NAIBU WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO DKT. ASHATU KIJAJI AHIMIZA MAENDELEO VIJIJINI

Mkuu wa mradi wa Agra, ambaye pia ni Mhadhiri katika Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini-Dodoma, Dkt. Mark Msaki (kushoto), akitoa ufafanuzi kwa Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (Katikati) wakati akikagua maonesho ya taaluma, huduma na bidhaa kabla ya kutunuku tuzo mbalimbali kwa wahitimu 829 katika Mahafali ya 30 ya Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, Kituo cha Mwanza. Kushoto kwa Dkt. Kijaji na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Dewji Blog

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akutana na watendaji wa Wizara ya Fedha na Mipango

IMG_6071

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango na Mlipaji Mkuu wa Serikali  Dkt. Servacius Likwelile akitoa ufafanuzi kwa Naibu Waziri Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji kabla ya kuanza majadiliano na watendaji wa Wizara na Taasisi.

IMG_6171

Naibu Waziri, Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akiongea na watendaji wa Wizara na Taasisi alipokutana nao katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango. 

Akizungumza na uongozi wa Wizara na Taasisi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji aliwaasa...

 

2 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO DKT.ASHATU KIJAJI AZINDUA HUDUMA MPYA YA ‘ECOBANK MOBILE APP’

Ecobank Tanzania (ETZ) imezindua huduma mpya ya Ecobank Mobile App, hii ni njia rahisi na ya haraka ya kibenki kupitia simu za mkononi. Ecobank Mobile App itawawezesha wateja kufanya miamala mbalimbali ya kifedha ikiwemo kuhamisha fedha - kote baina ya matawi na baina ya benki, kununua muda wa maongezi, Malipo ya Ankara, kuangalia viwango vya kubadilisha fedha za kigeni, maombi na kuangalia taarifa za benki, Malipo ya kibiashara, pamoja na huduma za Kadi na hundi. 

Zaidi, Ecobank...

 

2 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO DKT.ASHATU KIJAJI AFUNGUA TAWI JIPYA LA FIRST NATIONAL BANK JIJINI ARUSHA

First National Bank (FNB) Tanzania imeendelea kupanua wigo wake kitaifa kwa kufungua tawi jipya eneo la PPF Plaza jijini Arusha kwa lengo la kuhudumia ongezeko la idadi ya wateja katika mkoa huo.
 Akizungumza wakati wa ufunguzi, Afisa Mtendaji Mkuu wa benki hiyo, Dave Aitken alisema uzinduzi wa tawi la FNB Arusha umelenga kukidhi ongezeko kubwa la wateja na mahitaji ya huduma za kibenki na kifedha katika kanda ya kaskazini. 
“ Uzinduzi wa tawi la Arusha ni sehemu ya mkakati wa uwekezaji...

 

3 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Ashatu Kijaji atembelea Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)


 Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Ashatu KijajiNaibu Waziri wa Fedha akizungumza na Bodi ya Wakurugenzi pamoja na menejimenti ya TRA. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bw. Benard Mchomvu na Kushoto kwake ni Naibu Kamishna Mkuu Bw. Lusekelo Mwaseba.---Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Ashatu Kijaji ametembelea Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ili kufahamiana na Bodi ya Wakurugenzi pamoja na Uongozi wa TRA na kusisitiza msimamo wa serikali ya awamu ya tano katika suala...

 

3 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI SERIKALI YA JPM: Dk Ashatu Kijaji – Naibu Waziri Fedha na Mipango

Dk Ashatu Kijaji ndiye Naibu Waziri wa Fedha na Mipango katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mawaziri la mwanzo la Rais John Pombe Magufuli. Kiongozi huyu mwanamama na kijana ameteuliwa katika nafasi hii kwa kuwa yeye ni mbunge wa kuchaguliwa kutoka jimbo la Kondoa Vijijini liliko mkoani Dodoma. Kabla hajawa mbunge Kijaji amekuwa mhadhiri wa Chuo Kikuu.

 

3 years ago

Michuzi

Dkt. Ashatu Kijaji akutana na watendaji wa Wizara ya Fedha na Mipango

Naibu Waziri, Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akiongea na watendaji wa Wizara na Taasisi alipokutana nao katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango.  Akizungumza na uongozi wa Wizara na Taasisi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji aliwaasa viongozi kutekeleza majukumu waliyokabidhiwa na kuhakikisha bajeti ya Serikali inalenga vipaumbele vinavyogusa wananchi katika kutekeleza ahadi ya Serikali. Naibu Waziri, Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akijadiliana na watendaji...

 

2 years ago

Dewji Blog

Dkt. Kijaji akitaka chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini kuwashawishi vijana kuishi vijijini

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, amekitaka Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, kuhakikisha kuwa kinajielekeza kutatua changamoto zinazokwaza maendeleo ya wananchi vijijini ili kuwafanya vijana wengi wanaokimbilia mijini kutafuta maisha waweze kubaki kwenye vijiji vyao ambavyo vitakuwa vimepangwa vizuri na kupatikana huduma muhimu za jamii

Dkt. Kijaji ametoa rai hiyo mkoani Mwanza, baada ya kukagua maonesho ya bidhaa na huduma zinazotolewa na chuo hicho katika Kituo...

 

3 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA FEDHA MH.ASHATU KIJAJI AFUNGUA MKUTANO WA MWAKAA WA 25 WA WANACHAMA NA WADAU WA PPF.

Mgeni Rasmi katika ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa 25 wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF uliobeba kauli mbiu ya "Uendeshaji wa sekta ya hifadhi ya jamii na umuhimu wa kuzingatia mabadiliko", Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji akitoa hotuba yake wakati akifungua mkutano huo uliowakutanisha Wadau mbalimbali, unaofanyika kwa siku mbili kuanzia leo February 11 - 12, 2016 kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere, Jijini Dar es salaam. Katika hotuba...

 

1 year ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA UONGOZI WA CHUO IFM

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji (MB) akimsikiliza Mkuu wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM),  Prof. Tadeo Satta pamoja na Uongozi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM)(haupo pichani) ofisini kwake mjini Dodoma leo Jumatano  Aprili 18, 2018.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani