NAIBU WAZIRI ANGELINA MABULA AZISHAURI HALMASHAURI MUSOMA KUNUNUA NYUMBA ZA NHC

Naibu waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Angelina mabula amezishauri halmashauri za mji na wilaya ya Musoma mkoa wa Mara kununua nyumba zilizojengwa na shirika la nyumba la taifa (NHC) kwa ajili ya watumishi wake.
Mabula ametoa ushauri huo alipotembelea nyumba hamsini zilizojengwa na shirika la nyumba la taifa (NHC) katika eneo la Buhare katika manispaa ya Musoma mkoani Mara.Amesema, ni jukumu la serikali kuhakikisha watumishi wake wanakuwa na makazi bora na rahisi kwao hasa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

CCM Blog

NAIBU WAZIRI ANGELINA MABULA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA NHC

001Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt Angeline Mabula akifungua rasmi mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye makao makuu ya shirika hilo Upanga jijini Dar es salaam ambapo alilipongeza shirika hilo kwa kazi nzuri ambayo wafanyakazi wake wanaifanya kwani ndiyo shirika pekee la Serikali linaloendeshwa kwa ufanisi mkubwa na kuiletea heshima serikali, Waziri Mabula amewaambia wafanyakazi wa shirika hilo...

 

3 years ago

Dewji Blog

Naibu Waziri wa Ardhi Anjelina Mabula atembelea Shirika la Nyumba (NHC)

1

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na maendeleo ya Makazi Mh. Angelina Mabula akiwasili Makao Makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa NHC Upanga jijini Dar es salaam huku akilakiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo Ndugu Nehemia Mchechu wakati waziri huyo akiwa katika ziara yake ya kujifunza na kusikiliza Changamoto na mafanikio mbalimbali yaliyofikiwa na shirika hilo.

2

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na maendeleo ya Makazi Mh. Angelina Mabula akiuliza jambo kwa mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la...

 

11 months ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MABULA ATAKA HALMASHAURI KUTENGA MAENEO YA UJENZI WA NYUMBA ZA WATUMISHI

Na Munir Shemweta, NachingweaNaibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula ameziataka Halmashauri nchini kutenga maeneo ya ujenzi wa nyumba za watumishi yenye miundombinu ili shirika la nyumba la taifa (NHC) liweze kujenga nyumba za gharama nafuu.Mhe Mabula amesema hayo jana wilayani Nachingwea mkoa wa Lindi wakati wa ziara yake mkoani Lindi kukagua mfumo wa ukusanyaji kodi ya ardhi pamoja na kuhamasisha ulipaji kodi za ardhi kwa wananchi wa mikoa ya lindi na...

 

2 years ago

Channelten

Naibu Waziri wa ardhi azionya Halmashauri zinazotelekeza nyumba NHC

x3-2.jpg.pagespeed.ic.nmXM29ex-j

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabulla amezionya halmashauri nchini ambazo zinaomba kujengewa Nyumba na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na baada ya Shirika kuwajengea wanazitelekeza.

Naibu Waziri Mabulla ametoa onyo hilo wakati alipofanya ziara Mkoani Shinyanga na kugundua kati ya nyumba 50 zilizojengwa na NHC kwa ajili ya Halmashauri ya Kahama ni nyumba moja pekee iliyonunuliwa, licha ya kuwa halmashauri hiyo ndio iliyoomba kujengewa nyumba hizo.

Katika...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Naibu waziri wa rdhi Angelina Mabula atembelea mpaka wa Tanzania na Zambia

mabula2Naibu Waziri waArdhi, Nyumbana Maendeleo ya Makazi Dkt. Angelina Mabula akifuatilia ramani inayoonesha alama za mipaka ya kimataifa kati ya Tanzania na Zambia wakati alipotembelea eneo la Tunduma mwishoni mwa juma, Kushoto ni alama moja wapo ya jiwe lililojengwa na Serikali ya Tanzania baada ya makubaliano baina ya nchi mbili hizo.mabula4Naibu Waziri waArdhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angelina Mabula akizungumza na wakazi wa eneo la mpakani la Tunduma mara baada ya kusikiliza kero zao...

 

2 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI DKT. ANGELINA MABULA AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOANI RUKWA

 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angelina Mabula akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi (hawapo pichani) wakati alipowasili wilayani humo kufuatilia utendaji kazi na utoaji huduma wa sekta ya ardhi kwa wananchi. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Bw. Said Mtanda.  Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Bw. Said Mtanda akitoa ufanunuzi kwa wananchi mbele ya Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angelina Mabula kuhusu masuala mbalimbali ya...

 

1 year ago

Michuzi

HAKUNA KUCHUKUA MAENEO BILA KULIPA FIDIA –NAIBU WAZIRI ANGELINA MABULA

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Mkazi Angelina Mabula amesema ni marufuku halmashauri kuchukua maeneo ya wananchi bila ya kuwalipa fidia.
Mhe. Mabula amesema hayo Wilayani Butiama mkoa Mara wakati wa ziara yake yenye nia ya kutatua migogoro ya ardhi pamoja na kukagua mfumo wa ukusanyaji kodi ya ardhi.
Amesema wakati wa mchakato wa kuchukua maeneo ya mwananchi ni vyema wahusika wakashirikishwa kuanzia hatua ya awali sambambana na kuelimishwa juu ya zoezi hilo ili kuepuka migogoro...

 

1 year ago

Michuzi

TUNZENI MAJALADA YA HATI ZA ARDHI KWA KUFUATA TARATIBU- NAIBU WAZIRI ANGELINA MABULA

 Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akieleza namna bora ya kuhifadhi majalada ya hati za ardhi katika halmashauri ya Tarime mkoa wa Mara wakati za ziara yake mkoani humo. Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akizungumza na watumishi wa halmashauri za Tarime mkoa wa Mara wakati wa ziara yake mkoa wa Mara. Mkuu wa wilaya ya Tarime Grorious Luoga akizungumza wakati wa mkutano kati ya Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya...

 

2 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI ANGELINA MABULA AFANYA ZIARA MKOANI GEITA, ASISITIZA UKUSANYAJI WA MAPATO YA ARDHI NA MAJENGO

 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula,akikagua mafaili kwenye ofisi za Ardhi za Wilaya hiyo. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula,akiangalia ramani ya Kijiji cha Bukandwe ambacho kipo kwenye Wilaya ya Mbongwe Mkoani Geita. Mkuu wa Wilaya ya Bukombe ,Josephat Maganga akisoma taarifa fupi ya Wilaya ya Bukombe kwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani