Nay wa Mitego Afungukia Ishu Yake na Nini

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki maarufu kama Nay wa Mitego, amesema jambo lolote linaweza kutokea kati yake na msanii Nini, ingawa kwa sasa hawana mahusiano.

 

Akizungumza na EATV Nay amesema kitu kilichopo kati yake na Nini kwa sasa ni kazi tu, lakini haitakuwa kitu cha ajabu iwao lolote likitokea baina yao.

“Mimi na Nini ni washkaji tunafanya kazi tu, huenda yeye ana mtu wake, nami nina mtu wangu, hakuna mahusiano yoyote, lakini huwezi jua lolote linaweza tokea, kwani...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Audio: BASATA yafunguka ishu ya Nay wa Mitego kukamatwa, familia ya Nay yatoa neno

Baada ya rappa Nay wa Mitego kutoa taarifa kupitia ukurasa wake wa instagram kwamba amekamatwa na taarifa hizo kuthitishwa na jeshi la polisi, Bongo5 imezungumza na familia ya rappa huyo pamoja na Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) baada ya taarifa kuzagaa kwamba rappa huyo amekamatwa kutokana na wimbo wake mpya uliovuja mtandaoni.

Akiongea na Bongo5 producer wa rappa huyo, Osam Flexible kwa niaba ya familia amesema wao wamezipata taarifa za kukamatwa kwa Nay wa Mitengo mkoani Morogoro kama...

 

2 years ago

Bongo Movies

VIDEO: Nay Afungukia Ishu ya Roma Mkatoliki

Mwanamuziki anayesumbua kwa sasa na wimbo wa ‘Wapo’ Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego amejitetea kwenye eNewz ya EATV kuwa watu wasihusishe vitu anavyoweka kwenye mitandao ya kijamii na tukio la utekwaji wa msanii Roma Mkatoliki.

Nay amefunguka hayo baada ya kuulizwa kuhusu maneno aliyoyaweka kwenye mtandao wake wa Instagram siku moja baada ya kupatikana kwa msanii Roma pamoja na wenzake wanne ambao inasemekana walitekwa na watu wasiofahamika.

“Ni dhambi kubwa watu kuhusisha post zangu na...

 

3 years ago

Bongo Movies

Nay wa Mitego Afungukia Picha za ‘Pale Kati’

Msanii Nay wa Mitego ambaye siku za karibuni wimbo wake mpya ‘Pale kati’ umefungiwa na Baraza la sanaa Taifa (BASATA) amefunguka na kusema kuwa suala la watu kusambaza picha kwenye mitandao ya jamii huku zikiwaonyesha wanawake wakiwa hawana nguo kabisa siyo kosa lake yeye kwani hakufanya hicho kitu bali kuna watu walitengeneza hizo picha wakiwa na malengo yao.

nay wa mitego922

Nay wa Mitego

Nay wa Mitego amesema hayo katika kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio na kudai kuwa kuna watu walikuwa...

 

2 years ago

Bongo Movies

Nay wa Mitego Afungukia Bifu Lake na Roma

HIT MAKER wa ngoma inayobamba kwa sasa Acheze, Emmanuel Elibariki ‘Nay Wa Mitego’, amesema aliumizwa sana na maneno ya rapa mwenziye, Roma Mkatoliki, aliyeongea maneno ya kumkashifu mara baada ya kuibuka baada ya kutekwa kwake, miezi michache iliyopita.

NAY WA MITEGO AFUNGUKA…

“Roma anatakiwa ajue kwamba mimi ni mmoja kati ya wasanii ambao walishinda kutwa nzima kwenye studio yake ya Tongwe Records na kituo cha polisi, toka siku aliyotekwa hadi siku aliyopatikana, lengo likiwa ni kutaka...

 

3 years ago

Global Publishers

Ishu ya kufungiwa muziki… Shamsa ampa makavu Nay wa Mitego

SHAMSA (1)Shamsa Ford

Na Gladness Mallya, RISASI MCHANGANYIKO

KUFUATIA Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kumfungia Nay wa Mitego kufanya muziki kutokana na nyimbo zake kukiuka maadili, mpenzi wake wa zamani, Shamsa Ford amempa makavu na kumtaka aache kuimba matusi.

Nay (3)Akipiga stori na Za Motomoto News, Shamsa alisema Nay wa Mitego ni baba mwenye watoto wanaomtegemea, anamuonea huruma lakini ni lazima ajifunze kwa kuacha kuimba nyimbo za matusi, badala yake aimbe za kueli-misha jamii.

NAY“Namu-onea huruma...

 

3 years ago

Bongo Movies

Nay Wa Mitego Afungukia Vitisho Alivyovipata Kwenye ‘Salaam Zao’

Mkali wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego amefunngua kuwa ingawa  asilimia kubwa ya ngoma zake zinazofanya vizuri ni zile ambazo inaonekana amediss watu live kwa kuwataja majina lakini katika maisha yake anasema hatoisahau wimbo wa Salaam Zao kwa sababu ndiyo wimbo iliyowahi kumpa shida kuliko nyimbo zake zote.

nay987

‘’Ngoma ya Salam Zao nilipokea vitisho vingi sana,kwasababu kwanza nakumbuka kuna mmoja kati ya watu niliowataja alishawalipa mawakili na mmoja kati ya hao mawakili alikuwa ni shabiki...

 

2 years ago

Bongo Movies

Nay wa Mitego Afungukia Bifu la Diamond na Alikiba na Nyimbo Zake

Msanii Nay wa Mitego amesema ugomvi/mvutano wa Diamond ana Alikiba haujaathiri wimbo wake hata mmoja.

Nay ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma Makuzi ameiambia Dj Show ya Radio One kuwa kipimo cha ngoma zake kufika mbali ni pale anapokuwa kwenye show au mapokezi ya watu mtaani ila mambo ya mtandaoni hayaathiri chochote.

“Ni wimbo wangu gani umeathiriwa na ugomvi na Diamond na Alikiba?” alihoji Nay wa Mitego.

“Majibu ya wimbo unayapata kwenye show, majibu ya wimbo unayapata mtaani, mimi...

 

3 years ago

Bongo Movies

Alikiba Afungukia Ishu Yake na Hakeem 5

King wa bongo fleva Ali Kiba amesema kwa sasa hawezi kufanya kazi na Hakeem 5 hata kama ikitokea akiomba kolabo kwa kuwa uongozi wake ndiyo utatoa maamuzi ya nani kufanya kolabo na yeye kwa sasa.

kiba844

Hata hivyo Kiba amesema hana tatizo na Hakeem 5 kwani ni ndugu yake na anajua yote yametokea kwa kuwa kamsaidia Abby Skills ila Hakeem 5 anapaswa aelewe kwamba walisha saidiana kipindi cha nyuma na kwa sasa ana uongozi ambao ndo una pitisha kolabo zote anazotakiwa kufanya.

Pia Kiba alimalizia kwa...

 

2 years ago

Bongo Movies

Diamond Afungukia Ishu Yake ya Kuripoti Polisi

Msanii Diamond ameelezea kile kilitokea baada ya picha  kusambaa  zinazomwonyesha akihojiwa na jeshi la polisi.

Diamond akitoa maelezo mbele ya askari

Muimbaji huyo amedai alienda polisi kujieleza kwa jeshi la usalama barabarani baada ya jeshi hilo kudaka clip yake ya video inayomwonyesha aliendesha gari huku akiwa hajavaa mkanda.

Diamond na Kamanda Mpinga

Diamond ametoa taarifa hii kupitia ukurasa wake wa instagram

Leo nilireport kituo kikuu cha polisi wa usalama barabarani kutokana na...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani