Nape: Wanaohama CCM ni sawa na mafuta machafu

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema wanachama waliokihama chama hicho wamejivua nguo mbele za watu na kwamba wapinzani wanaowachukua wanahangaika na mafuta machafu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Tanzania Daima

Mafuta machafu yaingizwa nchini

MKEMIA Mkuu wa Serikali, Profesa Samwel Manyele, amesema kuna kampuni tatu za mafuta hapa nchini zimeingiza mafuta machafu yaliyotumika pamoja na kukwepa kulipa kodi. Licha ya kueleza jambo hilo, Manyele...

 

3 years ago

Mwananchi

Mafuta machafu yaishutua Serikali usingizini

Baada ya taarifa za kuwapo kwa shehena ya mafuta ya ndege inatarajiwa kuingizwa nchini Jumapili ya wiki hii na Kampuni ya Sahara Energy Resources inamalizia mkataba wake wa kuingiza mafuta nchini, Kampuni ya kuhifadhi mafuta (Tiper), inatarajia kupokea mafuta ya ndege mwishoni mwa wiki hii.

 

3 years ago

BBCSwahili

Mafuta 'machafu kutoka Ulaya' yauzwa Afrika

Ripoti mpya iliyotolewa na shirika moja lisilo la kiserikali lenye makao yake makuu nchini Uswizi liitwalo Public Eye, limedai hayo

 

4 years ago

Habarileo

Wazee waitaka CCM kutohangaika na wanaohama

WAZEE mkoani Rukwa wametamka hadharani kuwa CCM ni chama chenye heshima kubwa kwa kuwa na Ilani ya Uchaguzi bora na yenye heshima.

 

4 years ago

Mtanzania

Butiku aunga mkono wanaohama CCM

DSC_0857NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

MKURUGENZI wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, amewaunga mkono wanachama na makada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wanaohamia vyama vya upinzani.

Alisema makada hao walichelewa  kutoka ndani ya chama hicho na wameondoka wakati tayari chama hicho kimeharibika.

Butiku aliyasema hayo   alipotoa mada kwenye mdahalo  wa Maadili na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu, Dar es Salaam jana.

Alisema   CCM ni sawa  na kokoro ambalo limebeba kila aina ya uchafu.

Butiku...

 

1 year ago

Malunde

NAPE NNAUYE APONDA KUPOKEA WANASIASA WANAOHAMA VYAMA.....ADAI VYEMA KUSHUGHULIKA NA WASIO NA VYAMA
Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amehoji sababu za vyama vya siasa kuhangaika kupokea wanachama wa vyama vingine, badala ya kushughulika na Watanzania wasio na vyama.

Akizungumza leo Jumapili Desemba 31,2017 katika mahojiano na kituo cha televisheni cha Azam, Nape amesema siku zote amekuwa na msimamo tofauti na wanachama wanaovihama vyama vyao kwa maelezo kuwa unawajenga wanaohama, si vyama.

"Kama tunataka kujenga vyama viwe vya kitaasisi ni lazima kuhamahama lisiwe suala la kawaida. Yaani...

 

1 year ago

CHADEMA Blog

WANAOHAMA CHADEMA KWENDA CCM WANAJALI MATUMBO YAO NA SIYO KUSAIDIA TAIFA (BAVICHA)

BARAZA la Vijana wa Chadema (Bavicha), limesema wimbi la kuhama kwa viongozi na wanachama wa chama hicho, unakipa nafasi ya kujirekebisha na kujipanga vizuri ikiwamo kubaki na wanaofuata misingi ya chama.Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa Bavicha Taifa, Julius Mwita akijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kujua kauli ya Bavicha kuhusu wimbi la kung'atuka kwa

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani