NAIBU WAZIRI WA NISHATI SUBIRA MGALU, ATEMBELEA KIWANDA CHA KUTENGENEZA MITA ZA LUKU ZA KISASA JIJINI DAR ES SALAAM


 NAIBU Waziri wa Nishati Mhe. Subira Mgalu, akiwa ameshika moja ya mita ya kisasa ya LUKU, (Smart Meter), iliyotengenezwa na kiwanda cha Baobab Engineering System Tanzania kilichoko Mbezi jijini Dar es Salaam, wakati alipokitembelea kujionea mita hizo leo Juni 8, 2018.  NA K-VIS BLOG/KhalfanSaid
NAIBU Waziri wa Nishati Mhe. Subira Mgalu, ametembelea kiwanda cha kutengeneza mita za LUKU kilichoko Mbezi jijini Dar es Salaam leo Juni 8, 2018 na kuridhishwa na ubora wa mita hizo.
Alisema tatizo...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

Michuzi

WAZIRI WA NISHATI DKT KALEMANI AZINDUA KIWANDA CHA KUTENGENEZA MITA ZA LUKU JIJINI DAR

Na Leandra Gabriel,  ya jamii
KATIKA kuelekea uchumi wa kati wa viwanda kampuni ya Baobao Energy Systems Tanzania (BEST) imefungua kiwanda cha kutengeneza mita za umeme za luku na hii ni kwa kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano katika ujenzi wa Tanzania ya viwanda na kufikia uchumi wa kati kufikia 2025.
Akizungumza katika uzinduzi huo mgeni rasmi ambaye pia Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani ameeleza kufurahishwa  na kufarijika kwa kupata mwaliko wa kuzindua kiwanda hicho kwani...

 

1 year ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA NISHATI, SUBIRA MGALU ATEMBELEA MIRADI YA UJENZI WA VITUO VYA UMEME KIGAMBONI JIJINI DAR ES SALAAM

 Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu, (wapili kulia), akifurahia jambo na wahandisi na mafundi wa TANESCO alipotembela  mradi wa ujenzi wa kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Kigamboni jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 20, 2017. Naibu Waziri, Mhe. Subira Mgalu(katikati), Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TANSECO, Mhandisi Dkt. Tito Mwinuka, (kulia), na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, (anayeshughulikia usafirishaji umeme), Mhandisi Kahitwa Bishaija, (kushoto), wakiwasili kwenye...

 

1 year ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA NISHATI, SUBIRA MGALU ATEMBELEA MIRADI YA UMEME CHAMAZI-DOVYA NA MBANDE WILAYANI TEMEKE

Naibu waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu, (kulia), akizungumza jambo mbelke ya viongozi wa Tanesco mkoa wa Temeke na wa serikali ya Mtaa, alipotembelea miradi ya umeme huko Cghamazi, Dovya, Mbagala jijini Dar es Salaam, leo Jumapili Novemba 5, 2017.


NAIBU Waziri wa Nishati Mhe. Subira Mgalu leo Jumapili Novemba 5, 2017 amefanya ziara ya kutembelea miradi 7 ya umeme inayotekelezwa na Shirika la Umeme Tanzania, (TANESCO), huko Chamazi-Dovya kwa Mzala 1-3, Mbande kwa Masister na Chamazi...

 

1 year ago

Malunde

NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA NISHATI SUBIRA MGALU AWAHAKIKISHI WAKAZI WA MBAGALA UMEME WA UHAKIKA


Mhandisi Emanuel Manlabona  akimuonyesha Naibu Waziri Nishati Subira Mgalu Juu ya uwezo wa kituo  hicho cha kusambaza umeme kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Usafirishaji  Umeme Mhandisi Bishaija KahitwaMhandisi Emanuel Manlabona akimuonyesha Naibu Waziri Nishati Subira Mgalu Juu ya uwezo wa kituo hicho cha kusambaza umemekulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Usafirishaji Umeme Mhandisi Bishaija Kahitwa 

Naibu Waziri wa Nishati Mh. Subira Mgalu kulia akisalimiana na mkazi wa Mbagala ****
Naibu ...

 

1 year ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Nishati Subira Mgalu akagua Miradi ya Umeme Vijijini Mkoani Mbeya.

Shirika la Umeme Tanzania limeagizwa kumchukulia hatua Mkandarasi ambaye ni kampuni ya wazawa ya JV State Grid Electrical & Technical Works Ltd aliyekuwa akitekeleza Mradi wa Umeme Vijijini Awamu ya Pili (REA II) Mikoa ya Mbeya na Songwe kwa kushindwa kukamilisha katika baadhi ya maeneo kwa mujibu wa makubaliano.
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu ametoa agizo hilo Januari 5, 2018 kwenye mkutano na wananchi wa Kijiji cha Utengule Usongwe, Mbeya Vijijini alipokuwa kwenye ziara ya kukagua...

 

1 year ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI NISHATI SUBIRA MGALU AZINDUA UMEME WA REA KATA YA MWASENI WILAYA YA RUFIJI MKOA WA PWANI

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.NAIBU Waziri wa Nishati Subira Mgalu amezindua mradi wa umeme wa vijijini REA awamu ya pili katika kijiji cha Mloka kata ya Mwaseni Rufiji  Mkoa wa Pwani sambamba na kusikiliza kero mbalimbali za wananchi.
Naibu Waziri aliambatana na Mkuu wa Wilaya ya Rufiji Juma Njwayo ambapo kwa pamoja waliweza kuzungumza na wananchi hao wakizidi kuwasisitiza kujiunganisha na mradi wa umeme wa REA kwa ajili ya kujiendeleza kiuchumi kwa nishati hiyo muhimu.
Kabla ya...

 

1 year ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI NISHATI SUBIRA MGALU AAGIZA REA KUMCHUKULIA HATUA MKANDARASI WA AWAMU YA PILI MKOA WA PWANI

Na Zainab Nyamka,Globu ya Jamii.NAIBU Waziri wa Nishati Subira Mgalu ameagiza mkandarasi wa mradi wa umeme wa Vijijini REA awamu ya pili Kwa Mkoa wa Pwani ambayo ni kampuni ya MBH kuchukuliwa hatua hatua kali za kisheria.
Hatua hiyo imefikia baada ya mkandarasi huyo Kampuni ya MBH kushindwa kutimiza malengo ya mkataba na kuacha baadhi ya maeneo yakiwa hajaweka miundo mbinu ya umeme kama walivyokubaliana awali.
Akitoa maagizo hayo mbele ya wananchi wa Kata ya Ruauke, Naibu Waziri Nishati Subira...

 

1 year ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI NISHATI SUBIRA NA NAIBU WAZIRI MIFUGO NA UVUVI ULEGA WAZINDUA UMEME WA NISHATI YA JUA KISIWA CHA KWALE


Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.

NAIBU waziri wa Nishati Subira Mgalu na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega wamezindua umeme wa nguvu za jua (Solar Power) katika Kisiwa cha Kwale uliojengwa na kampuni ya TANDEM na kufadhiliwa na wakala wa umeme Vijijini (REA).
Umeme huo uliogharimu takribani Milion 230 za kitanzania uliweza kuzinduliwa jana na Waziri wa Nishati sambamba na Mbunge wa Jimbo la Mkuranga ambaye pia ni Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi.
Akizungumza kabla ya kuzindua...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani