Nay wa Mitego: Naangaikia Kuupeleka Mziki Mbele Siwezi Kujibishana na Mtu

Rapa Nay wa Mitego anayetamba na kibao chake kipya kilichopewa jina la ‘Mikono Juu’ amefunguka na kudai hawezi kujibishana na mtu yeyote kwa sasa kwani yeye anachokihangaikia ni kupeleka mbele muziki wake ili watu wake waweze kuupata.

Nay ameeleza hayo wakati alipokuwa anazungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo ‘PB’ inayorushwa na East Africa Radio na kusema kwa sasa amejikita katika kufanya kazi zake zaidi na sio kutafuta kiki kama wanavyofanya wasanii wengine.

“Sasa hivi sitaki...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo Movies

Nay wa Mitego Awashukia Wanaotaka Kujibishana Nae

Mkali wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego, amesema kwa levo aliyonayo kwenye gemu la muziki hawezi kushindana na msanii ambaye anatafuta kiki kupitia yeye na huku hafikii levo yake.

nay wa mitego23

Nay wa Mitego

Nay wa Mitego, aliyazungumza hayo Ijumaa kwenye kipindi cha Friday Night Live ya EATV na EA Radio baada ya kuulizwa kuhusiana na tetesi kwamba hapo awali alikuwa akitungiwa nyimba na rapa Kimbunga Mchawi kisha anapoziimba Kimbunga hurejea kutunga nyimbo kwa ajili ya kumjibu Nay wa Mitego.

Nay wa Mitego...

 

3 years ago

Bongo Movies

Siwezi Kurudiana na Nay wa Mitego – Shamsa Ford

Ikiwa imepita siku moja toka Nay wa Mitego kupost picha ya Shamsha Ford kwenye mitandao yake ya kijamii ikiwa na ujumbe wa ‘Happy Valentine’ hususani siku ya wapendanao mwanadada Shamsha Ford amefunguka na kusema kuwa kamwe hawezi kurudiana kimapenzi na msanii huyo wa bongo fleva ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake wa ‘Shika Adabu yako’,

SHAMSA NA NAY

Shamsha Ford amesema kuwa kwa sasa ana maisha yake na mwanaume mwingine ambaye wanaheshimiana na anampenda hivyo kitendo cha Nay kupost ujumbe wa...

 

3 years ago

Mwananchi

Nay wa Mitego: Siwezi kurudiana na Siwema, Skiner wala Shamsa

Rapa wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nay wa Mitego amesema hana ndoto za kurudiana na mwanamke yeyote kati ya aliwaowahi kuwa nao katika uhusiano wa mapenzi.

 

5 years ago

GPL

GLOBAL TV ONLINE: MTU KATI NA NAY WA MITEGO

Mkali wa muziki wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego akilonga na Global TV Online katika kipindi chake maridadi cha Mtu Kati. Ungana na presenta wako Pamela Daffa 'The Mic Queen' kujua undani ya mahojiano…

 

3 years ago

Bongo5

Hakuna mtu atakayenipangia muziki wa kufanya – Nay wa Mitego

Huenda sumu ya adhabu ya BASATA kwa Nay wa Mitego ikawa haikukolea vyema.

14099565_292841217749567_582359073_n

Ni sababu rapper huyo ameibuka na kudai kuwa, hakuna mtu anayeweza kumpangia aina ya muziki wa kufanya, na kwamba hivi karibuni ataachia wimbo uitwao ‘Utakula Jeuri Yako’ ambao ni makavu kwa kwenda mbele na huenda ukazua ‘sheshe’ jingine.

“Nobody can stop me,” alisema Nay katika mahojiano kipindi cha Extra Fleva, cha Uplands FM ya Njombe kinachoendeshwa na Ergon Elly. “Muziki wangu uko pale pale, kitu ninachowaahidi...

 

5 years ago

Bongo5

Behind The Scenes: Utengenezaji wa video ya Nay Wa Mitego Mr Nay nchini Kenya

Nay Wa Mitego ni miongoni mwa wasanii wa Tanzania walioamua kwenda kufanya video nje mwaka huu, na hii ikiwa ni mara yake ya pili kufanyia video nchini Kenya. Hii ni video ya behind the scenes ya wakati wa utengenezaji wa video ya ‘Mr Nay’ iliyofanyika Nairobi, Kenya wiki chache zilizopita na kuongozwa na director Kevin […]

 

5 years ago

Bongo5

Usichokifahamu kuhusu concept ya video mpya ya Nay wa Mitego Mr Nay

Kwa mtu ambaye tayari ameiona video mpya ya Nay Wa Mitego, ‘Mr Nay’ huenda swali la kwanza ambalo atajiuliza mara baada ya kuitazama au akipata nafasi ya kukutana na Nay atamuuliza ni ‘hiyo concept ya video, zile damu damu na ‘mask’ za kutisha, minyororo na hizo sign zote zina maana gani?’ Mara nyingi au mara […]

 

2 years ago

Bongo5

Audio: BASATA yafunguka ishu ya Nay wa Mitego kukamatwa, familia ya Nay yatoa neno

Baada ya rappa Nay wa Mitego kutoa taarifa kupitia ukurasa wake wa instagram kwamba amekamatwa na taarifa hizo kuthitishwa na jeshi la polisi, Bongo5 imezungumza na familia ya rappa huyo pamoja na Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) baada ya taarifa kuzagaa kwamba rappa huyo amekamatwa kutokana na wimbo wake mpya uliovuja mtandaoni.

Akiongea na Bongo5 producer wa rappa huyo, Osam Flexible kwa niaba ya familia amesema wao wamezipata taarifa za kukamatwa kwa Nay wa Mitengo mkoani Morogoro kama...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani