Namna Sheria Zinavyotungwa Nchini Tanzania

Sikiliza mawili matatu juu ya namna sheria zinavyotungwa nchini Tanzania, changamoto na juhudi zilizopo kwa zoezi hilo...

RFI

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mtanzania

Tanzania itapata sheria ya namna gani ya haki ya kupata taarifa?

Mwakyembe akiteta jambo na Rais John MagufuliNa DEUS KIBAMBA

BUNGE limeanza vikao vyake vya mkutano wa nne wa Bunge la 11 mjini Dodoma. Kwetu sisi wafuatiliaji wa masuala ya kibunge, kijamii na kisiasa, tunafahamu fika mkutano huu ni mahususi kwa ajili ya kusomwa kwa miswada mbalimbali.

Miongoni mwa miswada inayotarajiwa kusomwa katika vikao hivyo ni wa Sheria ya Haki ya Kupata Taarifa wa mwaka 2016, ambao unakuwa unasomwa kwa mara ya pili.

Muswada huu sasa umefikia hatua nzuri baada ya kukwama kwa miaka takribani kumi tangu Wizara ya...

 

2 months ago

Michuzi

TANZANIA NA ISRAEL KUANGALIA NAMNA YA KUSHIRIKIANA KATIKA MASUALA YA SHERIA

Na  Mwandishi MaalumTanzania na Israel zimekubaliana kwamba ,  mataifa hayo mawili yana mengi ya kujifunza baina  yao hususani katika eneo la utoaji wa haki na usimamiaji wa sheria.Hayo yamejiri leo ( jumatatu) wakati Mwanasheria  Mkuu wa Serikali, Dk. Adelardus Kilangi, alipokutana na kufanya mazungumzo  na Waziri wa Sheria wa Israel Bi. Ayalet Shaked.Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika katika Jengo la   Mikutano la Kimataifa la Mwalimu Julius Nyerere ( JNICC), viongozi hao...

 

11 months ago

Michuzi

Waziri Dkt. Mwakyembe Akutana na Wadau wa Soka Nchini Kujadili Namna ya Kuendeleza Mchezo Huo Hapa Nchini.


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akizungumza na baadhi ya Wadau wa mpira wa miguu kuhusu namna bora ya kukuza na kendeleza mchezo huo leo jijini Dar es salaam.
Baadhi ya Viongozi Wastaafu wa mpira wa miguu nchini wakimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) wakati wa majadiliano ya namna bora ya kukuza na kendeleza mchezo huo leo jijini Dar es salaam. Wa kwanza kulia ni Rais wa...

 

3 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: NAMNA YA KUKATA RUFAA KESI ZA ARDHI

Na  Bashir  Yakub.
Rufaa  ni  hatua  ya   kisheria  ambayo  hufikiwa  na  mhusika  katika  shauri  fulani  iwapo  hakurushishwa  na  maamuzi. Rufaa  sio  mpaka  uwe  umeshindwa  kabisa,  hapana. Yawezekana  ukawa  umeshinda  kesi  lakini  hukuridhishwa  na kiwango   ulichoshinda.Kwa  mfano  uliomba  wavamizi  waondoke  katika  nyumba yako   na  hapohapo  wakulipe  fidia. Mahakama  ikatoa  hukumu  kuwa  umeshinda  wavamizi  waondoke  katika  nyumba  yako  lakini  ikasema wasikulipe...

 

2 years ago

RFI

Sheria ya ndoa nchini Tanzania

Juma hili tunatupia jicho sheria ya ndoa nchini Tanzania na haki za mtoto. Wakili Naemy Silayo na Afisa Programu kwenye dawati la jinsia na watoto kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, jijini Dar es salaam, nchini Tanzania, anafafanua kwa kina.

 

1 year ago

RFI

Siku ya Sheria nchini Tanzania

Ungana nasi katika sehemu ya mwisho ya mada juu ya siku ya sheria nchini Tanzania. Wakili Naemy Silayo, afisa kwenye dawati la jinsia na watoto kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, jijini Dar es salaam, nchini Tanzania, anaendelea kuzungumza nasi kinagaubaga juu ya siku ya sheria nichini Tanzania.

 

3 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: NAMNA YA KUWASHITAK ASKARI WANAOWABAMBIKIZA KESI RAIA

Na   Bashir   Yakub.
Hapa kwetu Tanzania  habari ya kubambakiziana kesi ni kama mtindo. Mara nyingi matendo haya yamekuwa yakifanywa na watu wenye uwezo  kifedha dhidi ya wasio na fedha  pia kati ya  maofisa wa polisi na raia. Mtu kwasababu ana pesa au cheo anaweza kuamua  kumfungulia yeyote mashtaka.  Watu wengi wako magerezani kwa kubambikizwa kesi, hili wala sio siri tena. Siseme walio mahabusu, hao nao hawana idadi. Inasikitisha mno. Ni wazi kuwa wengi wao wamefikia huko aidha kwa...

 

3 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: JE UMENYANYASWA NA MWAJIRI, HII NI NAMNA YA KUMFUNGULIA MASHTAKA

NA  BASHIR  YAKUB
Makuzi ya biashara hasa biashara za kimataifa yameleteza utitiri wa makampuni. Karibia kila biashara kubwa au ya kati  kwa sasa  hufanywa na makampuni. Baadhi ya ndani na mengine  ya nje. 
 Hatua hii njema kwa kiasi  fulani imeongeza  ajira  japo ajira zenyewe hazina vigezo vya kuitwa ajira. Yatosha ziitwe kazi tu. Ajira hizi ambazo nyingi  ni za umanamba zimekuwa  zikifanywa na wazawa.  Upande mmoja zimekuwa neema na upande mwingine zimekuwa laana. 
Ni neema kwakuwa baadhi...

 

2 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: NAMNA YA KUDAI FIDIA ARDHI YA KIJIJI INAPOTWALIWA

Image result for ARDHI  YA  KIJIJINa Bashir YakubSuala  la  kudai  fidia  pindi  ardhi  ya kijiji  inapotwaliwa  linaongozwa  na sheria  ya  ardhi  ya  vijiji  ya  1999. Fidia  ni  haki  pale  ardhi  ya  kijiji  inapotwaliwa. Ziko  sababu  zinazoweza  kuifanya  serikali  kutwaa  ardhi  ya  kijiji  kwa  mfano   kupisha  miradi  ya  maendeleo,  kupisha  uwekezaji  kwa  manufaa  ya  kijiji  husika  na  taifa  zima,  halikadhalika   kuondoka  katika  eneo  ambalo  limetangazwa  kuwa  hatarishi  kwasababu  za  kijiografia  au ...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani