NAIBU WAZIRI DKT. ANGELINA MABULA AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOANI RUKWA

 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angelina Mabula akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi (hawapo pichani) wakati alipowasili wilayani humo kufuatilia utendaji kazi na utoaji huduma wa sekta ya ardhi kwa wananchi. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Bw. Said Mtanda.  Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Bw. Said Mtanda akitoa ufanunuzi kwa wananchi mbele ya Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angelina Mabula kuhusu masuala mbalimbali ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI ANGELINA MABULA AFANYA ZIARA MKOANI GEITA, ASISITIZA UKUSANYAJI WA MAPATO YA ARDHI NA MAJENGO

 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula,akikagua mafaili kwenye ofisi za Ardhi za Wilaya hiyo. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula,akiangalia ramani ya Kijiji cha Bukandwe ambacho kipo kwenye Wilaya ya Mbongwe Mkoani Geita. Mkuu wa Wilaya ya Bukombe ,Josephat Maganga akisoma taarifa fupi ya Wilaya ya Bukombe kwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi...

 

2 years ago

Michuzi

Ziara ya kikazi ya Naibu Waziri Dkt.Mabula mkoani Iringa

 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angelina Mabula akikagua mfumo wa kielektroniki wa ukadiriaji na ulipaji kodi ya ardhi  Wilayani Kilolo mkoani Iringa mara baada ya kuwasili wilayani humo mapema wiki hii kufuatilia utendaji wa sekta ya ardhi. Dkt. Mabula pia alikagua kumbukumbu za majalada za ulipaji kodi.Anayetoa maelezo ya ufanyaji kazi wa mfumo huo ni Afisa Ardhi wa Halmashairi ya Wilaya hiyo Bw. Elinaza Kiswaga. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya...

 

1 year ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MZEE SYLVESTER LUBALA SHIMBA, BABA MZAZI WA NAIBU WAZIRI ANGELINA MABULA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini katika kitabu cha maombolezo alipojiunga na waombolezaji wengine kuaga mwili wa marehemu Mzee Sylivester Lubala Shimba, baba mzazi wa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula, Mikocheni jijini Dar es salaam leo Aprili 12, 2018Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa pole kwa mjane wa marehemu Mama Cesilia Kabula Fidelis alipojiunga na waombolezaji wengine...

 

4 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI UFARANSA

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) akizungungumza na Mkurugenzi anayeshughulikia masuala ya Afrika kwenye Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa, Bw. Jean Christophe Belliard wakati wa ziara yake ya kikazi nchini humo.Mhe. Dkt. Maalim (katikati)  akiwa na Mhe. Begum Taj (kulia), Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa wakati wa mkutano wao na Bw. Arnaud de Lamotte, Makamu wa Rais wa Kituo cha Biashara cha Kimataifa na Huduma za Serikali wa...

 

4 years ago

Michuzi

WAZIRI LUKUVI AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOANI TABORA

 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh William Lukuvi akisisitiza jambo wakati alipozungumza na Wakuu wa sekta mbalimbali mkoani Tabora leo kuhusiana na masuala yanayohusu sekta ya ardhi mkoani humo katika ukumbni wa mikutano wa Isike. Kulia ni mkuu wa Wilaya ya Tabora Mh Suleiman Kumchaya  na kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora Bi Kudra Mwinyimvua.  Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh William Lukuvi akizungumza na Wananchi wa Eneo la Malabi katika Manispaa ya...

 

2 years ago

CCM Blog

ZIARA YA KIKAZI YA NAIBU WAZIRI MASAUNI MKOANI KATAVI

 Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wapili kushoto), akiongozwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Katavi ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika, Saleh Mhando wakati akiwasili ofisi ya mkoa huo kwa ziara ya kikazi ikiwa na lengo la kuona changamoto za  masuala ya ulinzi na usalama na kuyatafutia ufumbuzi.Wengine ni viongozi wa  serikali mkoani hapo.

 Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Katavi ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika, Saleh Mhando (kushoto), akitoa taarifa...

 

3 years ago

CCM Blog

NAIBU WAZIRI ANGELINA MABULA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA NHC

001Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt Angeline Mabula akifungua rasmi mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye makao makuu ya shirika hilo Upanga jijini Dar es salaam ambapo alilipongeza shirika hilo kwa kazi nzuri ambayo wafanyakazi wake wanaifanya kwani ndiyo shirika pekee la Serikali linaloendeshwa kwa ufanisi mkubwa na kuiletea heshima serikali, Waziri Mabula amewaambia wafanyakazi wa shirika hilo...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Naibu waziri wa rdhi Angelina Mabula atembelea mpaka wa Tanzania na Zambia

mabula2Naibu Waziri waArdhi, Nyumbana Maendeleo ya Makazi Dkt. Angelina Mabula akifuatilia ramani inayoonesha alama za mipaka ya kimataifa kati ya Tanzania na Zambia wakati alipotembelea eneo la Tunduma mwishoni mwa juma, Kushoto ni alama moja wapo ya jiwe lililojengwa na Serikali ya Tanzania baada ya makubaliano baina ya nchi mbili hizo.mabula4Naibu Waziri waArdhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angelina Mabula akizungumza na wakazi wa eneo la mpakani la Tunduma mara baada ya kusikiliza kero zao...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani