Nape: Makada wanaohama hawatunyimi usingizi

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

Habarileo

Nape: Wanaohama CCM ni sawa na mafuta machafu

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema wanachama waliokihama chama hicho wamejivua nguo mbele za watu na kwamba wapinzani wanaowachukua wanahangaika na mafuta machafu.

 

1 year ago

Malunde

NAPE NNAUYE APONDA KUPOKEA WANASIASA WANAOHAMA VYAMA.....ADAI VYEMA KUSHUGHULIKA NA WASIO NA VYAMA
Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amehoji sababu za vyama vya siasa kuhangaika kupokea wanachama wa vyama vingine, badala ya kushughulika na Watanzania wasio na vyama.

Akizungumza leo Jumapili Desemba 31,2017 katika mahojiano na kituo cha televisheni cha Azam, Nape amesema siku zote amekuwa na msimamo tofauti na wanachama wanaovihama vyama vyao kwa maelezo kuwa unawajenga wanaohama, si vyama.

"Kama tunataka kujenga vyama viwe vya kitaasisi ni lazima kuhamahama lisiwe suala la kawaida. Yaani...

 

4 years ago

Habarileo

Wazee waitaka CCM kutohangaika na wanaohama

WAZEE mkoani Rukwa wametamka hadharani kuwa CCM ni chama chenye heshima kubwa kwa kuwa na Ilani ya Uchaguzi bora na yenye heshima.

 

4 years ago

Mtanzania

Butiku aunga mkono wanaohama CCM

DSC_0857NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

MKURUGENZI wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, amewaunga mkono wanachama na makada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wanaohamia vyama vya upinzani.

Alisema makada hao walichelewa  kutoka ndani ya chama hicho na wameondoka wakati tayari chama hicho kimeharibika.

Butiku aliyasema hayo   alipotoa mada kwenye mdahalo  wa Maadili na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu, Dar es Salaam jana.

Alisema   CCM ni sawa  na kokoro ambalo limebeba kila aina ya uchafu.

Butiku...

 

5 years ago

BBCSwahili

Idadi ya wanaohama ni kubwa Ukrane:UNHCR

Umoja wa mataifa umesema kuna ongezeko la idadi ya watu wanaokimbia mapigano Mashariki mwa Ukraine.

 

3 years ago

Habarileo

Wanaohama Dar kupewa barua za utambulisho

MKOA wa Dar es Salaam unajiandaa kuweka utaratibu wa kuhakikisha kunakuwa na utaratibu wa kutoa barua za utambulisho kwa wakazi wanaohama kutoka sehemu moja kwenda nyingine, ikiwa ni mkakati wa kudhibiti uhalifu hususani wizi na unyang’anyi.

 

3 years ago

Mtanzania

Kenyatta, Raila wakubaliana kudhibiti wanaohama vyama

Uhuru Kenyatta

Uhuru Kenyatta

NAIROBI, KENYA

RAIS Uhuru Kenyatta na Kiongozi wa Upinzani wa Muungano wa Cord, Raila Odinga, wamekubaliana kuwazuia wagombea wa nafasi mbalimbali wanaohama vyama kabla ya Uchaguzi Mkuu.

Pendekezo hilo linatarajia kujadiliwa katika Bunge la Taifa na Baraza la Seneti, liliungwa mkono na mungano ya Jubilee na Cord, ambayo ina wawakilishi wengi katika vyombo hivyo viwili vya maamuzi.

Kiongozi wa walio wengi bungeni, Aden Duale na mwenzake wa walio wachache, Francis Nyenze...

 

4 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU PINDA ASHANGAA WANAOHAMA CHAMA BAADA YA KUSHINDWA

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na wakulima na wananchi wa  mikoa ya Kanda ya Nyanda za juu kusini wakati akifunga maonesho ya sherehe za wakulima Nanenane katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya Agost 8 ,2015 .Picha Jamiimojablog.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akizungumza katika sherehe hizo za wakulima Nanenane Kanda ya Nyanda za juu kusini katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya.Wananchi na wakulima wa mikoa ya Kanda ya Nyanda za juu kusini wakimsikiliza Waziri...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Zitto atoa neno kwa wanaohama vyama vyao vya siasa

Kufuatia vuguvugu la hivi karibuni la wanasiasa kuhama vyama vyao na kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM) huku wengine wakitoka CCM na kuhamia upinzani, Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameamua kutoa ya moyoni kuhusiana na sarakasi hizo za kisiasa. Katika chama chake cha ACT-Wazalendo, Zitto amepoteza wanasiasa kama Samson Mwigamba, Dkt. Kitila Mkumbo na wanachama wengine 10 ambao wametimkia CCM huku aliyekuwa Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Mama Anna Elisha...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani