NANI ANASTAHILI KUHONGWA, MWANAUME AU MWANAMKE?

NAMSHUKURU sana Mungu kwa kuweza kunikutanisha na wewe rafiki wa safu hii. Nafurahi kupata meseji zenu ambazo zinaonesha jinsi gani mliguswa na mada ya wiki iliyopita iliyokuwa na ujumbe wenye tafsiri ya kujiongeza pale unapoona umpendaye hapokei simu, hajibu meseji, mapenzi yamepungua.
Nilishauri kama ukiona mpenzi wako ana sifa hizo, ujiongeze haraka na kuchukua hatua. Hakuna haja ya kuendelea kukaa na mtu ambaye tayari hana...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Global Publishers

Nani ana wajibu wa kujishusha, mwanamke au mwanaume?-2

WIKI iliyopita tuliianza mada hii nzuri yenye elimu kuhusu mpango wa Mungu katika ndoa.

Tuliishia pale Mungu alipokuwa akitoa adhabu kwa nyoka. Adhabu hiyo pia aliitoa kwa mwanaume (Adam) na kwa mwanamke (Eva).

ENDELEA SASA…

Mwanamke aliambiwa atazaa kwa uchungu, huo ndiyo uhalisia. Hadi leo mwanamke anaendelea kuzaa kwa uchungu. Jukumu hilo ni la kwake, si la mwanaume. Mwanaume anatekeleza lile la kwake la kutafuta na kula kwa jasho.

Hii ina maana kubwa sana katika maisha yetu. Kweli...

 

5 years ago

GPL

MWANAMKE,MWANAUME, NANI ANAONGOZA KUTOA SIRI ZA UHUSIANO?

NIJumanne tena, safu hii ya maisha na mapenzi ipo kukuelimisha na kukupa maujuzi ili ikibidi siku moja msomaji wangu ubadilike. Wiki iliyopita tulimalizia mada yetu ya; Unaachana naye unachukua kila kitu ulichomnunulia. Wiki hii tuna mada nyingine ndiyo hiyo hapo juu; mwanamke na mwanaume katika uhusiano nani anaongoza kwa kutoa siri nje? Au kufanya umbeya.
Nilibahatika kuzungumza na jinsia zote kuhusu mada yetu wakati...

 

2 years ago

Bongo Movies

Irene Uwoya: Mwanamke Anastahili Heshima

MSANII wa filamu nchini, Irene Uwoya, amesema mwanamke anastahili heshima ya hali ya juu kwani amekuwa ni nguzo ya familia na mafanikio katika jamii inayomzunguka.

Irene Uwoya Katika Pozi

Akizungumza na MTANZANIA jana, alisema katika kila familia iliyoweza kupata mafanikio, lazima mwanamke atakuwa amehusika.

Alisema kwenye maisha yake amekuwa akifanya kazi kwa nguvu zote bila ya kujali kuwa yeye ni mwanamke na anaamini jinsia haiwezi kumzuia mtu kuongoza sehemu yoyote.

“Mfano mdogo ni mimi...

 

3 years ago

Michuzi

MANARA AIBUKA NA TAKWIMU YA NANI ANASTAHILI KUITWA WA KIMATAIFA KATI YA SIMBA NA YANGA

Waungwana kila uchwao kwenye jiji hili na viunga vyake sambamba na maeneo mengi ya nchi, kuna neno wa ‘kimataifa’ hulisikia likiimbwa.
Waimbaji wakuu wa neno hilo ni mashabiki wa Yanga wakiongozwa na mpiga zumari wao aliyeacha kazi yake na kujigeuza muimbaji.
Kinyume chake hilo neno klabu ya Simba huitwa wa ‘mchangani’ au wa ‘matopeni’. Wengi wananilaumu kuwa kwa nini huwa sijibu neno lolote la ajabu kwa Yanga. Jibu langu ni jepesi tu, lazima tujitofautishe msemaji wa klabu na mropokaji wa...

 

3 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: NANI ANASTAHILI KIPAUMBELE KUSIMAMIA MIRATHI KATI YA WARITHI WA MAREHEMU

Na  Bashir  Yakub.
Ni vema  kujua nani  anapaswa  kupewa  kipaumbele  cha  kusimamia  mirathi  pale   mwenye  mali  anapokuwa  ameaga  dunia. Mara  kadhaa  mjadala  huibuka   baina  ya  wanafamilia  hasa  pale  inapotokea  kuwa  marehemu  alikuwa  na  mke  zaidi  ya  mmoja  na  kila  upande  kuna  watoto. 
Lakini  pia  hata  pale  marehemu  anapokuwa  na  mke  mmoja  mjadala  huu  napo  waweza  kuibuka  kati  ya  wanaotegemewa  kurithi  juu  ya  nani  awe  msimamia  mirathi. Hii  si  pale  tu...

 

4 years ago

Michuzi

JE NI WAJIBU MWANAMKE KUMTUNZA MWANAUME KISHERIA?.

Na  Bashir  Yakub.Kisheria  ndoa inapokuwa  imefungwa   kuna  haki  za  msingi  ambazo  huibuka.  Hizi  huitwa  haki  za  moja  kwa  moja  ( automatic  right). Huitwa  haki  za  moja  kwa  moja   kwakuwa   hazina  uhiari  katika  kutekelezwa  kwake.  Kuwapo  kwa  ndoa  ndio  kuwapo  kwake  na  hivyo  haihitaji  mtu  kuziomba. Kimsingi  haki  hizi  zipo  nyingi  ambapo  tutaona  baadhi  yake hapa   huku  makala  yakijikita  katika   haki  moja ya  matunzo  kwa  wanandoa.


1.BAADHI  YA  HAKI ...

 

4 years ago

Tanzania Daima

Dk. Nagu: Mwanamke anahitaji jitihada za mwanaume

IMEELEZWA kuwa harakati za kumkomboa mwanamke katika suala la kugombea nafasi mbalimbali za uongozi, sio lake peke yake bali zinahitajika jitihada za wanaume pia. Kauli hiyo imetolewa jijini Dar es...

 

3 years ago

Global Publishers

Mwanamke ammwagia mwanaume maji ya moto

IMG_2252
Abdallah Adamu akipata tabu ya kukaa kutokana na jeraha alilolipata baada ya kumwagiwa maji ya moto.

Stori: Mayasa Mariwata na Makongoro Oging’
Huu ni ukatili ulioje! Mwanamke aliyetajwa kwa jina la Eva Mwakajinga (32), mkazi wa Buguruni jijini Dar, anadaiwa kummwagia maji ya moto na kumuunguza vibaya mgongoni kijana, Abdallah Adamu (21), naye mkazi wa Buguruni kisa kikiwa kinashangaza.

Akizungumza na Ijumaa Wikienda kwa tabu, Abdallah alisimulia kwamba, mwishoni mwa wiki iliyopita, akiwa...

 

2 years ago

Mwananchi

Dalili tano za mwanamke/mwanaume anayechepuka

Wataalamu wa mahusiano na saikolojia wamefanya uchunguzi na kutaja dalili za mume au mke anayesaliti ikiwamo usiri katika matumizi ya simu yake na kubadili nywila (password) mara kwa mara.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani