Nasa inasema mwezi unasinyaa kama zabibu iliyokauka, kwanini?

Nasa inasema umesinyaa kwa kiasi ya mita 50 katika miaka milioni mia kadhaa iliyopita.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

MillardAyo

Kama ulikamatwa na Polisi barabarani Dar mwezi huu, faini yako imeijazia BILIONI MOJA kama ifuatavyo

light2

Kikosi cha usalama barabarani kanda maalum ya Dar es salaam kimetangaza kukusanya kiasi cha shilingi BILIONI MOJA NUKTA TISA (1.9) kutokana na faini za ukamataji wa makosa ya usalama barabarani kuanzia siku ya kwanza ya February 2016 mpaka tarehe 22 ya mwezi huu.Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro amesema ‘Sio […]

The post Kama ulikamatwa na Polisi barabarani Dar mwezi huu, faini yako imeijazia BILIONI MOJA kama ifuatavyo appeared first on TZA_MillardAyo.

 

2 years ago

Bongo5

Shaa azungumzia kwanini muziki wa sasa haudumu kama wa zamani

Muziki wa Bongo Flava unaotoka sasa unaweza kuonekana kuwashika mashabiki ndani ya muda mfupi na video zake kuwa na mamilioni ya views kwenye Youtube, lakini hakuna anayeweza kubisha kuwa haudumu kama zamani? Kwanini?

Shaa anauita muziki wa leo ‘bubblegum’ na kwamba huwezi kuufananisha na ule uliotoka miaka mitano au saba tu nyuma. “Ni kazi ambazo hata miaka 20 kuanzia sasa bado unaweza ukazicheza na ukawa on point,” Shaa alikiambia kipindi cha The Playlist cha Times FM kuhusu nguvu ya...

 

3 weeks ago

BBCSwahili

Ni kwanini si rahisi kumpata mtu kama Mengi nchini Tanzania?

Imekuwa ni wiki ya majonzi kwa Watanzania na kufuatia kifo cha Bilionea Regnald mengi, baadhi wanajiuliza je ni rahisi kumpata mtu mwenye hadhi yake?

 

4 years ago

Bongo5

Nuru The Light aeleza kwanini wanamuziki wa kike hawashirikiani kama wa kiume

Ni nadra sana wasanii wa kike kushirikishana kwenye nyimbo zao kama wafanyavyo wasanii wa kiume. Tatizo ni nini? Tumezungumza na msanii wa Tanzania anayeishi nchini Sweden, Nuru The Light aliyetueleza sababu. “Wanawake hawajakuzwa kwenye mazingira ya kucompete na wanaume, let alone na wanawake wenzao. So chochote kile kitakachowafanya washirikiane always kutakuwa na doubt au insecurities, […]

 

4 years ago

Bongo5

Matonya ataja sababu za kwanini ngoma zake hazihit kama zamani

Matonya amesema sababu kubwa iliyomfanya apotee kwenye muziki na nyimbo zake za sasa kutofanya vyema kama mwanzo ni kukosa uongozi mzuri wa kumsimamia. Matonya ameambia Bongo5 kuwa muziki wa sasa hivi upo tafauti na ule wa zamani uliokuwa hauhitaji mambo mengi kama muziki wa sasa. “Tatizo kubwa kadri siku zinapozidi kwenda wasanii tunazidi kuwa wengi, […]

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Polisi yaongea kwanini Diamond Platnumz hakufikishwa Mahakamani kama wale wa Singida

Mohamed Mpinga ni Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani Tanzania na amekubali kukaa kwenye Exclusive Interview na AyoTV kujibu baada ya watu ku-comment kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuona Diamond amepost picha akiwa na Kamanda na hakupelekwa Mahakamani. Kamanda Mpinga ameeleza kwanini Mwimbaji Diamond Platnumz hakupelekwa Mahakamani baada ya video yake kusambaa akiendesha gari huku akiimba […]

The post VIDEO: Polisi yaongea kwanini Diamond Platnumz hakufikishwa Mahakamani kama wale wa...

 

3 years ago

Bongo5

Wema na shosti wake Muna wagombana ‘kwanini unamfanya mama yangu kama ndondocha wako’

Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya firauni. Wema Sepetu na swahiba wake wa karibu Muna kimenuka – Kupitia mtandao wa Instagram Wema Sepetu amemtuhumu rafiki yake huyo kumtumia mama yake kama ‘ndondocha’.

wema-1

Kupitia mtandao huo, Wema ameandika:

Rose Alphonce Nungu… Nakuita tena kwa mara ya pili Rose Alphonce Nungu…. Unanitafutia nini wewe mwanamke…!? Nini nimekukosea wewe dada…? Niliapa na Miungu yote siwezi kupost kitu chochote kwa account yangu kinachokuhusu wewe ila wallahy wewe dada You...

 

4 years ago

Vijimambo

K-Lynn azungumzia maisha yake kama mama, kwanini hawezi kurudi kwenye muziki na kazi ya interior design


Ni nadra sana kukutana na Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi maarufu kama K-Lynn lakini kupitia tuzo za watu tulifanikiwa kupiga story mbili tatu.
K-Lynn ameiambia Bongo5 kuwa maisha akiwa kama mama watoto wawili mapacha yamekuwa ya aina yake na anayafurahia kila sekunde.“Nimejifunza kuwa mvumilivu, nimejifunza upendo ambao sijawahi kujisikia kabla. Jinsi unavyompenda mtoto ni tofauti ambavyo unaweza kumpenda mtu yoyote yule katika maisha yako,” alisema.
Katika hatua nyingine Miss Tanzania huyo wa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani