Ndanda wakomaa pilau la ubingwa Yanga

ILIKUWA furaha ya aina yake kwa mashabiki wa Yanga baada ya jana timu hiyo kukabidhiwa kombe la ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, lakini ilikuwa huzuni kushindwa kuibuka na ushindi dhidi ya Ndanda FC ya Mtwara na kutoka sare ya mabao 2-2.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Habarileo

Ndanda yaota kutwaa ubingwa msimu ujao

MMOJA wa wataalamu katika benchi la ufundi la timu ya soka ya Ndanda, Hamim Mawazo amesema watapewa nafasi ya kusajili wachezaji mahiri, timu yao itaweza kufanya vizuri msimu ujao na ikiwezekana hata kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu.

 

3 years ago

Habarileo

Yanga yaipania Ndanda

KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Pluijm, amejigamba kuwa kikosi chake kipo vizuri kuikabili Ndanda kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara utakaochezwa Uwanja wa Nang'wanda Sijaona Mtwara.

 

3 years ago

Mwananchi

Yanga,Ndanda zatambiana

Kocha wa Yanga, Hans Pluijm na mwenzake, Hamimu Mawazo wa Ndanda kila moja ametamba kupata ushindi katika mchezo utakaofanyika kesho kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara.

 

4 years ago

Mtanzania

Ndanda waipigia magoti Yanga

NA MICHAEL MAURUS, MTWARA

LIGI Kuu ya Tanzania Bara msimu wa 2014/2015 inamalizika leo kwa timu 14 za ligi hiyo zitakapokuwa katika viwanjani tofauti, huku mabingwa wa ligi hiyo, timu ya Yanga wakiwa wenyeji wa Ndanda FC ya Mtwara.

Yanga, walioondoka Dar es Salaam juzi, tayari wamewasili mkoani humo kuwavaa Ndanda katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona, huku wenyeji hao wakiomba ishinde mchezo huo ili isalie kwenye ligi hiyo inayodhaminiwa na Vodacom msimu ujao.
Ndanda, walio na pointi 28, ipo...

 

4 years ago

Mwananchi

Ndanda yaituliza Yanga kweupe

Yanga imepoteza nafasi ya kukalia usukani wa ligi baada ya kulazimishwa suluhu na wachezaji 10 wa Ndanda FC jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

3 years ago

Habarileo

Yanga waitangazia maumivu Ndanda

TIMU ya Yanga imesema iko kamili kuwavaa Ndanda FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaochezwa Jumapili.

 

3 years ago

Habarileo

Kocha Yanga aisifia Ndanda

KOCHA wa Yanga, Hans van der Pluijm amesema licha ya vijana wake kucheza vizuri na kupata ushindi katika mchezo dhidi ya Ndanda FC, timu hiyo ya Mtwara iliwapa upinzani mkali.

 

3 years ago

Habarileo

Ndanda, Yanga sasa Taifa

MCHEZO wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kati ya Ndanda FC na Yanga ambao ulikuwa uchezwe Uwanja wa Nang’wanda Sijaona mjini Mtwara, sasa utachezwa Uwanja wa Taifa Mei 14 mwaka huu.

 

2 years ago

Habarileo

Yanga ‘kufa’ na Ndanda leo

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga, leo watakuwa kwenye uwanja wa Uhuru kuikaribisha Ndanda FC katika mechi muhimu.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani