Naibu waziri wa Tanzania bara na Zanzibar wazungumza na wanahabari

Mwandishi wa Habari wa Habari maelezo Takdiri Ali akiuliza maswali katika mkutano na Naibu Waziri wa Kazi Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Shadia Mohammed Suleima akiwa pamoja na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge,Kazi,Vijana na Wenye Ulemavu wa Tanzania Anthony Mavunde katika ukumbi wa Ofisi ya Kazi Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Mwanakwerekwe Zanzibar. Naibu Waziri wa Kazi Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Shadia Mohammed Suleima akizungumza na...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

10 months ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI,KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI WAZUNGUMZA NA WANANCHI

Na Abubakari Akida-WMNN.

NAIBU Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, amewataka wananchi na wafanyabiashara wanaofanya shughuli zao karibu na Kituo cha Mpaka wa Sirari unaotenganisha nchi za Tanzania na Kenya kuhakikisha wanashirikiana na Jeshi la Polisi mkoani Mara kudhibiti matukio ya uhalifu kwa kutoa taarifa za wahalifu hao kwa jeshi hilo.
Hayo ameyasema akiongea na wananchi wakati wa ziara ya kikazi katika mkoa wa Mara, ikiwa na lengo la kutembelea mipaka iliyopo katika...

 

1 year ago

CCM Blog

NAIBU KATIBU MKUU WA CCM BARA NDG: RODRICK MPOGORO AFUNGUA MAFUNZO ELEKEZI KWA MAKATIBU WA UVCCM MIKOA YA TANZANIA BARA NA VISIWANI.

Naibu katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi Bara ndg; Rodrick mpogoro akifungua Mafunzo elekezi kwa makatibu wa umoja wa Vijana wa CCM mikoa ya Tanzania bara na Visiwani katika ukumbi wa kamati kuu ofisi ndogo ya Ccm Lumumba dar es salaam.
 Mwenyekiti wa umoja wa Vijana na mjumbe wa kamati kuu  ya Chama Cha Mapinduzi Ndg:Sadifa Juma khamisi akizungumza katika Mafunzo elekezi kwa makatibu wa umoja wa Vijana wa CCM mikoa ya Tanzania bara na Visiwani katika ukumbi wa kamati kuu ofisi ndogo ya Ccm...

 

2 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR ATEMBELEA KAMBI YA MAAFA ZANZIBAR.

 Naibu Waziri wa Afya Harusi Said Suleiman akisalimiana na wawakilishi wa mashirika ya WHO na UNICEF alipowasili katika kambi ya maafa kuona mazingira ya Kambi hiyo iliyopo Skuli ya Sekondari ya Mwanakwerekwe C nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Naibu Waziri wa Afya Harusi Said Suleiman akizungumza na baadhi ya wananchi waliohifadhi katika kambi ya maafa Mwanakwerekwe C.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.KWA PICHA ZAIDI BOFY HAPA.
Na Ramadhan Ali-Maelezo Zanzibar.MAAFISA wanaoshughulikia...

 

2 years ago

CCM Blog

NAIBU KATIBU MKUU WA CCM-BARA RODRICK MPOGOLO AZINDUA MATEMBEZI YA UVCCM YA MIAKA 52 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR LEO


Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akisalimia baadhi ya viongozi wa UVCCM, baada ya kuwasili kwenye uzinduzi wa matembezi ya miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar, kwenye Viwanja vya Donge, Vijibeni, Wilaya ya Kaskazini Jimbo la Donge, mkoa wa Kaskazini Unguja. Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM, Shaka Hamdu Shaka na Mwenyekiti wa UVCCM Sadifa Khamis Juma.
Vijana wa Kikundi cha Sarakasi cha Mtimkavu wakionyesha uhodari wao wakati wa uzinduzi wa matembezi hayo.
Vijana wa Kikundi cha...

 

7 months ago

Michuzi

WIZARA ZA UJENZI ZANZIBAR, TANZANIA BARA ZAFANYA MAZUNGUMZO ZANZIBAR

 Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji, Mustafa Aboud Jumbe akisisitiza jambo katika Mkutano wa mashirikiano kati ya Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji(SMZ) na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Sekta ya Uchukuzi (SMT) uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Ocean View Zanzibar. Kushoto ni  Katibu Mkuu  Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano(SMT), Dkt. Leornard Chamuriho. Baadhi ya Wajumbe waliohudhuria katika Mkutano wa mashirikiano kati ya Wizara ya...

 

1 year ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII INJINIA RAMO MAKANI AFUNGA RASMI MKUTANO WA SITA WA TANAPA KWA WAHARIRI NA WANAHABARI WAANDAMIZI MKOANI TANGA

Naibu Waziri Maliasili na Utalii Injinia  Ramo Makani akimkabidhi Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya New Habari (2006)Ltd, Absalom Kibanda cheti cha ushiriki wa Mkutano wa Mwaka na Wahariri na Wanahabari Waandamizi nchini uliohitimishwa jioni ya leo jijini Tanga.Katika hatua hiyo ya kukabidhiwa vyeti,washiriki wote walikabidhiwa vyeti vya ushiriki wao kwa ukamilifu katika mkutano huo.Mgeni rasmi,Naibu Waziri Maliasili na Utalii Injinia  Ramo Makani(wanne kulia) akiwa katika picha ya pmoja...

 

2 years ago

Michuzi

SIKU YA KWANZA YA SAFARI YA WANAHABARI NA ASKARI WA JESHI LA ULINZI (JWTZ) KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KUSHEREHEKEA MIAKA 55 YA UHURU WA TANZANIA BARA

Waandishi wa Habari walioshiriki changamoto ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa ajili ya kumbukumbu ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara wakinyanyua kuashiria kuanza safari hiyo atika lango la Marangu.
Safari ya kupanda vilima vidogo ndani ya Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro iliendelea.Maeneo mengine yalikuwa ni ya Madaraja na Mito.Majira ya saa 12 jioni hatimaye Safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa siku ya kwanza ikafika katika kituo cha Mandara na washiriki wakapata nafasi ya kupata picha ya...

 

3 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Afisi ya Makamu wa Rais Tanzania Muungano na Mazingira Mhe Luhaga Mpina Afanya Ziara Kutembelea Miradi ya Kuharibika na Tabia Nchi Zanzibar

Naibu Waziri wa Muungano na Mazingira Tanzania Mhe Luhaga Mpina akitembelea eneo hilo wakati wa ziara yake kutembelea miradi ya Tabianchi Zanzibar akiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani na Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar wakiwa kastika ufukwe wa pwani ya kizingo. Naibu Waziri wa Afisi ya Rais Muungano na Mazingira Tanzania Mhe Luhaga Mpina na Mbunge wa Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Nadi Mhe Eng Hamad Yussuf Masauni wakitembelea eneo la ufukwe wa pwani ya kilimani ilioathirika...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani