Naibu waziri wa afya awataka wafanyakazi wa afya kuwa na lugha nzuri kwa wagonjwa

NAIBU Waziri wa Afya  Harusi Said Suleiman, amewataka wafanyakazi wa vituo vya afya nchini kutumia lugha nzuri wakati wanapowahudumia wagonjwa ili kuwajengea imani na mapenzi kwao.

Aidha, amewasisitiza kuwa na huruma wakielewa wagonjwa ni binadamu wanaohitaji kufarijiwa wanapokuwa wanaumwa.

Wito huo ameutoa leo Disemba 21, 2016  katika ziara aliyoifanya kukagua vituo vya afya vilivyoko wilaya ya Kati na kuzungumza na wafanyakazi  wa vituo hivyo.

Naibu Waziri huyo amesema, mbali ya dawa...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA AFYA ATEMBELEA WAGONJWA WA MARADHI YA KIPIDUPINDU KATIKA KITUO CHA AFYA KARAKANA Baadhi ya Wagonja walifikishwa Hospitali hapo kwa ajili ya kupatiwa matibabu  baada ya kupata maradhi ya matumbo ya kuharisha (kipindupindu). Mwandishi wa Habari Rahma Suleiman akichukua maelezo kwa Mgonjwa aliyefika katika kituo hicho mara baada ya kupata hujambo. Naibu Waziri wa Afya  Mahmoudu Thabiti Kombo akionyesha ramani ya maeneo yanayoathiriwa zaidi na ugonjwa wa maradhi ya matumbo.Naibu Waziri wa  Afya  Mahmoudu Thabiti  Kombo akipata maelezo kwa Dkt. Dhamana  Fadhili Ramadhan...

 

3 years ago

Dewji Blog

Naibu Waziri wa Afya Dk. Kigwangalla ahimiza Jamii kuwa na utamaduni wa kupima afya zao

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamisi Kigwangalla amehimiza Jamii kuwa na utaratibu wa kupima afya mara kwa mara katika hali ya kubaini matatizo yanayowakabili ilikuchukua hatua ikiwemo kupata tiba mapema

Dk. Kigwangalla ametoa kauli hiyo mapema leo Februari 28.2016, jijini Dar es Salaam, wakati alipokuwa mgeni rasmi katika kambi maalum ya kupima afya bure kwa wananchi mbalimbali wakiwemo wa Jimbo la Ilala kwa kuandaliwa na Care Foundation na wadau...

 

2 years ago

Dewji Blog

Naibu Waziri wa Afya Dk. Kigwangalla akabidhi kadi Bima za Afya 200 kwa Wazee Zanzibar

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla, amekabidhi kadi za bima ya Afya 200  kwa wazee wa Jimbo la Kikwajuni ambapo anatoka Mbunge wa Jimbo hilo ambaye ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni.

Tukio hilo limefanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Mnarani, Mwembe Kisonge, Mjini Unguja, Zanzibar.

Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni ambaye pia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni...

 

3 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA AFYA, DK. KIGWANGALLA ATEMBELEA KAMBI YA WAGONJWA WA KIPINDUPINDU YA MT. LUCAS MKOANI IRINGA.

Mkuu wa mkoa wa Iringa Bi.Amina Masenza akitoa taarifa kwa Naibu Waziri wa Afya, Dk. Hamisi Kigwangalla (wa kwanza waliokaa kushoto) wakati alipotembelea ofisini hapo. Wengine ni watendaji wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela (waliokaa kulia).
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Dk. Hamisi Kingwangalla mapema leo Februari 15, ametembelea kambi ya Wagonjwa wa Kipindupindu pamoja na wale waliokumbwa na...

 

12 months ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA AFYA ATEMBELEA MFUKO WA TAIFA YA BIMA YA AFYA LEO

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Naibu  Waziri wa Afya Wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dr Faustine Ndungulile amewataka Mfuko wa taifa wa bima ya afya nchini (NHIF) kuhakikisha watanzania wote wanapaya huduma ya bima ili kuweza kupata matibabu kwa urahisi na wakati sahihi.
Hayo yamesemwa leo alipotembelea makao makuu ya mfuko huo na kujionea namna wanavyofaya kazi zao ikiwemo kuhifadhi nyaraka za madai kutoka katika vituo tofauti vya afya.
Dr Ndungulile amesema,...

 

2 years ago

Dewji Blog

Naibu Waziri wa Afya Dk. Kigwangalla apongeza utafiti wa Twaweza katika masuala ya Afya nchini

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla amepongeza utafiti wa wadau juu ya Sekta ya Afya hapa nchini ambapo amesema kuwa, tafiti hizo zinasaidia Serikali katika kupanga mipango yake hasa kusaidia jamii.

Akiuzungumza wakati wa uzinduzi wa Utafiti wa Twaweza ‘ Sauti za Wananchi, Dk. Kigwagalla amesema kuwa,  Serikali ya awamu ya tano, imejipanga kusaidia wananchi kupitia sera za Afya hivyo kila mwananchi atapata huduma bora za Afya hapa nchini...

 

2 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR ATEMBELEA VITUO VYA AFYA WILAYA YA KASKAZINI ''B'' UNGUJA

Naibu Waziri wa Afya wa Zanzibar, Harusi Saidi Suleiman (wapili kushoto) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkunga wa Kituo cha Afya cha Kiwengwa, Khadija Ali Juma Wakati alipofanya ziara katika vituo mbalimbali vya Afya Kaskazini B Unguja. Naibu Waziri wa Afya wa Zanzibar,  Harusi Saidi Suleiman (katikati) akiangalia shimo la Uchomwaji Taka linalotumiwa na Kituo cha Afya cha Kiwengwa baada ya kufanya ziara katika vituo vya Afya Kaskazini B Unguja .kushoto ni Mkunga wa Kituo cha Afya ...

 

2 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA AFYA ASHIRIKI KATIKA UZINDUZI RASMI WA SHIRIKA LA AFYA NA ELIMU YA TIBA (TAHMEF)

NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala amefanya uzinduzi rasmi wa Shirika la Afya na Elimu ya Tiba (TAHMEF), uliofanyika jana jioni kwenye Ukumbi wa Seashells Millenium Hotel, Jijini Dar es salaam
Shirika hilo lililoanzashwa na Mwanafuzi wa fani ya Udaktari, Juliana Busasi limefanikiwa kufikisha huduma zake za afya na elimu ya afya kwa watanzania Zaidi ya 1327, likiwa na Dira ya Kuboresha Afya na Ustawi Nchini na kuweka mikakati imara kwa...

 

2 years ago

Dewji Blog

Ziara ya Naibu Waziri wa Afya Dk. Kigwangalla kukagua vituo vya Afya Wilaya ya Bunda (Picha)

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Dk. Hamisi  Kigwangalla amefanya ziara ya kikazi katika Zahanati na vituo vya Afya katika Wilaya ya Bunda, Mkoani Mara ambapo ametoa maagizo mbalimbali yafanyiwe kazi huku suala la watumishi likibainika kuwa ni tatizo katika Wilaya hiyo.

Naibu Waziri wa Afya Dk. Kigwangalla aliweza kutembelea Zahanati ya  Hunyari iliyopo Kijiji cha Hunyari, Zahanati ya Kihumbu, Maliwanda, Kituo cha Afya Mugeta, Zahanati ya Sanzate, Kituo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani