NAIBU WAZIRI WA KILIMO MHE MARY MWANJELWA ASEMA MPANGO WA SERIKALI KUPELEKA MBEGU MPYA ZA KAHAWA WILAYANI MBINGA NI KUINUA UZALISHAJI


Na Mathias Canal, Dodoma
Serikali imesema kuwa Mpango wa Serikali wa kuwapelekea wakulima wa Wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma mbegu mpya za Kahawa ni mahususi kwa ajili ya kuinua uzalishaji kwa kutekeleza Mpango Mkakati wa Kuendeleza Zao la Kahawa katika kipindi cha miaka 10 yaani mwaka (2011 – 2021).
Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mhe Mary Machuche Mwanjelwa (Mb) amebainisha hayo leo Novemba 10, 2017 Bungeni Mjini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Mbinga Mhe Martin Mtonda...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

7 months ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Kilimo, Dkt. Mary Mwanjelwa atembelea kampuni ya Tanzanice Agrofood ltd ya Mkoani Njombe

 Makamu wenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Kilimo,Mifugo na Maji Dkt.Christine Ishengoma(kushoto) akiangalia kwa makini kifungashio cha parachichi zinazozalishwa na kupakiwa na kampuni ya Tanzanice Agrofood Ltd.  ya Mkoani Njombe. walipotembelea kiwanda hicho ikiwa ni sehemu ya ziara ya kamati hiyo kutembelea na kujifunza maeneo ya kilimo yanaratibiwa na Kituo ch Kuendeleza Kilimo Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania(SAGCOT). Kulia ni Contract farming Manager wa Kampuni hiyo Bw.Noel Lugenge

 

1 year ago

Michuzi

Naibu Waziri – Wizara ya Kilimo, Dkt. Mary Mwanjelwa mgeni rasmi Maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya SACCOS

 Mgeni Rasmi, Naibu Waziri – Wizara ya Kilimo, Dkt. Mary Mwanjelwa akiangalia sehemu ya bidhaa za chakula zilizosindikwa kutoka katika Vikundi vilivyoanzishwa chini ya  Ushirika wa Akiba na Mikopo wa TANESCO (TANESCO - SACCOS) katika Viwanja vya Chuo cha Mipango wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya SACCOS inayoadhimishwa Kitaifa Mkoani Dodoma Naibu Waziri – Wizara ya Kilimo, Dkt. Mary Mwanjelwa akinunua dagaa walioongezwa thamani kutoka kwa kina Mama wa MWACIWOTE SACCOS ya  Jijini...

 

1 year ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA KILIMO MHE MWANJELWA AMPA MRAJISI SIKU 7 ZA KWANINI MAGUNIA KUTOFIKA KWA WAKATI

Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Mary Mwanjelwa akizungumza wakati wa Mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji na kata ya Chiungutwa, Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara mara baada ya kushiriki mnada wa tano wa Korosho, Jana Novemba 17, 2017. Picha na Mathias Canal Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe Gelasius Gasper Byakanwa akimuonyesha Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Mary Mwanjelwa jinsi magunia yalivyopangwa kwa ustadi ktika gala la kuhifadhia Korosho la Mtanda mara baada ya  Mkutano wa hadhara uliofanyika...

 

1 year ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA KILIMO MHE MWANJELWA AFANYA MKUTANO NA WAHARIRI ILI KUONGEZA UELEWA WA MIFUMO MIPYA KUHUSU UAGIZAJI WA MBOLEA KWA PAMOJA


Na Mathias Canal, Dar es salaamWanahabari kote nchini wametakiwa kutoa ushirikiano kwa Wizara ya Kilimo ili ifanikiwe katika jitihada zake za kuhakikisha kwamba Tanzania inafikia lengo la Azimio la Maputo la kumwezesha mkulima kufikia matumizi ya kilo 50 za virutubisho kwa hekta badala ya hali ya sasa ambapo anatumia kilo 19 tu au asilimia 38 ya lengo la Maputo.
Mwito huo umetolewa Leo Novemba 24, 2017 na Naibu waziri wa Kilimo Mhe Mary Mwanjelwa wakati akizungumza na wahariri wa vyombo...

 

2 years ago

Habarileo

Mbinga kuongeza uzalishaji kahawa

WAKULIMA wa kahawa wilayani Mbinga wanatarajia kuongeza uzalishaji wa zao hilo katika msimu wa kilimo ujao, jambo linalotarajiwa kuinua kipato chao.

 

1 year ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI DKT. MARY MWANJELWA AWATAKA TFRA KUONGEZA UFANISI KATIKA UTENDAJI WA KAZI ZAO

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa ameiagiza Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea (TFRA) kuongeza ufanisi katika utendaji wa kazi zao ili kuleta mabadiliko makubwa kwa wakulima.

Akiongea katika kikao kazi kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mamlaka ya Uthibiti wa Mbolea (TFRA) jana na kuwahusisha Watumishi wote wa Taasisi hiyo, Dkt. Mwanjelwa amewataka watumishi hao kuwa na malengo na mpango kazi ambao kila mtu atautekeleza  na atapimwa kutokana na mpango kazi...

 

4 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA KILIMO AZINDUA KIWANDA KIPYA CHA KUZALISHA MBEGU BORA ZA MAHINDI JIJINI ARUSHA

Kampuni ya mbegu ya Seedco imezindua kiwanda kipya cha kuzalisha mbegu bora za mahindi na nafaka nyingine kitakachowasaidia wakulima kulima kilimo chenye tija na kupata mazao mengi.
Uzinduzi huo uliongozwa na Naibu Waziri wa Kilimo na Chakula Godifrey Zambi ambaye alifungua rasmi kiwanda hicho ,Amesema kuwa tasnia ya mbegu ni tasnia muhimu katika ukuaji wa sekta ya kilimo hiyo amewataka wazalishaji mbegu kuongeza tija ili kukuza kilimo.
Ameeleza kuwa kampuni hiyo imetimiza matakwa ya serikali...

 

1 year ago

CCM Blog

MHE MWANJELWA ATANGAZA KIAMA KWA WAFANYABIASHARA WANAOUZA MBEGU FEKI NCHINI

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mhe Mary Mwanjelwa akikagua Maabara ya Kutazama kiwango cha Uotaji wa Mbegu wakati wa ziara yake ya kikazi Mkoani Morogoro alipotembelea Taasisi ya Udhibiti wa Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI), Jana 30 Disemba 2017. Picha Zote Na Mathias Canal Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mhe Mary Mwanjelwa akizungumza na wafanyakazi wa Taasisi ya Udhibiti wa Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) wakati wa ziara yake ya kikazi Mkoani Morogoro, Jana 30 Disemba 2017.  Naibu Waziri...

 

2 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA KILIMO, MIFUGO ATEMBELEA MNADA WA MHUNZE WILAYANI KISHAPU

Wafugaji wametakiwa kufuga kwa njia za kisasa kulingana na malisho badala ya kuwa na mifugo mingi huku wakikosa mahali pa kulishia.

Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi, William Tate Ole Nasha alipotembelea mnada uliopo mjini Mhunze wilayani Kishapu mkoani Shinyanga.Ole Nasha alisema si vyema wafugaji kuwa na mifugo mingi wakati hakuna rasilimali za kufugia kama nyasi ambazo katika maeneo mengi zipo chache hivyo kushindwa kukidhi mahitaji.Alisema pamoja na changamoto...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani