NAIBU WAZIRI ANGELINA MABULA ASHUHUDIA UZINDUZI HUDUMA ZA KISASA KITUO CHA AFYA NYAMWAGA TARIME

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akilakiwa nawananchi wakati alipokwenda kushuhudia uzinduzi wa huduma za kisasa katika kituo cha Afya cha Nyamwaga kilichopo wilaya ya Tarime mkoa wa Mara wakati wa ziara yake mkoani humo mbali na mambo mengine kukagua mfumo wa ukusanyaji kodi ya ardhi na kukagua mpaka wa Tanzania na Kenya.Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akiangalia vifaa vilivyopo katika kituo cha afya cha Nyamwaga...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

CCM Blog

NAIBU WAZIRI ANGELINA MABULA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA NHC

001Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt Angeline Mabula akifungua rasmi mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye makao makuu ya shirika hilo Upanga jijini Dar es salaam ambapo alilipongeza shirika hilo kwa kazi nzuri ambayo wafanyakazi wake wanaifanya kwani ndiyo shirika pekee la Serikali linaloendeshwa kwa ufanisi mkubwa na kuiletea heshima serikali, Waziri Mabula amewaambia wafanyakazi wa shirika hilo...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Naibu waziri wa rdhi Angelina Mabula atembelea mpaka wa Tanzania na Zambia

mabula2Naibu Waziri waArdhi, Nyumbana Maendeleo ya Makazi Dkt. Angelina Mabula akifuatilia ramani inayoonesha alama za mipaka ya kimataifa kati ya Tanzania na Zambia wakati alipotembelea eneo la Tunduma mwishoni mwa juma, Kushoto ni alama moja wapo ya jiwe lililojengwa na Serikali ya Tanzania baada ya makubaliano baina ya nchi mbili hizo.mabula4Naibu Waziri waArdhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angelina Mabula akizungumza na wakazi wa eneo la mpakani la Tunduma mara baada ya kusikiliza kero zao...

 

2 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI DKT. ANGELINA MABULA AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOANI RUKWA

 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angelina Mabula akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi (hawapo pichani) wakati alipowasili wilayani humo kufuatilia utendaji kazi na utoaji huduma wa sekta ya ardhi kwa wananchi. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Bw. Said Mtanda.  Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Bw. Said Mtanda akitoa ufanunuzi kwa wananchi mbele ya Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angelina Mabula kuhusu masuala mbalimbali ya...

 

1 year ago

Michuzi

HAKUNA KUCHUKUA MAENEO BILA KULIPA FIDIA –NAIBU WAZIRI ANGELINA MABULA

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Mkazi Angelina Mabula amesema ni marufuku halmashauri kuchukua maeneo ya wananchi bila ya kuwalipa fidia.
Mhe. Mabula amesema hayo Wilayani Butiama mkoa Mara wakati wa ziara yake yenye nia ya kutatua migogoro ya ardhi pamoja na kukagua mfumo wa ukusanyaji kodi ya ardhi.
Amesema wakati wa mchakato wa kuchukua maeneo ya mwananchi ni vyema wahusika wakashirikishwa kuanzia hatua ya awali sambambana na kuelimishwa juu ya zoezi hilo ili kuepuka migogoro...

 

1 year ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI ANGELINA MABULA AZISHAURI HALMASHAURI MUSOMA KUNUNUA NYUMBA ZA NHC

Naibu waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Angelina mabula amezishauri halmashauri za mji na wilaya ya Musoma mkoa wa Mara kununua nyumba zilizojengwa na shirika la nyumba la taifa (NHC) kwa ajili ya watumishi wake.
Mabula ametoa ushauri huo alipotembelea nyumba hamsini zilizojengwa na shirika la nyumba la taifa (NHC) katika eneo la Buhare katika manispaa ya Musoma mkoani Mara.Amesema, ni jukumu la serikali kuhakikisha watumishi wake wanakuwa na makazi bora na rahisi kwao hasa...

 

1 year ago

Michuzi

TUNZENI MAJALADA YA HATI ZA ARDHI KWA KUFUATA TARATIBU- NAIBU WAZIRI ANGELINA MABULA

 Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akieleza namna bora ya kuhifadhi majalada ya hati za ardhi katika halmashauri ya Tarime mkoa wa Mara wakati za ziara yake mkoani humo. Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akizungumza na watumishi wa halmashauri za Tarime mkoa wa Mara wakati wa ziara yake mkoa wa Mara. Mkuu wa wilaya ya Tarime Grorious Luoga akizungumza wakati wa mkutano kati ya Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya...

 

2 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI ANGELINA MABULA AFANYA ZIARA MKOANI GEITA, ASISITIZA UKUSANYAJI WA MAPATO YA ARDHI NA MAJENGO

 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula,akikagua mafaili kwenye ofisi za Ardhi za Wilaya hiyo. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula,akiangalia ramani ya Kijiji cha Bukandwe ambacho kipo kwenye Wilaya ya Mbongwe Mkoani Geita. Mkuu wa Wilaya ya Bukombe ,Josephat Maganga akisoma taarifa fupi ya Wilaya ya Bukombe kwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi...

 

3 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA ARDHI, MHE. ANGELINA MABULA ATEMBELEA BANDA LA WIZARA KATIKA VIWANJA VYA SABASABA 2016.

 Naibu Waziri wa Ardhi, Mhe. Angelina Mabula akisikiliza maelezo juu ya ujenzi wa nyumba za gharama nafuu zilizobuniwa na Wizara kupitia kwa wataalamu wa Idara ya Nyumba. Mhe. Angelina Mabula akisaini kitabu cha Wageni alipotembelea banda la Wizara ya Ardhi katika maonyesho ya sabasaba 2016 Naibu Waziri wa Ardhi, Mhe. Angelina Mabula akihojiwa na waandishi wa habari alipotembelea banda la Wizara katika viwanja vya sabasaba 2016 Naibu Waziri wa Ardhi, Mhe. Angelina Mabula akiwa na baadhi ya...

 

1 year ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MZEE SYLVESTER LUBALA SHIMBA, BABA MZAZI WA NAIBU WAZIRI ANGELINA MABULA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini katika kitabu cha maombolezo alipojiunga na waombolezaji wengine kuaga mwili wa marehemu Mzee Sylivester Lubala Shimba, baba mzazi wa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula, Mikocheni jijini Dar es salaam leo Aprili 12, 2018Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa pole kwa mjane wa marehemu Mama Cesilia Kabula Fidelis alipojiunga na waombolezaji wengine...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani