Ndege ya pili mpya imewasili leo, uzinduzi kufanyika kesho

Ndege ya pili kati ya 2 zilizonunuliwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewasili leo mchana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julias Nyerere (JNIA).

n5
Ndege ya pili ilivyo wasili leo ikipata saluti ya maji

Ndege hizo aina ya Dash 8 Q400 zilizotengenezwa na kiwanda cha Bombardier nchini Canada zinatarajiwa kuzinduliwa kesho kuanzia majira ya saa 2.00 asubuhi katika uwanja wa JNIA (Terminal 1).

n6

Katibu Mkuu wa (Uchukuzi) Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dk. Leonard...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Dewji Blog

Ndege ya pili ya ATCL kuwasili leo, uzinduzi kufanyika kesho

Ndege moja kati ya 2 zilizonunuliwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajiwa kuwasili leo mchana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julias Nyerere (JNIA).

Ndege hizo aina ya Dash 8 Q400 zilizotengenezwa na kiwanda cha Bombardier nchini Canada zinatarajiwa kuzinduliwa kesho kuanzia majira ya saa 2.00 asubuhi katika uwanja wa JNIA (Terminal 1).

Katibu Mkuu wa (Uchukuzi) Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dk. Leonard Chamuriho amesema Rais John Pombe Magufuli...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Ndege ya pili ya Tanzania imewasili, kuzinduliwa kesho na JPM

Ndege moja kati ya 2 zilizonunuliwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewasili leo mchana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julias Nyerere (JNIA).

Ndege hizo aina ya Bombardier Q400 zilizotengenezwa na kiwanda cha Bombardier nchini Canada zinatarajiwa kuzinduliwa kesho kuanzia majira ya saa 2.00 asubuhi katika uwanja wa JNIA (Terminal 1).

Katibu Mkuu wa (Uchukuzi) Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dk. Leonard Chamuriho amesema Rais John Pombe Magufuli anatarajiwa...

 

5 months ago

BBCSwahili

Airbus A220-300: Ndege mpya ambayo imenunuliwa na Tanzania imewasili Dar es Salaam

Ndege hiyo, ambayo imeundwa na kampuni ya utengenezaji wa ndege ya Airbus, ni ya muundo wa A220-300.

 

5 years ago

Michuzi

Mh.Samia Suluhu mgeni rasmi uzinduzi wa njia mpya za shirika la ndege la Flydubai jijini Dar leo.


Wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi huo wa njia mpya ya shirika la ndege la Flydubai lenye makao yake makuu Dubai..Mgeni rasmi,Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano,Mh Samia Suluhu akizungumza mapema leo katika uzinduzi wa njia mbili mpya za ndege ya FlyDubai aina ya Boieng 737-800,uliofanyika katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere,jijini Dar.Makamu wa Rais mwandamizi katika shughuli za kibiashara wa shirika la ndege la FlyDubai...

 

5 years ago

GPL

MHE. SAMIA SULUHU MGENI RASMI UZINDUZI WA NJIA MPYA ZA SHIRIKA LA NDEGE LA FLYDUBAI JIJINI DAR LEO

Mgeni rasmi,Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano,Mh Samia Suluhu akizungumza mapema leo katika uzinduzi wa njia mbili mpya za ndege ya FlyDubai aina ya Boieng 737-800,uliofanyika katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere,jijini Dar. Makamu wa Rais mwandamizi katika shughuli za kibiashara wa shirika la ndege la FlyDubai… ...

 

3 years ago

Global Publishers

Droo ya pili ya Shinda Nyumba kufanyika kesho

2.Mosomaji wa Gazeti la Uwazi ,Shaban Jumanne (kushoto) akijaza kuponi yake ili kushiriki droo ya pili inayotarajiwa kuchezeshwao kesho.-001

 

Msomaji wa Gazeti la Uwazi wa eneo la Temeke Mwembe Yanga, Japhary Maleku (katikati) akijaza kuponi yake. Anayeshuhudia kushoto ni Ofisa Masoko wa Global, Yohana Mkanda na msomaji mwingine pembeni yao akiwatazama.

Na Mwandishi Wetu
LILE Shindano la Shinda Nyumba linaloendeshwa na Kampuni ya Global Publishers wachapishaji wa Magazeti ya Uwazi, Ijumaa, Risasi, Amani, Ijumaa Wikienda na Championi linazidi kushika kasi ambapo kesho Alhamisi, Februari 18, mwaka huu droo ya pili itafanyika...

 

2 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA KWA KANDA YA KASKAZINI KUFANYIKA KESHO IJUMAA KILIMANJARO.

Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia Kanda ya Kaskazini ,Elizabeth Mushi akizungmza walipkkutana na wanahabari mkoani Kilimanjaro.Wajumbe wa Kamati ya maandalizi ya siku 16 za kupinga ukatili kutoka Mtandao wa Jinsia wa jeshi la Polisi (TPF Network) , Grace Lyimo (Kushoto) na Theresia Nyangasa.(Kulia).Meneja Programu wa Shirika lisililo la Kiserikali linalojishughulisha na kupinga ukeketaji (NAFGEM) Honorata Nasuwa akizungumza mbele ya wanahabri juu ya...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani