Nape Nnauye amemteuwa Mkurugenzi mpya wa Idara ya Maendeleo ya Michezo

Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye, Jumatano hii amemteuwa Yusuph Singo Omari kuwa Mkurugenzi wa idara ya maendeleo ya michezo akichukuwa nafasi ya Leonard Thadeo aliyehamishiwa katika wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.

Awali Singo alikuwa ni mkufunzi mwandamizi katika Chuo Kikuu cha Ardhi katika masuala ya michezo. Uteuzi huo umefanywa kwa mujibu wa sheria ya utumishi wa umma ya mwaka 2002 katika kifungu 6(1)(b) pamoja na kifungu namba 8 ya sheria hiyo.

Soma taarifa hiyo hapa chini.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

CCM Blog

NAPE AMTEUA YUSUPH SINGO KUWA MKURUGENZI MPYA WA IDARA YA MAENDELEO YA MICHEZO

Dar es Salaam
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Nape Moses Nnauye amemteua   Yusuph Singo Omari kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo  kujaza nafasi iliyo achwa wazi na Leornad Thadeo aliyehamishiwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. 

Uteuzi huo umefanyika kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma ya mwaka 2002 kifungu namba 6, kifungu (1)(b) kikisomwa pamoja na kifungu namba 8 cha sheria hiyo.

Kabla ya uteuzi huo Yusuph Singo Omari alikuwa Mkufunzi Mwandamizi katika Chuo...

 

2 years ago

Michuzi

WAZIRI NAPE NNAUYE ATEMBELEWA NA KAIMU MKURUGENZI WA MAWASILIANO NA UHUSIANO WA VODACOM.

WAZIRI WA HABARI,UTAMADUNI,SANAA NA MICHEZO NAPE NNAUYE ATEMBELEWA NA KAIMU MKURUGENZI WA MAWASILIANO NA UHUSIANO WA VODACOM,ROSALYNN MWORIA KWA AJILI YA MAZUNGUMZO YA KIKAZI. Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh.Nape Nnauye akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Rosallyn Mworia wakati alipotembelea Wizarani  kwa ajili ya mazungumzo ya kikazi..Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh.Nape Nnauye akiwa katika picha ya pamoja na Kaimu...

 

2 years ago

CCM Blog

KATIBU WA NEC ITIKADI NA UENEZI NAPE NNAUYE AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA CCM NDANI YA IDARA YAKE YA UENEZI

 Katibu wa NEC, Nape Nnauye akizungumza na watumishi wa CCM waliopo chini ya Idara yake, alipokutana nao leo Makamo Makuu ya CCM mjini Dodoma. Nape amewataka watumishi hao kuwa na mpango kazi na pia kuhakikisha kila mmoja anawajibika katika eneo lake la kazi na pia kuwahi na kuwepo eneo lake la kazi kila siku za kazi.
Katibu wa NEC, Itikati na Uenezi akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa CCM waliopo chini ya idara yake baada ya kuzungumza nao leo katika Ofisi ya Makao Makuu ya CCM...

 

2 years ago

Michuzi

Nape Nnauye azungumza na wadau wa Habari,Michezo na sanaa Mkoani Mbeya

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye akizungumza na wadau wa Habari,Michezo na sanaa Mkoa wa Mbeya (hawapo pichani)katika ukumbi wa Mikutano wa Mkapa jijini Mbeya April 2 ,2015 .(Picha Keneth Ngelesi)
Wadau wa Habari,Michezo na Sanaa Mkoani Mbeya wakimsikiliza kwa makini Waziri  wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye wakati wakati akizungumza nao katika ukumbi wa Mikutano wa Mkapa jijini Mbeya.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape...

 

2 years ago

Global Publishers

Nape amteua Hassan Abbas kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO)

napeWaziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye amemtangaza  Bw.Hassan Abbas kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO  na Msemaji Mkuu wa Serikali  kuanzia Agosti 5 Mwaka huu. Uteuzi huo umefanyika kwa mujibu wa Sheria za Utumishi wa Umma Namba 8 ya mwaka 2002 kifungu Namba 6(1)(b) kufuatia uhamisho wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara hiyo Bw. Assah Mwambene uliofanyika  tarehe 7 Machi 2016 kwenda Wizara ya Mambo ya Nje na  Ushirikiano wa Afrika Mashariki. hassan abbasMhe.Nape Moses...

 

2 years ago

MillardAyo

Pichaz 7 za Mbwana Samatta alivyokutana na waziri wa michezo Nape Nnauye wizarani Dec 30 …

December 30 ilikuwa ni siku ya mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta kukutana na uongozi wa wizara ya habari, vijana, utamaduni, burudani na michezo Nape Nnauye. Mshambuliaji huyo ambaye anahusishwa kwenda kucheza soka la kulipwa katika klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji […]

The post Pichaz 7 za Mbwana Samatta alivyokutana na waziri wa michezo Nape Nnauye wizarani Dec 30 … appeared first on...

 

2 years ago

Michuzi

NAPE NNAUYE ATENGUA UTEUZI WA KATIBU MTENDAJI BARAZA LA MICHEZO TANZANIA(BMT).

 Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea ofisi za Baraza la Michezo la Taifa (BMT) leo hii kuona utendaji wa Baraza hilo. Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa Bw.Dionis Malinzi(kulia) akiongea jambo na Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo mhe Nape Nnauye. Waziri wa habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye(katikati) akizungumza na waandishi wa Habari leo hii katika ofisi za Baraza la Michezo la Taifa...

 

2 years ago

Bongo5

Waziri Nape Nnauye atangaza kumsimamisha kazi Mtendaji Mkuu baraza la michezo (BMT)

NAPE-NNAUYE

Mh.Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Nape Nnauye, ametangaza rasmi kumsimamisha kazi Mtendaji Mkuu wa Baraza la michezo Taifa (BMT) Hendry Lihaya.

0312
Katibu Mtendaji Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Bw. Henry Lihaya

Sikilza hapa chini Mh. Nape Nnauye akiongea

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

1 year ago

Michuzi

WAZIRI NAPE NNAUYE APOKEA VIFAA VYA MICHEZO TOKA KAMPUNI YA START TIMES LTD.

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (kulia) akipokea vifaa vya michezo toka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Star Times Tanzania Bw. Leo 9 November, 2016 katika ukumbi wa Wizara Jijini Dar es Salaam. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (aliyekaa katikati mbele) akiongea na Waandishi wa habari wakati wa hafla ya kupokea vifaa vya michezo toka kwa Kampuni ya Star Times Tanzania leo 9 November, 2016 katika ukumbi wa Wizara Jijini Dar...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani