CCM mkoa huo, mjini Babati, leo Mei 30, 2016. Kushoto ni Katibu wa CCM mkoa huo Ndegesu Ndekobali. Naibu Katibu Mkuu...

 

2 years ago

CCM Blog

NAIBU KATIBU MKUU WA CCM-BARA RODRICK MPOGOLO AZINDUA KWA KISHINDO KAMPENI ZA UDIWANI MBWENI, DAR ES SALAAM, LEO

Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo, leo amezindua kwa kishindo kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani katika Kata ya Mbweni, Wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam, akifuatana na viongozi mbalimbali wa Chama akiwemo Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Saad Kusilawe. Pichani, Mpogolo akimnadi mgombea wa Udiwani katika Kata hiyo kwa tiketi ya CCM, Hashim Mbonde katika mkutano uliofanyika kwenye Viwanja vya Ofisi ya afisa Mtendaji Kata ya Mbweni. Kumradhi, Kutokana na muda hatukuweza...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani