Nape amteua Hassan Abbas kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO)

napeWaziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye amemtangaza  Bw.Hassan Abbas kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO  na Msemaji Mkuu wa Serikali  kuanzia Agosti 5 Mwaka huu. Uteuzi huo umefanyika kwa mujibu wa Sheria za Utumishi wa Umma Namba 8 ya mwaka 2002 kifungu Namba 6(1)(b) kufuatia uhamisho wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara hiyo Bw. Assah Mwambene uliofanyika  tarehe 7 Machi 2016 kwenda Wizara ya Mambo ya Nje na  Ushirikiano wa Afrika Mashariki. hassan abbasMhe.Nape Moses...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

8 months ago

Michuzi

Rais Magufuli amteua Dkt. Hassan Abbas kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari, Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali

 Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Seriakli Dkt.Hassan Abbas.

 

2 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZ: Bw. Hassan Abbas ateuliwa kuwa mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO)

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akimtangaza Mkurugenzi wa Idara ya Habari(MAELEZO) ambaye pia ni Msemaji wa Serikali Bw. Hassan Abbas (kushoto) anayechukuwa nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Assah Mwambene aliyehamishiwa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa.PICHA NA MICHUZI JR-MMG.  Mkurugenzi wa Idara ya Habari(MAELEZO) ambaye pia ni Msemaji wa Serikali Bw. Hassan...

 

2 years ago

Dewji Blog

Serikali yamtangaza Hassan Abbas kuwa mkurugenzi mpya wa idara ya habari-MAELEZO

Miezi mitano baada ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO, Assah Mwambene kuhamishiwa Wizara ya Mambo ya Nje Ushirikiano wa Kikanda na Kimataifa, serikali kupitia wizara ya habari imemtangaza Hassan Abbas kuwa mkurugenzi mpya.

Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kumtangaza, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye alisema uteuzi wa Abbas umetumia kifungu cha Sheria ya Utumishi wa Umma namba 8 ya mwaka 2002, kifungu namba 6(1)(b) ambacho kinatoa ruhusa...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Habari za hivi punde: Bw. Hassan Abbas ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa idara ya Habari (Maelezo)

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akimtangaza Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) ambaye pia ni Msemaji wa Serikali Bw. Hassan Abbas (kushoto) anayechukuwa nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Assah Mwambene aliyehamishiwa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (Maelezo) Bi. Zamaradi Kawawa.

Mkurugenzi wa Idara ya Habar i(Maelezo) ambaye pia ni Msemaji wa Serikali Bw. Hassan Abbas akieleza mikakati...

 

1 month ago

Michuzi

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk Hassan Abbas atuzwa

 Katibu wa Asasi ya Wazalendo na Maendeleo Tanzania (AWAMATA) Merinah Millensasha (kulia) akimkabidhi cheti cha pongezi Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk Hassan Abbasi (katikati) kwa kutambua kazi ya Uzalendo anayofanya,  kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Ustawi wa Jamii, Wazee na Watoto wa asasi hiyo, Mohamed Shaban.

 

1 year ago

Michuzi

Mkurugunzi wa Idara ya Habari MAELEZO HASSAN ABBAS ALAMBA NONDOZZZZ YA PhD

 Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO - Dkt. Hassan Abbass akikitunukiwa Shahada yake ya Uzamivu ya Mawasiliano ya Umma (PhD) kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania (SAUT) wakati wa Mahafali ya 16 ya chuo hicho leo Jijini Mwanza. Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO - Dkt. Hassan Abbass akipokea shada la maua mara baada ya kutunukiwa Shahada yake ya Udaktari wa Mawasiliano ya Umma kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania (SAUT) wakati wa Mahafali 16 ya chuo hicho...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani