NAIBU WAZIRI NYONGO ASISITIZA UTULIVU NA AMANI KWA WACHIMBAJI WADOGO

Na Joel Maduka,Geita.
Naibu waziri wa madini Stanslaus Nyongo amewata wachimbaji wadogo wa mgodi wa Nyakafulu na Bingwa kudumisha amani na utulivu katika shughuli zao ikiwemo kujenga desturi ya kufanya usafi wa mazingira ili kuepukana na magojwa ya mlipuko na iwapo hawatazingatia hayo migodi hiyo itafungwa.
Hayo aliyasema wakati wa ziara yake ya kuwatembelea wachimbaji wadogo kwenye wilaya za Mbongwe na Geita.Alisema ni vyema wachimbaji hao kuzingatia amani na afya zao kwani ndio...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

WACHIMBAJI MADINI KIGOMA WAELEZA CHANGAMOTO ZAO KWA NAIBU WAZIRI NYONGO

Na Veronica Simba – KigomaWachimbaji wa Madini wadogo wa Mkoa wa Kigoma, wamemweleza Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo changamoto mbalimbali zinazowakabili katika shughuli zao na kumwomba awasaidie kuzitatua.Walimweleza changamoto hizo katika kikao maalum, Machi 3 mwaka huu, wakati Naibu Waziri alipowatembelea akiwa katika ziara ya kazi mkoani humo.Miongoni mwa changamoto kubwa waliyoitaja ni kuhusu vibali vya kusafirisha madini ghafi nje ya nchi; ambapo Naibu Waziri aliwataka kuwa...

 

5 years ago

Habarileo

Asisitiza elimu kwa wachimbaji wadogo

WATENDAJI wa Wizara ya Nishati na Madini waliopewa dhamana ya kusimamia sheria za wachimbaji wadogo hapa nchini, wametakiwa kuzunguka kwa wachimbaji wadogo kutoa elimu juu ya uchimbaji wa kufuata sheria.

 

4 years ago

StarTV

Magufuli asisitiza amani na utulivu kwa mkoa wa Arusha

Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dokta John Magufuli ameonya kuwa kuendelea kwa vitendo vya vurugu mkoani Arusha huenda kukaharibu sifa ya mkoa huo ambao unaheshimika kitaifa na kimataifa.

Dokta Magufuli amesema heshima ya Mji huo imeifanya Tanzania kujulikana zaidi duniani kuwa nchi yenye amani na utulivu ingawa sasa vitendo vya vurugu mkoani humo vinahofiwa kuipoteza sifa hiyo.

Mbio za kuusaka urais kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM zimemfikisha Dokta John Magufuli katika...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AKABIDHI FEDHA ZA RUZUKU KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO,MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Bw. Juma Digalu wa Kampuni ya Uchimbaji Mdini ya Mwalazi, hudndi ya Dola za Marekani 50,000 akiwa ni mmoja ni mmoja wa wachimbaji madini wadogowadogo waliopatiwa ruzuku na serikali kupitia Benki ya TIB. Hafla ya kukabidhi hundi hizo ilifnyika kwenye Chuo cha Madini cha Dodoma Aprili 9, 2014. Kushoto ni Waziri wa Nisahati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na Wapili kulia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Nishati na Madini, Stephen Masele na Kulia ni...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AFUNGUA RASMI SEMINA YA WACHIMBAJI WADOGO KIBARA, MKOANI MARA

Naibu Waziri wa Nishati na Madini anayeshughulikia masuala ya madini Mhe. Stephen Masele akifungua mafunzo ya wachimbaji wadogo yaliyofanyika Kibara, mkoani Mara. Pia semina hiyo ilishirikisha viongozi wa vijiji, vyama pamoja na madiwani lengo likiwa ni kuwapa uelewa wa sheria na kanuni za uchimbaji wa madini. Aliyekaa katikati ni Mbunge wa Jimbo la Mwibara Mhe. Kangi Lugora. Kushoto ni Kamishna Msaidizi – Uendelezaji wa Uchimbaji Mdogo Mhandisi Fredy Mahobe. Mtalaamu kutoka...

 

5 years ago

Dewji Blog

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen Masele afungua rasmi semina ya wachimbaji wadogo Kibara mkoani Mara

Picha Na. 1

Naibu Waziri wa Nishati na Madini anayeshughulikia masuala ya madini Mhe. Stephen Masele akifungua mafunzo ya wachimbaji  wadogo yaliyofanyika Kibara, mkoani Mara.   Pia semina hiyo ilishirikisha viongozi wa vijiji, vyama  pamoja na madiwani lengo likiwa ni kuwapa uelewa wa  sheria na  kanuni za uchimbaji wa madini. Aliyekaa katikati ni Mbunge wa Jimbo la Mwibara  Mhe. Kangi Lugora.  Kushoto ni Kamishna Msaidizi – Uendelezaji wa Uchimbaji Mdogo Mhandisi Fredy Mahobe.

Picha Na. 2

Naibu Waziri  wa...

 

4 years ago

Habarileo

Asisitiza amani na utulivu kwenye uchaguzi

KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Shija Othmani amewahimiza wafuasi wa vyama mbalimbali na wananchi kuendelea kudumisha amani na utulivu kwenye kipindi hiki cha kumalizia kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na siku ya uchaguzi ili kufanikisha kazi hiyo.

 

5 months ago

Zanzibar 24

Dk: Shein asisitiza kudumishwa amani na utulivu visiwani Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wananchi  wa Zanzibar kuendelea kuidumisha hali ya amani na utulivu ambayo ndio msingi wa mafanikio yanayoendelea kupatikana hivi sasa na yatakayopatikana hapo baadae.

Dk. Shein ameyasema hayo leo katika risala yake ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2019 aliyoitoa kupitia vyombo vya habari, Ikulu mjini Zanzibar.

Dk. Shein amesema kuwa katika utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya mwaka 2018 mafanikio...

 

2 years ago

Ippmedia

Waziri Mkuu asitisha utoaji ruzuku kwa wachimbaji wadogo nchini.

Waziri mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa,amesitisha kwa muda utoaji wa ruzuku kwa wachimbaji wadogo nchini,na kuagiza kufanyika kikao cha pamoja kati ya wachimbaji hao,Wizara ya nishati na madini pamoja na Benki ya rasilimali nchini ya TIB, ili kuboresha utoaji wa ruzuku hiyo kuliko ilivyokuwa katika awamu mbili zilizopita.

Day n Time: Jumatano Saa 2:00 UsikuStation: ITV

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani