Nape afunguka Malima ‘kulipuliwa’ risasi na polisi

Dar es Salaam. Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amevitaka vyombo vya dola kuangalia upya nguvu inayotumika kukamata raia ambao hawana silaha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

MillardAyo

AyoTV MAGAZETI: Hali mbaya kibiti, Nape afunguka Malima kutishiwa risasi

Kila siku asubuhi ungana na Alice Tupa wa AyoTV ili akusomee habari zote kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania  ambapo yuko leo May 19, 2017 ukibonyeza play kwenye hii video hapa chini ameshazisoma tayari. ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV MAY 18 2017? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI. Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye […]

The post AyoTV MAGAZETI: Hali mbaya kibiti, Nape afunguka Malima kutishiwa risasi appeared first on...

 

11 months ago

MillardAyo

UPDATE: Malima afikishwa Mahakamani baada ya Polisi kufyetua risasi

Jana May 15, 2017 ilisambaa video ikimuonesha aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Fedha kwenye awamu ya nne, Adam Malima akizozana na Askari Polisi kwa kilichoelezwa kuwa ni baada ya dereva wa kiongozi huyo kupaki gari sehemu isiyotakiwa. Tukio hilo lilipelekea Askari kumtaka dereva wa kiongozi huyo kupeleka gari kwenye Yard ya kampuni moja inayosimamia sheria […]

The post UPDATE: Malima afikishwa Mahakamani baada ya Polisi kufyetua risasi appeared first on millardayo.com.

 

11 months ago

MillardAyo

Gumzo mitandaoni ni hii video ya Askari kufyatua risasi hewani akizozana na Adam Malima

Kwenye mitandao ya kijamii Tanzania kumesambaa video ikionyesha Askari Polisi akijibizana kwa maneno na Naibu waziri wa zamani wa fedha Adam Malima na baadae kufyatua risasi hewani. Inadaiwa chanzo cha mvutano huo ni gari la Adam Malima kupaki vibaya ambapo kwenye kuambiwa litolewe ndio majibizano yakaanzia hapo. Gumzo limeendelea kwenye mitandao ya kijamii kutokana na […]

The post Gumzo mitandaoni ni hii video ya Askari kufyatua risasi hewani akizozana na Adam Malima appeared first on...

 

1 year ago

Malunde

WABUNGE HUSSEIN BASHE,MSUKUMA NA ADAM MALIMA WAKAMATWA NA POLISI

Wabunge Hussein Bashe wa Nzega Mjini na Joseph Kasheku wa Geita wakiwa na aliyewahi kuwa mbunge wa Kisarawe, Adam Malima wamehojiwa polisi na kisha kuachiwa baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kupanga njama za kuvuruga mkutano mkuu wa CCM

Inaelezwa kuwa, wabunge hao ambao ni wajumbe wa mkutano mkuu maalum wa CCM, ambao unafanyika, Machi 12 mjini Dodoma walikuwa wakipanga njama za kuvuruga mkutano huo kwa kugawa pesa kwa baadhi ya wajumbe.

Kamanda wa Polisi mkoani Dodoma amethibitisha kukamatwa...

 

11 months ago

Michuzi

NEWZ ALERT:MALIMA NA DEREVA WAKE WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KWA TUHUMA ZA KUMSHAMBULIA ASKARI POLISI

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.
Aliyekuwa Naibu Waziri wa fedha na mbunge wa Mkuranga, Adam Kigoma Malima amefikishwa mahakamani kujibu tuhuma za kumshambulia askari polisi.

Malima anashtakiwa pamoja na dereva wake Ramadhani Mohamed Kigwande anayekabiliwa na tuhuma za kujeruhi.

Washtakiwa wamesomewa mashtaka yao mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Respicious Mwijage wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Wakili wa serikali, Mwanaamina Kombakono amedai, Mei 15 mwaka huu huko Masaki katika wilaya ya...

 

1 year ago

Malunde

POLISI AUA MWENZAKE KWA RISASI KISHA KUJIUA KWA KUJIPIGA RISASI KICHWANI


POLISI amemuua mwenzake kwa kumpiga risasi usiku wa kuamkia leo na yeye amejiua baada kutazama mechi ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya kati ya Manchester City na Monaco.
Kabla ya polisi huyo, Konstebo Constable Patrick Kihagi kujiua kwa kujipiga risasi kichwani, alimjeruhi polisi mwingine kwa kumpiga risasi begani.
Polisi aliyekufa ametajwa kwa jina la Konstebo James Makokha, na kabla ya kifo alikuwa akifanya kazi Jogoo House.
Inadaiwa kuwa Makokha alipigwa risasi wakati akitaka kumaliza...

 

4 years ago

GPL

MAMA AFUNGUKA KANGA MOKO KUPIGWA RISASI

Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
MAMA mzazi wa binti aliyesababisha wasichana wawili kujeruhiwa kwa kupigwa risasi na polisi baada ya kushiriki ngoma maarufu ya Kanga Moko iliyopigwa marufuku, huko Mwananyamala Kisiwani jijini Dar es Salaam, amefunguka na kusema kuwa hakukuwa na sherehe yoyote nyumbani kwake siku hiyo ya tukio. Grace Loy (20), mkazi wa Mwananyamala Mchangani, aliyepigwa risasi katika paja la kulia...

 

2 years ago

Global Publishers

4 weeks ago

Malunde

NAPE NNAUYE AKUMBUSHIA ALIVYONUSURIKA KUPIGWA RISASI


 Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amezungumzia tukio la kutishiwa bastola wakati akitaka kuzungumza na waandishi wa habari nje ya Hoteli ya Protea lililotokea baada ya kuachwa katika mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri.

Katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter, Nape amekumbushia tukio hilo la Machi 23, 2017 na kuandika, “mwaka mmoja uliopita tarehe kama ya leo Mwenyezi Mungu aliniokoa na mdomo wa bunduki wa wanyama wasiopenda haki! Mungu mkubwa, mbegu ya haki haifi.”

Katika...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani