NAPE NNAUYE APONDA KUPOKEA WANASIASA WANAOHAMA VYAMA.....ADAI VYEMA KUSHUGHULIKA NA WASIO NA VYAMA
Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amehoji sababu za vyama vya siasa kuhangaika kupokea wanachama wa vyama vingine, badala ya kushughulika na Watanzania wasio na vyama.

Akizungumza leo Jumapili Desemba 31,2017 katika mahojiano na kituo cha televisheni cha Azam, Nape amesema siku zote amekuwa na msimamo tofauti na wanachama wanaovihama vyama vyao kwa maelezo kuwa unawajenga wanaohama, si vyama.

"Kama tunataka kujenga vyama viwe vya kitaasisi ni lazima kuhamahama lisiwe suala la kawaida. Yaani...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Dewji Blog

Kasi ya CCM na Serikali yake, vyama vya upinzani vipo hatarini kufa – Nape Nnauye

IMG_0032

Katibu wa NEC, Uenezi na Itikadi CCM Taifa, Nape Nnauye, akizungumza na waandishi wa habari leo muda mfupi baada ya kumaliza kukagua uwanja wa michezo wa Namfua mjini hapa, mahali ambapo zitafanyika sherehe za kuadhimisha miaka 39 ya kuanzishwa kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambapo kitaifa zinatarajiwa kufanyika mkoani Singida.Pamoja na mambo mengine,alisema kuwa CCM taifa imejipanga vema kuboresha  viwanja vyake vya michezo kikiwemo  cha Namfua ambacho taratibu za kumpata mkandarasi wa...

 

3 years ago

Mtanzania

Kenyatta, Raila wakubaliana kudhibiti wanaohama vyama

Uhuru Kenyatta

Uhuru Kenyatta

NAIROBI, KENYA

RAIS Uhuru Kenyatta na Kiongozi wa Upinzani wa Muungano wa Cord, Raila Odinga, wamekubaliana kuwazuia wagombea wa nafasi mbalimbali wanaohama vyama kabla ya Uchaguzi Mkuu.

Pendekezo hilo linatarajia kujadiliwa katika Bunge la Taifa na Baraza la Seneti, liliungwa mkono na mungano ya Jubilee na Cord, ambayo ina wawakilishi wengi katika vyombo hivyo viwili vya maamuzi.

Kiongozi wa walio wengi bungeni, Aden Duale na mwenzake wa walio wachache, Francis Nyenze...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Zitto atoa neno kwa wanaohama vyama vyao vya siasa

Kufuatia vuguvugu la hivi karibuni la wanasiasa kuhama vyama vyao na kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM) huku wengine wakitoka CCM na kuhamia upinzani, Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameamua kutoa ya moyoni kuhusiana na sarakasi hizo za kisiasa. Katika chama chake cha ACT-Wazalendo, Zitto amepoteza wanasiasa kama Samson Mwigamba, Dkt. Kitila Mkumbo na wanachama wengine 10 ambao wametimkia CCM huku aliyekuwa Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Mama Anna Elisha...

 

1 year ago

Malunde

HATIMAYE ZITTO KABWE AFUNGUKA KUHUSU WANAOHAMA VYAMA VYAO VYA SIASA

Kufuatia vuguvugu la hivi karibuni la wanasiasa kuhama vyama vyao na kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM) huku wengine wakitoka CCM na kuhamia upinzani, Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameamua kutoa ya moyoni kuhusiana na sarakasi hizo za kisiasa.

Katika chama chake cha ACT-Wazalendo, Zitto amepoteza wanasiasa kama Samson Mwigamba, Dkt. Kitila Mkumbo na wanachama wengine 10 ambao wametimkia CCM huku aliyekuwa Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Mama Anna Elisha Mghwira...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Nape Nnauye atupa swali kwa wanasiasa nchini

Mbunge Nape Nnauye ametoa yake ya moyoni kwa kuhoji vyama vya siasa na wanasiasa Tanzania wanajifunza nini kufuatia mchakato wa uchaguzi ndani ya chama tawala cha (ANC) uliofanyika Afrika Kusini mwanzoni mwa wiki hii kumpata kiongozi wa chama hicho. Chama tawala cha African National Congress (ANC) kilifanya uchaguzi wa ndani kumtafuta kiongozi wa juu ya chama hicho ambapo kulikuwa na zoezi la uchaguzi na nafasi hiyo kugombewa na wananchama wa chama hicho na kupigiwa kura, ambapo mwisho wa...

 

4 years ago

Mwananchi

Hamahama ya wanasiasa yatikisa vyama

Wimbi la wanasiasa kuhama vyama wakati wa uchaguzi limekuwa la kawaida, lakini miaka 20 baada ya siasa za vyama vingi kurejeshwa, hali hiyo inaonekana kutikisa vyama hasa baada ya kutawaliwa na mawaziri, wabunge na madiwani.

 

1 year ago

CHADEMA Blog

BARUA YA CHADEMA KWA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA KUWASILISHA MAELEZO KUHUSU TUHUMA ZA UVUNJIFU WA SHERIA YA VYAMA VYA SIASA NA MAADILI YA VYAMA VYA SIASA

22 Februari, 2018 MSAJILI YA VYAMA VYA SIASA S.L.P 63010 DAR ES SALAAM YAH: KUWASILISHA MAELEZO KUHUSU TUHUMA ZA UVUNJIFU WA SHERIA YA VYAMA VYA SIASA NA MAADILI YA VYAMA VYA SIASA Nakiri kupokea barua yako yenye Kumb: HA.322/362/16/34 ya tarehe 21 Februari, 2018 kichwa cha habari hapo juu cha husika. Kabla ya kuanza kutoa maelezo naomba kueleza misingi ya Katiba na kisheria kama ifuatavyo;

 

3 years ago

Dewji Blog

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa yaendelea na uhakiki wa Vyama nchini

Zoezi la uhakiki wa  utekelezaji wa masharti ya usajili wa Vyama va Siasa  kwa upande wa Tanzania Bara  linaendelea .Tayari  vyama 18 vimekwishakuhakikiwa. Vyama vinne vinatarajiwa  kuhakikiwa  Julai 4. Zoezi hili ni zoezi la kawaida na endelevu  ambalo hufanyika  kila mwaka ili kupima endapo vyama vya siasa   vinakidhi matakwa ya  Sheria ya usajili wa vyama vya Siasa.

Uhakiki wa Vyama vya siasa ni zoezi muhimu sana kwa sababu ni zoezi ambalo hugusa uhai wa  kila  chama cha siasa.  Kwa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani