Nape: Muswada wa Habari kutinga bungeni hivi karibuni

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amesema Muswada wa Sheria ya Habari uko mbioni kuwasilishwa bungeni. Akizungumza na wadau wa wizara yake kutoka mikoa ya Mbeya na Songwe kwenye mkutano uliofanyika jijini Mbeya, Nnauye alisema muswada huo ambao awali ulikumbana na vizingiti vingi yakiwemo malalamiko ya wamiliki wa vyombo vya habari, sasa uko katika hatua za mwisho kurejeshwa bungeni.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Hussein Bashe kasimama tena bungeni, sasa hivi ni kuhusu muswada wa habari

screen-shot-2016-11-05-at-2-10-06-pm

Nakukutanisha na mbunge wa jimbo la Nzega mjini (CCM) Hussein Bashe ambaye alipata nafasi ya kusimama bungeni kuwasilisha maoni yake kuhusu muswada wa habari uliowasilishwa na Wizara ya habari, utamaduni na michezo chini ya waziri wake Nape Nnauye, mtazame Bashe kwenye hii video hapa chini VIDEO: Ulizikosa dakika 12 za Hussein Bashe na masikitiko yake kwa […]

The post VIDEO: Hussein Bashe kasimama tena bungeni, sasa hivi ni kuhusu muswada wa habari appeared first on millardayo.com.

 

3 years ago

Michuzi

PROF. OLE GABRIEL AVIPONGEZA VYOMBO VYA HABARI KWA KAZI KUBWA WALIYOIFANYA YA KUANDIKA HABARI ZA UCHAGUZI ULIOFANYIKA HIVI KARIBUNI

Na Mwandishi Maalum  – Maelezo
Vyombo vya habari nchini vimepongezwa kwa kazi kubwa waliyoifanya ya kutoa taarifa kwa wananchi wakati wa uchaguzi mkuu uliofanyika mwishoni mwa mwezi wa 10 mwaka huu.
Pongezi hizo zimetolewa leo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel wakati akiongea na viongozi wa menejimenti ya wizara na taasisi zake kwenye kikao cha kazi kilichofanyika jijini Dar es Salaam.
Prof. Gabriel alisema kipindi cha uchaguzi vyombo...

 

2 years ago

Mtanzania

Muswada wa Habari wawatifua Zitto, Nape

zittokabwe

Na MWANDISHI WETU- DAR ES SALAAM

MUSWADA wa Sheria wa Huduma za Habari Mwaka 2016 umeibua malumbano na mjadala wa hoja kinzani kati ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye na Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe.

Kwa siku mbili mfululizo, Nape na Zitto wametumia jukwaa la mitandao ya kijamii kutifuana kuhusu muswada huo unaotarajiwa kuwasilishwa katika Bunge lijalo linalotarajiwa kuanza mwezi ujao.

Katika ujumbe wa maandishi wa kumjibu Zitto alioutuma...

 

2 years ago

Mwananchi

Nape, Zitto wavaana muswada wa habari-1

Baada ya kupambana na mwenyekiti wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, vita kuhusu Muswada wa Huduma za Habari umehamia nje ya chombo hicho, safari hii Zitto Kabwe akipambana na Wazari ya Habari, Nape Nnauye.

 

4 years ago

Habarileo

Muswada wa habari waondolewa bungeni

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalumu, Profesa Mark MwandosyaSERIKALI imeondoa muswada wa Sheria ya Haki ya Upatikanaji Habari wa mwaka 2015, uliokuwa usomwe kwa mara ya pili bungeni na hivyo utasubiri hadi Bunge jipya litakapokaa, baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.

 

4 years ago

Mtanzania

Muswada wa habari kuwasilishwa bungeni

Na Debora Sanja, Dodoma
HATIMAYE Muswada wa Sheria ya kupata Habari na Muswada wa Sheria ya Vyombo vya Habari ya Mwaka 2015, inatarajiwa kuwasilishwa bungeni katika mkutano wa 19 wa Bunge unaoanza leo mjini hapa.
Miswada hiyo inatarajiwa kuwasilishwa kwa hati ya dharura na inakusudiwa kupitishwa na Bunge katika hatua zake zote.
Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa mjini hapa jan,a mbali na miswada hiyo kuwasilishwa, pia miswada mingine minne inatarajiwa kuwasilishwa kwa hati ya dharura.
“Miswada...

 

4 years ago

Mtanzania

Muswada wa habari waondolewa bungeni

agNa Fredy Azzah, Dodoma

HATIMAYE Serikali imekubali kuuondoa muswada wa habari na ule wa vyombo vya habari iliyopangwa kuwasilishwa kwa hati ya dharura na badala yake itasomwa kwa mara ya kwanza kisha wadau watapata nafasi ya kuijadili.

Ratiba ya awali ilionyesha kuwa Machi 31, mwaka huu Serikali ilitarajiwa kuwasilisha muswada wa Sheria ya kupata Habari wa mwaka 2015 na ule wa Vyombo vya Habari wa mwaka 2015 yote kwa hati ya dharura.

Ratiba iliyotolewa jana ilikuwa haina miswada hiyo,...

 

2 years ago

Mwananchi

Muswada wa habari ‘wadadavuliwa’ bungeni

Mvutano mkali umetokea bungeni baina ya Serikali na Kambi ya Upinzani katika baadhi ya vifungu vya Muswada wa Sheria ya Huduma ya Habari ikiwamo mamlaka aliyopewa waziri.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani