NAIBU MAWAZIRI WA OFISI YA WAZIRI MKUU WATEMBELEA BANDA LA MAONESHO LA ELIMU YA MPIGA KURA LA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) LEO WILAYANI BARIADI MKOANI SIMIYU

Afisa Habari wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Margareth Chambiri (kulia) akiwakaribisha kwenye banda la Maonesho la NEC, Naibu Mawaziri Mhe. Anthony Mavunde Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Ajira na Vijana na Mhe. Abdallah Possi (Mwenye Kofia) Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi,Vijana, Ajira na Walemavu wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Vijana na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Wilayani Bariadi...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

CCM Blog

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAPONGEZWA KWA KUTOA ELIMU YA MPIGA KURA WIKI YA VIJANA MKOANI SIMIYU


 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Muhagama (katikati) akikata utepe kufungua rasmi maadhimisho ya Wiki ya Vijana leo mkoani Simiyu.   Kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa wizara hiyo Mhe. Anthony Mavunde, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Antony Mtaka (wa pili kutoka kushoto), Waziri Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu Titus Kamani na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Abdallah Possi (Mwenye...

 

2 years ago

CCM Blog

WAZIRI SIMBACHAWENE ATEMBELEA BANDA LA MAONESHO LA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) KWENYE MKUTANO WA ALAT MJINI MUSOMA

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi  Bw.Kailima Ramadhani akimkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. George Simbachawene kwenye banda la maonesho la Tume ya Taifa ya Uchaguzi wakati wa mkutano wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) unaofanyika  mjini Musoma leo.

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi  Bw. Kailima Ramadhani (kulia) akitoa ufafanuzi kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na...

 

2 years ago

Michuzi

NEC YAPONGEZWA KWA KUTOA ELIMU YA MPIGA KURA MKOANI SIMIYU.


Na. Aron Msigwa –NEC.Bariadi –Simiyu.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imepongezwa kwa kuanzisha programu endelevu  za utoaji wa Elimu ya Mpiga Kura kwa kuwafikia wananchi moja kwa moja katika maeneo yao kote nchini.
Akitoa pongezi hizo mara baada ya kutembelea Banda la Maonesho la Elimu ya Mpiga Kura la NEC wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Vijana yanayofanyika Bariadi mkoani Simiyu,  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Muhagama...

 

2 years ago

Michuzi

ELIMU YA MPIGA KURA YAWAVUTIA VIJANA WENGI MKOANI SIMIYU.

 Baadhi ya vijana wakijibu maswali mbalimbali yaliyokuwa yakiulizwa na Maofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi –NEC (Kulia) waliokuwa wakitoa Elimu ya Mpiga Kura wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Vijana mkoani, wilayani Bariadi, Simiyu. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inaendelea kutoa Elimu ya Mpiga kura nchini kwa kukutana na wananchi wa makundi mbalimbali.

 Afisa kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Hubert Kiata akitoa elimu ya Mpiga kura kwa wakazi wa wilaya ya Bariadi, mkoani Simiyu...

 

2 years ago

Channelten

Tume ya Taifa ya Uchaguzi leo imekabidhi Ripoti ya Uchaguzi ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dsm

Screen Shot 2016-07-19 at 4.18.14 PM
Tume ya Taifa ya Uchaguzi leo imekabidhi Ripoti ya Uchaguzi ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa dsm ambayo inatoa taswira nzima ya Mchakato wa Uchaguzi wa otober 25 mwaka jana kuanzia Uandikishaji Upigaji kura,Kampeni mpaka matokeo ya Urais na Ubunge .

Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda akizungumza baada ya kupokea ripoti hiyo ya Uchaguzi amewataka wadau mbali mbali wa Uchaguzi ikiwemo taasisi za kijamii,pamoja na Vyama vya Siasa kuipitia Ripoti hiyo ili kupata taarifa kamili za uhakika za Uchaguzi...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani